maisha

  1. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuanza maisha

    Habarini ya Jumapili wakuu, mimi ni kijana wa miaka 23 nipo sam wea chuoni namalizia degree yangu fulani, leo nimekuja kuomba msaada wa kimawazo namna ya kuyaingia maisha ya mtaani. To put things in persective, ninaishi kwa wazazi wa hali ya chini(milo miwili ya kubahatisha) Dar es...
  2. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu kilema cha maisha kwa vijana wa Tanzania

    FAHAMU KIDOGO KUHUSU LOAN BOARD NDUGU! Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao. Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA, yaani watoto wa maskini. Sheria...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha ya kufake ni expensive. Achana nayo

    Hi As thread said maisha ambayo fake life is so expensive kama kuna mtu anayaishi aachane nayo. Mpaka nimekuja kusema hiki kitu it means nina experience kwamba nishamuona mtu ana struggle kuishi yale maisha ya masupa staa na rich kid (wakishua) akati maisha ake ni ya kawaida sio mabaya sana...
  4. JamiiForums Tanzania Kero ya misafara ya viongozi wakuu wa serikali: Mwananchi atoa neno zito "Ole wao dada yangu akipoteza maisha!"

    Kichwa cha uzi ni nukuu ya kauli ya jamaa yangu mmoja ambaye sasa hivi yupo likizo huko kijijini kwao mkoani Songwe. Jamaa yangu huyu ananitaarifu kuwa asubuhi ya leo alikuwa amejihimu mapema kumuwaisha hospitali ya mkoa dada yake ambaye usiku mzima wa kuamkia leo amekuwa mahututi. Jamaa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli na Tundu Lissu wawatakia maisha ya kheri wazee leo ikiwa Siku ya wazee duniani!

    Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM Dkt. Magufuli amewatakia kheri wazee wote katika kuadhimisha siku ya wazee duniani. Kadhalika mh Tundu Lisu mgombea urais wa JMT kupitia Chadema amewatakia kheri ya siku ya wazee duniani wazee wote. Maendeleo hayana vyama!
  7. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunatafuta maisha kwa style ya wagombea Urais Vijana tungekuwa mbali

    Jamaa wana kula Masada aisee. Yaani mtu unazunguka wiki Tatu mfululizo bila kupumzika. Unavuka mabonde na milima kila Kona Tanzania unapita. Unapoteza virutubisho vingi kwa kuongea ili ushinde. Cha ajabu hawa wote ni watu wazima miaka 50+. Sasa wewe Kijana (20-35) unazunguka vimitaa viwili tu...
  8. JamiiForums Tanzania Mengi yamewekwa Majumbani mwetu 'Kibabe' hivyo kwa 'Tamko' hili kuna Watu wanataka Kutulazimisha tukayaanze Maisha yetu mapya Magerezani

    "kama bango umeweka kwenye nyumba ya mtu awe ameridhia kama hajaridhia ni kosa"- Monica Mnanka, Mkurugenzi Msaidizi wa elimu ya mpiga kura kutoka NEC. EastAfricaRadio Kuna 'Mijitu' imekuja 'Kuyabandika' kwa Fujo hadi Dirishani Kwangu, Chooni na katika Banda langu la Kuku. Mje myatoe upesi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku zilizobaki kampeni ielekezwe kujibu hoja za Lissu na nini kitafanyika kuboresha maisha

    Nimesikilza hoja nyingi za Mgombea wa Chadema kwenye kampeni zinashawishi kuwa Serikali iliyoko madarakani imeshindwa kujibu changamoto za watanzania kwa kuwapatia uhuru, haki na maendeleo yao kama binadamu. Hoja hizo zimejikita kwenye mambo yafuatayo: 1. kutokuwepo na uhuru wa kujieleza,uhuru...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ya watu DSM kukaa kimakabila ni uoga wa maisha au ndio mbinu za kulikabili jiji?

    Sijui kama duniani huko nako kuna huu mtindo. Yaani imenichukua muda hadi kugundua asilimia karibu 60 ya majirani zangu ni watu kutoka Sumbawanga. Juzi nimejua tena wanaundugu. Juzi nimepita Mtaa flani karibu na Eneo linaitwa Msingwa. Nashangaa karibu kila mwanamke ni mweupe na kama...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

    Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto. Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

    Yafuatayo in baadhi ya maeneo yaliyokaribu sana kijeografia ila yana hadhi tofauti kimaisha. 1. Sinza na Tandale Mitaa hii ipo karibu sana ila hali ya maisha ya watu wake in tofauti kabisa. Tandale watu wengi wana maisha ya chini na uswahili pia. 2. Kawe na Mikocheni Kawe kuna uswazi ila...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya uchaguzi kupita, tuwekeni akiba ya maneno na vitendo

    Hata iweje maisha yataendelea baada uchaguzi kumalizika na bila kujali matokeo ya Uchaguzi yatakuwaje. Wadau wote wa uchaguzi, yaani Wanasiasa, wagombea, ofisi ya msajili, Tume ya Uchaguzi, Askari, wasimamizi wa uchaguzi, wahesabu kura, mawakala na wapigakura tukumbuke muda wote kuweka akiba ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania tusiyumbishwe, chagua CCM, chagua Magufuli chagua maendeleo na maisha yako. Usindanganyike!

    Kwa hali ilivyo kwa sasa na maendeleo yaliyofikiwa tukae chini na kufikiri kwa makini tuchague CCM kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Tusifanye ushabiki na wala tusifanye hamaki na kuchagua kwa mihemko tutajuta sana. Ninaamini Watanzania wamekuwa makini muda wote linapofikia suala la...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kama uchumi wako ni wa kipato cha kati na umeendekeza kugawagawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea

    Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka. Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo. Wanawake wafundishwe kujitafutia. Mbona wanawake wakizungu wao ukienda nao hotelini wanajilipia wenyewe ina...
  16. JamiiForums Tanzania Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya kila siku

    Habari ya mchana watu wangu wa nguvu kabisa mnaendeleaje na afya zenu jamani..mmeshapata lunch jamni maana ndo muda wenyewe huu Siku zilizopita tulizungumzia vitu ambacho hatuvipendi katika maisha yetu ya kila siku lkni tunakuwa hatuna namna. Watu mlitiririka sana. Sasa leo tunazungumzia vitu...
  17. JamiiForums Tanzania Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

    Hapa ndipo daraja la Tshs bilioni 700, fedha ambazo hata hazikujadiliwa na bunge zinatumika. Eneo ni Kigongo-Busisi. Kwakweli Bunge la Ndugai litajibu haya mbele za Mungu! Nawaza tu bilioni 700 Tshs ambazo ni hela nyingi sana yani hata Richmond haioni nusu yake. Kama zingetumika kwa mtu kuona...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kudhibiti matumizi mabaya ya Bima?

    Nadhani ‘Life insurance policy’ ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya mauaji. Unless otherwise hakikisha yule beneficiary hajui, otherwise atakutafutia namna akuue ufe kabla ya siku zako ili aanze kufaidi matunda ya bima aliyowekewa. Pia bima kubwa imekuwa ni chanzo cha wahindi kuchoma moto...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…