maisha

  1. JamiiForums Tanzania Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

    Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..
  2. JamiiForums Tanzania Ni Harusi ipi ( gani ) inayonoga zaidi na ndiyo inatakiwa kwa Maisha ya sasa ( Magunu na Nafuu ) kati ya hizi Mbili zifuatazo?

    A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa ukawawazawadie wana Ndoa Meza Kuu? B. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Wanandoa Kujichanga Wenyewe kwa kila Kitu huku...
  3. JamiiForums Tanzania Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

    Moderator please DELETE #YNWA
  4. R

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ukitangaza Ndoa na una mwelekeo wa maisha, suala la Mahari hawakulazimishi sana

    Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu. Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele. Siku za nyuma ili...
  5. JamiiForums Tanzania Tupeane stories za Kishujaa/Kibwege wakati tunatafakari Maisha Hapa Kijiweni

    Wadau haya maisha si wakati wote mtu unachora kumi na moja au matuta usoni. Utazeeka au kufa kwa sononi bure. Hebu hapa tuwasaidie wale wanaotaka kujiua angalau wafurahi waahirishe. Kuna jamaa mmoja kijijini nlikuta wanasimulia kuwa jamaa alikuwa mvivu haijapata tokea. Siku hiyo ndo alikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ikiwa suala la kiuchumi si tatizo kwako, ni vipi utayafurahia maisha?

    Habar zenu wakuu, Turud katika mada, Tuna assume kwamba suala zima la uchumi si tatzo kwak, una kipato cha kutosha, you can afford all your needs. Swali kivip utayafurahia maisha kwa upande wako? How you can achieve the climax of life happiness? Tiririka maana kuna wat wana pesa lkn bad...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

    Akihojiwa kupitia EATV live, Kilikuwa kipindi kizuri hasa ukiangalia ile kombinesheni ya wadada hawa wawili yani Da Salama kama mnavyo mjua na Da Zuhura wakiwa pamoja mezani na Da Salama anavyomchimba kumtaka ya ndani na nje. Mahojiano yalikuwa mazuri sana kwani Da Salama anajaribu kumchimba...
  8. JamiiForums Tanzania Fahamu maisha ya Vladimir Putin wa Urusi

    Fahamu kwa undani maisha binafsi ya kila siku ya rais wa Urusi Vradimil Putin Kwa kawaida Putin huchelewa kuamka na kupata kifungua kinywa Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya...
  9. JamiiForums Tanzania MAISHA: Viumbe wote tunategemeana hapa duniani

    [emoji117]Duniani hapa kila kiumbe kipo kwa ajili ya kingine, yaani uwepo wako ni muhimu kwa ajili ya uwepo wa wengine. Ukiamka ahsubuhi lazima umtafute binadamu mwenzako alipo. Siku utakapoamka na kutembea siku nzima bila kuona mtu ye yote, lazima hofu ikukamate. Unaweza ukasema hauna shida na...
  10. JamiiForums Tanzania Stam Shaiban mix’s nganda aliyeishi maisha ya kifahari

    Collection ya magari yake ni pamoja na Rolls Royce, Porches, Bentley. Umri wake ni miaka 40. Alitumia encro phone, hii ni simu ambayo gps na camera vimetolewa na message zake ziko encryptied. Catalogue la nyumba zenye thamani ya £5m Polisi walimkuta na £1m cash ndani ya nyumba. Kifungo...
  11. JamiiForums Tanzania Kutokula nyama si umasikini ni aina tu ya maisha unayoamua kuishi

    Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

    Habari wana JamiiForums. Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke. Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Utandawazi umesaidia sana kuingiza kipato katika jamii, smartphone ni mtaji wa maisha

    Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani. Kufua, kupiga pasi, kusafisha vyombo, usafi wa nyumba, kupika nk. Si watu wengi wanahitaji...
  14. JamiiForums Tanzania Maeneo ya kula maisha Tanzania

    Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. Karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

    Kuna watu wana amini maisha ya Dar ni magumu (kufanikiwa ni ngumu) wengine wanasema maisha mikoani ni rahisi (kufanikiwa ni rahisi)... Je, ugumu wa Dar uko wapi na urahisi wa mikoani uko wapi? (Huu ni mtazamo wa wengi humu kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya humu ndani kwa muda kidogo)...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

    Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi. Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga. Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
  17. JamiiForums Tanzania Maisha yana rangi za kupendeza na kuogopesha sana

  18. JamiiForums Tanzania Kuna ambao wapo katika hali aliyokuwa nayo Jean pierre Adam?

    Nimekutana na hili bandiko mahali kwa kweli nimesikitika sana na pia nampongeza sana mke wake kwani wengine wangekimbia. Huyu mama amekuwa bega kwa bega akimhudumia mume wake tangu augue hadi sasa huyu mama ni mzee na hajawahi choka na pia nimependa kwa jinsi akivokataa mme wake asichomolewe...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha yanakwenda Speed sana, Leo eti CCM hawaiamini TAKUKURU wala Mahakama

    Namalizia Wine yangu nirudi nikalale! Nikakukumbuka hili, nikaona wine yangu isiishe bure. Eti MATAGA leo ndio wanailalamikia PCCB, POLICE na Mahakama kuwa "hawamtendei haki" Sabaya! Nikacheka sana sana, hakika kuna nyakati za kulia na kuna nyakati za kuomboleza. Yaani hawa Walioitwa...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

    Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway. Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…