maisha

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Hamasishaneni mkapige kura kesho. Ukimaliza rudi nyumbani ili kuitunza tunu ya amani na mshikamano tulionao

    RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho. Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

    Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu. Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mjadala mzuri wa uchaguzi 2020 unaendelea sasa hivi DW/ BBC inaonekana miundombinu haina mashiko kwa Wananchi wengi, kilio ugumu wa maisha chatawala

    Ndio yanayojadiliwa sasa na vyombo vya habari vya nje vikiwahoji watu mbalimbali nchini, ni mjadala wenye usawa na haki sio kama ule wa TBC fuatilia kwenye redio kupitia DW sasa. Inaonekana watu wamechoka na sera zilezile za miundombinu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri jinsi ya kuishi maisha ya ghetto chuo

    Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki. Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume. Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha baada ya uchaguzi!

    NASAHA MUHIMU SANA... Maisha mazuri au mabaya hayaletwi na kiongozi, bali ni kwa yale yanayochuma mikono yetu, tubadilike na tuwe wema kwanza sisi! Tusijidanganye kwa kura, tufanye subra na tumche Allah tumtii kiongozi tuliyepewa na tuwe waadilifu. Kura haziwezi kumuondoa au kumweka kiongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana hujafikisha mika 40 furahia maisha kwanza, mengine baadae

    Ewe kijana mtafutaji kama huna 40 yrs sio time ya kujipa mastress just work hard and enjoy it to the fullest, maisha ni sasa na sio baadaye ambayo huijui. Ukizaa zaa kwa mpangilio watoto ambao hawatakupa mastress, sana sana mtoto mmoja wamezidi sanaa wawili. Tafuta pesa inavyotakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tandahimba: korosho ndio maisha ha yao, wanasomesha watoto kupitia korosho, nichagueni Oktoba 28 niboreshe bei ya korosho

    TANDAHIMBA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anaboresha bei ya korosho na wananchi wa Tandahimba na Mtwara wananufaika na kilimo cha korosho Pia, Prof. Lipumba amesema kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha ya wapiga kura vs maisha ya wapigiwa kura

  9. JamiiForums Tanzania Enyi Wanaume ishini na wake zenu kwa akili la sivyo Mwanamke atakukoroga maisha yako yote

    BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated" Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

    Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani. Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Sumbawanga mjini na wilaya zake

    Habarini wakuu polen na pilika za kampeni hizi zinafurahisha na kuhuzunisha pia . Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujuwa kwa uhitaji wa huduma za IT kwa mkoa huu ikiwemo kufanya programing na networkng soko lake likoje na vipi kuhusu mazingira ya huko na vyumba vya kupanga kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha uwanja mpana, ifikie hatua kila mtu aishi kwenye njia yake ambayo yeye anaona sahihi

    Poleni na majukumu wananzengo Mambo ambayo binafsi nakereka sana sema kwa sababu ya system nashindwa kuamua na sina pa kupereka Wazazi kuforce vijana wao tuoe, kila mtu ana akili yake bhana, muache mtu aishi anavoona yeye sahihi Kuona watu wakipinga starehe za watu mfn pombe, ganja na...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe Ni Ndoto Bhana

    Najaribu tu kuwaza, assume zile ups and down, happy moment ulizopitia na kila aina ya changamoto ulizo experience katika maisha yako yoote yageuke kuwa ndoto za usiku. Kwamba hayana uhalisia wowote. Then unakuja kushtuliwa na Bi mkubwa ako uwahi shule ndo kwanza upo STD III
  14. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha maisha jela, Erick Kasila (39) baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka matatu likiwamo la kumlawiti mwanamume kwa madai kuwa alimfumania gesti na akiwa na mke wake. Kasila anadaiwa kumlawiti Idd Kambi katika nyumba ya kulala Wageni ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu niliijaribu kuomba kazi, na kufanya interview

    Kwa mara yakwanza siku ya ijumatatu niliomba kazi. Kuna rafiki yangu alinifowardia message WhatsApp, kuwa kunamahala wanatafuta Mechanical engineer, wakufanya kazi za maintenance katika machines kiwandani. Pamoja nakufanya installation za baadhi ya machines. Basi nikatuma cv, siku hiohio usiku...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Handeni Vijijini: Hali ya maisha ya watanzania ni ngumu sana vyuma vimekaza nichagueni nifute umasikini katika nyanja zote

    HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

    Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi. wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya? Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na unajaribu kuiacha?
  18. JamiiForums Tanzania Maisha ya urafiki na jambazi la kike chuoni

    Kamwenee bee, miaka hiyo natoka advance nikaomba course ya law chuo flan cha serikali. Nashukuru Mungu sana nikipata. Time ile tuliripoti chuo kama sikosei mwezi wa kumi hivi, basi kufika chuoni rasta nilikuwa mwenyewe tu, enzi hizo marasi hatukuwa wengi. Ila tulikuwa wale marasta by nature sio...
  19. JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu maisha baada ya Chuo

    Watu wengi wanasema maisha baada ya chuo huwa ni magumu sana kwasababu ule mzunguko wa kupata pesa kama kipindi mtu yupo chuo huwa ni mgumu. Kwa experience yako unampa ushauri gani mtu ambae amemaliza chuo mwaka huu juzi juzi tu hapo afanye kitu gani ili kupambana na maisha ya kila siku? vile...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya maisha wengi tunayopitia ni mapito kuelekea maendeleo ya kweli au tunapotezeana malengo na muda?

    Nina miaka kadhaa inayoniruhusu kuwa na familia, lakini pamoja na elimu yangu, sina hela ila nina deni kama la milion 14 hivi ninazodaiwa na bodi ya mikopo, hapo sijaweka zaka ambazo sijui nilitoa lini? Kiukweli moja haikai wala mbili haisimami, Maisha ni magumu, rafiki yangu mwajiriwa na mnazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…