Kuna maneno mawili ambayo ukiyachukulia kikawaida unaweza kuyadharau sana lakini ni maneno ya muhimu sana kuyatumia kwenye maisha yetu ya kila siku
1.SAMAHANI
Vyovyote utakavyoiweka iwe kumradhi, nisamehe, niwie radhi, tafadhali nk; ilimradi tu uoneshe kukiri/kujutia kosa ulilofanya...