Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi.
Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
I'm honestly a very lucky person. Nilipata loan wakati nasoma so my college days were great, early 20s weren't awful and mid 20s were awesome!
Crazy as I am....nikaachana na fani yangu ya psychology niliyosoma and decided to pursue a career as a creative few years ago. Dude! Seemed like a...
Ulihitaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee kilichowekwa kwenye mguu wangu wa kushoto.....
Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha.... shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani
Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza...
Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni jobless na wanavuta sana bhangi.
Nikiwa likizo nyumbani bado nilitembelea dojo mbali mbali na...
Mtangazaji na muigizaji, Mwijaku amefunguka sakata la Alikiba na mke wake Amina, akisema kuwa Alikiba hajaitelekeza ndoa yake.
Mwijaku amesema hayo Jumamosi Februari 19, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kutumwa na Alikiba kumuwakilisha kwenye mkutano...
Wakuu Kwema!
Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania.
1. Single Mother.
Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa.
Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
"Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na kuimarisha Taasisi yetu ya ACT–Wazalendo. Asante sana kwa Maisha yako kwetu Maalim."
Kiongozi wa...
Kuna Jamaa wako kwa Mahusiano lakini Hawajui hata yanahusiana nanini mahusiano ambayo sio yenye Afya kwao. Leo nawasaidia kwa huu Uzi, hili liwafanye kabla hujajiruhusu kumfanya Mwanamke awe wa kudumu , basi uwe tayari umeshajua Hatima yako.
Wanaume baadhi tunachopungua ni uwezo wa Kuitabiria...
Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI".
Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu)
Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye...
Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya.
Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za kufungiwa maisha kujihusisha na mpira. Ni mtu mfitini na mfitini ni mtu mbaya sana.
Tatizo la uraibu (addiction) wa kamari linaendelea kukua siku baada ya siku kwa vijana wengi wa Kiafrika hususani Tanzania. Makampuni ya kamari yanakimbilia sana katika mataifa ya kiafrika ambako umaskini umetamalaki kuja kuwekeza huku wakilenda soko lao kubwa kuwa ni vijana.Vijana ambao wana...
IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20.
Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha chumba kimoja ambacho amejenga, lakini amepanga apartment pale Masaki jijini Dar na analipa shilingi...
Kwenye kusaka mwenza utata ni mwingi Sana. Unaweza fika mahali ukahisi kuchoka kuhangaika kutafuta mwenza wa ndoto zako ili kupata alie Bora, matokea yake wote unaowachunguza kwa lengo zuri la kuoa unakutana na sintofaham mbalimbali ambazo ukizifikiria kwa undani unaona kabisa baadae unaweza...
Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu unachokihitaji hii ndio tunaita Scarcity of resources kwenye uchumi.
Kwenye mchoro imewakilishwa na point F. Inamaana hiki ni kile kitu ambacho unakitamani sana ukipate lakin hauna uwezo wa kukipata kutokana na uchache wa mali zako, elimu yako nk...
Good Luck
Hawa ndio wale watu ambao hushinda Biko, Jackpot, kubahatika kupata scholarship na vile vitu ambavyo kwa nguvu ya kawaida ni ngumu kuamini kuwa mtu angefanikiwa kupata hicho kitu.
Kuwa na kipaji pia inaambatana na kuwa na bahati njema maana si kila mtu amebahatika kuwa na kipaji.
Pia...
Baada Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali Mwinyi kuidhinisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, leo Ijumaa Februari 4 2022 amezungumzia sheria hiyo ambayo imeanza kutumika.
“Kama Kamishna Mkuu au Afisa ambaye...
Kiukweli kifo cha mtu wa karibu huwa kinauma sana kwa wafiwa kitu kinachotupelekea hata wanaume wazima kujifungia vyumbani kulia machozi hadi kamasi kwa maumivu jinsi yalivyo.
Tukiachana na upande wa maumivu, kuna muda unakuta marehemu katika maisha yake alikuwa na matatizo yaliyomtesa sana...
Mungu akamuumba punda na kumwambia, “Utakuwa punda na kubeba mizigo ya kila mtu na utaishi miaka 40.” Punda akasema, "Kubeba mizigo ni sawa, lakini miaka 40 ni mingi kwangu, nipe miaka 30 tu." Mungu alitimiza matakwa yake.
Mungu alimuumba mbwa na kumwambia, “Utakuwa mbwa na unachunga mali ya...
Nimechukua stanza yangu moja tu no.2.... naona mkeka unaelekea kutiki hapaa.
Shairi ni moja beti sita na kila moja na hadhi ya pisi unayotaka. Sasa kazi kwako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.