maisha

  1. JamiiForums Tanzania Umbali kutoka usawa wa bahari na tokeo la maisha ya viumbe na uhai

    Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji. Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa diaspora wenzangu na wale wanaokwenda kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Habari zenu wakuu, Ama baada ya salam napenda nijikite kwenye mada ili nisiwachoshe wasomaji. Ndugu zangu unapokuwa nje ya nchi kwa lengo fulani la kutafuta maisha, ili ufanikiwe unatakiwa ufanye haya ninayoyataja hapa chini, lkn pia kama kuna mengine ambayo sikuyaandika hapa ktk list yang basi...
  3. JamiiForums Tanzania Hii siku 26/4 na matukio yake ndani ya maisha yangu

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...... Kazi iendelee. Leo nahitaji ku-share matukio mhimu katika maisha yangu hasa yaliyo tokea tarehe 26/4 (April26) kwa vipindi tofauti tofauti. Tukio la kwanza hii ndiyo tarehe niliyo letwa duniani (birth day) lakini nje na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi Kenya wahatarisha maisha

    Wakenya wanaoishi na VVU wanasema maisha yao yapo hatarini juu ya uhaba wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi kutokana na mzozo unaotokota kati ya serikali ya Kenya na Shirika la msaada la Marekani USAID. Kulinga na wanaharakati kucheleweshwa kwa dawa hiyo ni baada ya serikali ya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Zamani Wa Ulinzi Wa Burundi Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye Amefariki Leo Akitumikia Kifungo Cha Maisha Jela

    Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza. Jaribio hilo lililoshindwa lilifanyika Mei 16,2015 wakati Mwendazake Piere Nkrunziza akihudhuria Kikao cha Wakuu wa Jumuiya ya Afrika...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Legacy iliyoandikwa kwa vitendo haiwezi kufutwa kwa maneno ukitaka kuifuta legacy ni lazima ukubali kuyatoa maisha yako kwaajili ya wa Tanzania maskin

    Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda. Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisaikolojia unahitajika haraka

    Binadamu yeyote anapoonesha kuwa katika msongo wa mawazo anahitaji kupewa msaada wa kisaikolojia haraka kabla hali haijawa mbaya. Huyu mheshimiwa asaidiwe na wale aliokuwa akiwahudumia kama KM maana wamemtosa hata kum address kama KM mstaafu hawataki. Kauli yake ya " Ili ubaki na dola tumia...
  9. JamiiForums Tanzania Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

    Habari za wakati huu jamiiforums Stories nyingi sana za KGB na zile zingine ambazo ninaandikaga kule jukwaa la jamii intelligence ni zile ambazo nilizisoma mwaka 2006 nikiwa kidato cha sita. Kipindi hicho hakuna smartphones lakini nilikuwa ninaiba muda kisha ninakwenda internet cafe moja...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha yamenishinda. Madeni mengi sana na mengine yanatangazwa. Nimechoka kabisa

    Sina raha masimango, nishabadili sana namba za simu mpaka kwenye mitandao wanagoma kunipa namba mpya. Nmebaki mimi tu na korodani zangu. Sina kitu kabisa. Najiuliza wapi wananunua figo, ini au firigisi. Hivi viungo vipo viwili viwili naweza uza kimoja angaa nipate pesa nilipe madeni na pia...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha mapya katika nchi za watu

    Hii story inamhusu Henry, kijana wa miaka 32 aliyekuwa mhudumu wa bank kwa miaka 10. Ana mke na watoto wawili wa kiume. Siku mojja waliitwa kazini na kuambiwa bank wanapunguza wafanyakazi, alilipwa kiinua mgongo milioni 15. Alifikiria jinsi atakavyo endesha maisha na ile pesa. Aliamua...
  12. JamiiForums Tanzania Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

    Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha. Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kisiasa waliokulia kwenye maisha ya kimaskini wana roho mbaya sana tofauti na wale wa maisha mazuri?

    Jaribu kufanya utafiti utagundua wanasiasa viongozi waliotoka familia maskini au kwenye uzururaji wanakuwaga na roho mbaya zaidi ya shetani. Mfano ni Idd Amin aliyeokotwa mtaani na kuingizwa jeshini. Lakini wale waliokulia kwenye maisha mazuri na roho zao huwa nzuri tu mfano akina Makongoro...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kitendo gani au tukio gani usilolisahau lililobadilisha maisha yako?

    Kila mtu kwenye maisha nina amini ana turning point yake. Turning point ni sehemu au pointi ambayo ilibadilisha maisha yako. Inaweza ikawa ni tukio, safari, kukutana na mtu au jambo lolote ambalo kwa namna moja ama nyingine limekufanya uwe hapo leo either kukupandisha au kukushusha kimaisha...
  16. JamiiForums Tanzania Upendo wao udumu maisha yao yote

    Nimewapenda bureee Mr and Mrs David😍😍 Mungu awazidishie imani na upendo. Wadumu maisha yao yote.
  17. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa usijisahau Kuna maisha baada ya 2025

    Mbunge wa Jimbo la ukonga Jerry silaa kumbuka ahadi zako ulizozitoa wakati wa kampeni,kumbuka jinsi ulivyopigana na kupiganiwa ili kupata ubunge wa ukonga. Kumbuka wananchi wa ukonga wanakutazama na wanasubiria utekelezaji wa ahadi zako. Tangia uapishwe kuwa mbunge hujawahi kuitisha mkutano...
  18. JamiiForums Tanzania Ni umri gani ukishatimiza katika maisha bila kufanya jambo lolote utaishiwa kuchekwa?

    Dunia inaenda kwa kasi mnoo na umri pia unaenda kwa kasi mnoo hivyo kuna jambo ningependa tushare pamoja Hivi ni umri gani ukishatimiza bila kufanya jambo lolote la kimaendeleo utaishiwa kuchekwa na walimwengu?
  19. JamiiForums Tanzania Elimu ya bure juu ya maisha

    ! MJINGA ! Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa. Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga mzigo.... Kila hela atakayopata ataitunza kwa nidhamu kuu. Wafanyabiashara...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

    Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…