maisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utakubali Mungu afute kifo lakini maisha yako na cheo kibaki hivyo hivyo

    Ikitokea Mungu anakuuliza afute kifo au kiendelee tu kuwepo utamshauri nini Mimi namwambia kiendelee tu ili tuheshimiane
  2. JamiiForums Tanzania Mwanachuo anafaa zaidi kufungua akaunti katika benki gani?

    Habarini za mchana waungwana wa JamiiForums. Naomba msaada, ninatarajia kufungua akaunti ya benk mimi mwanachuo Je, akaunti ya benk ipi nzuri kwa wanafunzi?
  3. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

    Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    Life after death ni thread special nimeiandaa ili tuweze kuichambua kwa kina. Je, wewe unaamini katika nadharia ipi ya kwamba mtu akifa huzaliwa upya au huenda peponi na waliotenda mabaya duniani hupelekwa motoni kama stori za vitabu vya dini inavyosema? Toa uzoefu wako hapo chini.
  5. JamiiForums Tanzania Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

    1. Napoleon Bonaparte Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku. Alihamishwa kabisa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuja kuharibu maisha ya vijana, Mimi ni mmoja wa wahanga

    Nasikitika sana! Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao! Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana. Nilihitimu chuo 2015 kada ya afya! Kutokana na uhaba wa ajira nilikaa sana kitaa nikifanya mishe mishe...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha hayasimami, ni lazima yaendelee

    Umefanikiwa kujenga kibanda cha vyumba viwili, chumba chako ni master bedroom na chumba cha pili ni cha kawaida. Unapata uhamisho, kwa sababu za kiusalama unamtafuta kijana wa kukaa. Chumba chako unafunga. Kijana anakuta nyumba full furnished na king’amuzi juu, flat screen “60. Unamaliza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

    Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje. Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu. Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh? Mitano tena...
  9. JamiiForums Tanzania Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

    Wandugu hali ya maisha ni tete, tuna aangaika huku na kule hakuna pa kukimbilia - Wazee waliokuwa wanalipwa na TASSAF, sasa inabidi wafanye kazi za kujitolea katika maeneo ya umma kwenye halmashauri husika ili walipwe, no free lunch. -TANESCO tangu mwezi decemba 2021 hadi leo tarehe 4 julai...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya unene na mtu aliyefanikiwa kimaisha?

    Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri. Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
  11. JamiiForums Tanzania Leo nakupa chimbo wewe kijana uliyechapwa na maisha. Nenda sehemu hii utakuja kufanikiwa

    Habari ndugu zangu! Lengo la Uzi huu si kujisifu, na wala hauna maudhui ya kukashifu harakati za vijana. Usiangalie lugha iliyotumika. Umeomba kazi mara nyingi umekosa? Umezunguka mahali pengi nchini kufanya ujasiriamali bila mafanikio? Umekosa elimu ya kukuwezesha kuingia kwenye soko la ajira...
  12. JamiiForums Tanzania Maadui zetu ni watu wazuri, tuwaombee maisha mazuri

    MAADUI ZETU NI WATU WAZURI,TUWAOMBEE MAISHA MAREFU. Leo 13:15hrs 02/07/2022 Maisha yanaanza na kibao cha mgongoni mtoto analia,kila mtu anafurahi ya kwamba mtoto ni mzima,kibao baada ya kuzaliwa kinakupa ukweli wa maisha halisi ya hapa duniani,kumbe maumivu yaani adui yetu ndiye mtu mkweli...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha yanachanganya sana

    Daaah!! Maisha yanachanganya sana. Nipo Dar takriban miez 6 sasa nililetwa na ndugu yangu toka mkoani kwa ajili ya mchongo fulani ila kwa bahati mbaya mambo hayakwenda kama tulivyopanga nikawa nimefeli. Ndugu yangu sio kinyonge ni mtu mwenye maisha yake safi tu sio tajiri ila ana magari kama...
  14. JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya bongo ili utoboe jifunze sana kuroga

    Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa . Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu cha maisha ya mwanadamu

    Utangulizi Maisha ya mwanadamu, yana sehemu kuu tatu:- Kuzaliwa Kuishi Kufa Sura 1: Kuzaliwa Mtu anazaliwa pale panapokuwa na uhusiano wa kimapenzi, kati ya mwanaume na mwanamke. Na uhusiano huo uleta ujauzito na baada ya miezi 9 mtoto uzaliwa. Na tukio hili hutokea mara moja Sura 2: Kuishi...
  17. JamiiForums Tanzania Raia nchini Ghana waandamana kupinga gharama kubwa za maisha

    Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi. Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 25,000 wa Urusi wapoteza maisha Ukraine

    25,000 of Vladimir Putin’s troops have been killed in Ukraine, says UK Defence Secretary Beb Wallace ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Uingeleza amrsema kuwa wanajeshi 25,000 wa Urusi wamepoteza maisha wakati wakipigana nchini Ukraine, amehitimisha pia kuwa Ukraine ni mshindi katika vita hii...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha hayana proper formula lakini vipo vya kuzingatia

    CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Sio rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. SIRI YA PILI Usimwamini sana rafiki yako ,kwa...
  20. JamiiForums Tanzania R. Kelly kesi imemkalia vibaya, jela miaka 25 au maisha

    Mwimbaji R. Kelly anaweza kukabiliwa na miongo kadhaa jela atakapohukumiwa siku ya Jumatano, miezi tisa baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha mpango wa kuwanyanyasa kingono wanawake na watoto. Mnamo Septemba, jopo la New York lilimtia hatiani mwanamuziki huyo aliyefedheheshwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…