maisha

  1. L

    JamiiForums Tanzania Sio kila baya linalokutokea lina lengo la kukuumiza

    Hadithi Hadithiii.. Kulikuwa na mvuvi mmoja kwa bahati mbaya akiwa kwenye kazi yake ya kuvua basi boti yake ilizama. Kwa bahati nzuri alifanikiwa kuogelea na kufika kwenye kisiwa kimoja kilicho kuwa karibu na sehemu ambapo boti yake ilizama. Basi siku zikazidi kwenda na kwa bahati mbaya hakuna...
  2. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Miaka flani niko Bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nikaongea nae kuhusu kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nikatua Jackson Heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda Marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha. Harakati zinazofuata ni...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kwanini Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere hakunyanyua kalamu kuandika maisha yake?

    KWA NINI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNYANYUA KALAMU KUANDIKA MAISHA YAKE? Naikumbuka siku hii kama jana vile. Niko nje ya mipaka ya Tanzania ni nyakati za usiku niko kwa rafiki yangu mmoja ambae ajabu sana yeye ananiambia kuwa aliona kitu katika maandishi yangu toka enzi...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kwamtogole, vitenge vinauzwa kipande kimoja

    Huku kwetu sabuni ya kufulia unapimiwa kwenye kikombe cha chai kama huwezi kununua ndoo au box zima. Vile vitenge vitatu vinavyouzwa Karume na Mnazi Mmoja huku vinauzwa kipande kimoja. Ukiweza kununua vyote vitatu sawa, ukiweza viwili sawa ukishindwa kabisa unanunua kipande kimoja. Kuku...
  5. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya Umoja katika kuwezesha kutatua changamoto kubwa za maisha zinapokujia

    Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. UTANGULIZI Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wanajamiiforum wenzangu nipate kibarua chochote, hali yangu ni ngumu sana mpaka nimekata tamaa ya kuishi

    Proffessionally mimi ni mwalimu, masomo ninayofundisha ni Kiswahili na Historia. Nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka 2013. Kutokana na matatizo ya kifamilia nilikazimika kuacha kazi 2019, matatizo yamekuwa yakiniandama bila suluhisho na nimejaribu kutafuta ajira sehemu mbali mbali bila...
  7. Titus3652

    JamiiForums Tanzania umri sahihi ni upi wakuwa na maisha bora

    wakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana wenu ni early 20's nawasilisha
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Mitindo ya Maisha yaathiri mifumo ya lishe bora

    Ukuaji wa haraka wa Miji na mabadiliko ya mitindo ya maisha kumesababisha mabadiliko katika Mifumo ya Lishe, na kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) watu wengi sasa hawali Mbogamboga na Matunda ya kutosha Milo hubadilika kwa wakati, ikiathiriwa na mambo mengi ya kijamii na kiuchumi...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Story kutoka kwa watu, Maisha yana changamoto kweli

    Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi pia...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Story kutoka kwa WATU: Maisha yanachangamoto kweli

    "Maisha yana changamoto nyingi sana. Nakumbuka mwaka 2019 Nilihamia kwenye nyumba moja huko kilakala. Hiyo siku nafika tu pale, nikamkuta mpangaji mwenzangu na akaniambia hapa ni jau yeye mwenyewe ana mipango ya kuhama sababu mzee mwenye nyumba ni chuma ulete. Nikapuuzia. Nikaendelea kuishi...
  11. mwakavuta

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu, ushuhuda wangu; Sijafika sijachoka usikate tamaa Mungu yupo.

    Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
  12. Theb

    JamiiForums Tanzania Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF. Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
  13. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Rithe: Tuboreshe Maisha ya Wanawake

    SIKU YA WANAWAKE DUNIANI TUBORESHE MAISHA YAO Leo ni siku ya kimataifa ya Wanawake duniani. Ni kumbukumbu inayoadhimishwa tarehe 8 Machi kila mwaka kutambua jitihada zilizofanywa na wanawake wavujajasho katika kupigania uwakilishi sawa wa kisiasa, usawa wa kichumi na kupinga udhalimu dhidi ya...
  14. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Maisha yanampiga lakini kila siku anazaa

    Wakuu mimi sielewi Nina mshikaji wangu mmoja kila tukikutana ni vizinga plus analalamika maisha magumu. Ni jamaa yangu classmate etc ila mpaka muda huu ana watoto wa 3, leo nmekutana naye tena ananambia mkewe ana mimba. Nikasema 'bro are u serious?'. Eti anajibu, Ndio bro nishasababisha tena...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

  16. M

    JamiiForums Tanzania Ualimu umenipa mtaji,

    Nilimaliza sheria 2012 , then nilisota mtaani hadi mwaka 2015 nilipopata ajira za ualimu wa serikali,sikuona umuhimu wa kwenda law school kwa sababu sikuwa na connection na watu mjini, nilibahatika kuajiriwa kwetu(wilaya niliyozaliwa), soon baada ya kuajiriwa , nilijibana sana nikanununua...
  17. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake. Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ugumu katika maisha/biashara

    DEPRESSION / TROUGH Hii ni stage katika maisha, biashara ambayo mambo huwa magumu sana na ugumu huja kuathiri uchumi wa dunia nzima. Hiki ni kile kipindi ambacho mtu hukata tamaa na kupoteza matuaini kabisa kuhus maisha na kujiona hana umuhimu wa kuendelea kushi. Hiki ndio kipindi ambacho...
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna maisha mengine yanaendelea huko Usingizini? Inashangaza sana

    Kila siku huwa nawaza sana hili suala! Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅 Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na nikaendelea kulala nae kitandani. Huyu mwanamke alikuwa amenikatalia lakini nimalazimisha mpaka akatoa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
Back
Top Bottom