maisha

  1. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania UVCCM tupo upande gani wa mjadala wa gharama za maisha?

    UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI? Na Elius Ndabila 0768239284 Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa na ongezeko la mafuta mara dufu. Mjadala huu umepamba moto Kwa miezi miwili na ushea sasa. Lakini...
  2. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Nini kilibadili mfumo wangu wa maisha na kuanza kufanya mazoezi (Physical fitness)....

    Salamu wakuu, Nimeamua kuanzisha huu uzi kwa lengo la kuhamasishana kufanya mazoezi ambayo kimsingi ni suala mtambuka na jambo linalotakiwa kufanywa na kila mmoja wetu hasa kwa wale ambao kazi zao ni za ofisi kwa maana ya kwamba hazihusishi movement ambazo zinafanya mwili kuwa Active. Mazoezi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatafuta njia mbadala za kupunguza gharama za maisha

    SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA *Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia lia kuhusu hali ya maisha, nilidhani ni CHADEMA tu

    Wanabodi, Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap. Wakateka watu, wakawaua, wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Corona ilivyonipa fundisho la maisha

    Janga la covid19 lilishika kasi hapa kwetu Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa nne 2020 hapa ndio tahadhari zikaanza kuwekwa na serikali ikiwemo mikusanyiko na uvaaji wa barakoa. Wakati janga hili linashika kasi, kampuni ambayo nilikuwa naifanyia kazi mkataba wangu wa kazi ndio ulikuwa ukingoni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania, Shilingi ya Tanzania na Maisha ya Watanzania

    Habari wana JF Nimejaribu kufuatilia kwa undani sana suala la shilingi ya Tanzania ukilinganisha na dollar pendwa ya Kimarekani ,kwanza tumsikilize huyu kiongozi kuhusu shilingi ya Unguja. Kama umsikia kwa Umakini kipindi hicho Shilingi 1 ilikuwa na thamani sana kulinganisha na Sasa, Lakini...
  7. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Ndoto gani ya ajabu ambayo hutakuja kuisahau katika maisha yako yote?

    Wadau Eid Mubarak Takribani karibia watu wote tukilala huwa tunaota ndoto.... Kuna zile za uongo na fix za kutosha kama vile kuota umeokota gunia la hela, yaani unyama mwingi mwaisa 😂😂😂 (kila mtanzania kaota hii ndoto) na zile za matukio ya kweli ambazo ukiota inatokea kweli..... Sasa basi ni...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu acheni uchoyo jamani haya Maisha tu

    Nyie mlikataa kutualika Pasaka yenu sasa kwanini mnatia Huruma hivi.
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi yote 24 yatoa masharti yao ya kuacha vita DRC, na wenyewe wamechoshwa na mugomvi, wanataka kurudia maisha ya kawaida

    Wapo tayari kurudi mashambani na kwenye familia zao, kimsingi wahakikishiwe usalama wao. ================= The latest peace bid for the Democratic Republic of Congo’s troubled eastern region appeared headed for a solid footing after 24 armed groups gathered in Nairobi to express their...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza vita vya Urusi katika maisha ya kawaida

    1: Kabla sijaanzisha vita na mtu lazima nijue nani yuko nyuma yake. 2: Ukiwa huna nguvu sana jitahidi kushambulia mahala ambapo pataleta matokeo makubwa kwako na maumivu makubwa kwa adui kwa kutumia rasilimali chache. Ukraine wanapukutisha majenerali wa Kirusi. 3: Ukiamua kuingia vitani...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha unayoishi yanaweza kunyoosha au kuharibu maisha yako ya baadae.

    James na Jamila walianza mapenzi wakiwa shule ya upili. Walipofika kidato cha tatu Jamila alipata ujauzito, ilibidi aache shule. James alendelea kidato cha tano na sita. Jamila alijifungua mtoto wa kike mzuri na kumpa jina Aisha. James alitoka shuleni anamkuta Jamila na mtoto, alipenda...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mambo Ya Kuzingatia Unapokuwa Kazini Ili Usije Ukaishi Maisha Ya Majuto

    Wengi tunapokuwa kazini yapo maisha ambayo yanasababisha majuto kwa baadae. Hali hiyo inawatokea wengi sana hasa vijana wanaopata kazi mapema, mwisho wake wanaishia katika majuto. Unachopaswa kujua au kuelewa, upo msingi wa maisha unatakiwa kuishi nao unapokuwa kazini ili baadae usije ukaishi...
  13. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Maisha halisi nchini Marekani

    Habari JF leo Katika mada yangu kichwa tajwa hapo juu, Ningependa nishare nanyi Uzoefu wangu wa maisha ya marekani, maana nimeona watu wengi sana wakijadili namna watu wanavyoishi nje, ajabu kati ya mia, tano tu ndo wanaelewa maisha halisi ya marekani. Licha mimi huwa sipendi kuishi Marekani...
  14. Last KING Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani mapenzi yaliweza kukurudisha nyuma kimaendeleo au kuvuruga maisha yako?

    Kuna ukweli katika msemo wa kwamba "Bora ukosee vyote ila usikosee kuoa au kuolewa. Mapenzi ni vita, Mapenzi mabaya Wahenga wanasema hivyo na wanasistiza mapenzi yana run dunia. Kuna jamaa namfahamu alifanyiziwa ushirikina na demu wake baada ya kuachana jogoo akawa hawiki kbs, na akapata nuksi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini tabia za maisha ya kawaida ya viongozi wa Kitanzania wakiachia madaraka hubadilika?

    Kuna life style flani la viongozi wa kitanzania wakiwa maradakani huionesha jamii kupitia mitandao yao ya kijamii lakini punde wakishatoka madarakani style hiyo hupotea ghafla, labda waanze tena Leo baada ya Uzi huu! Mfano; Wakiwa madarakani utaona wakipost wapo jimu (gym) nakutufanya sisi...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Mjumbe Hauawi Sikiliza Chukua Hatua Okoa Maisha

    Ndugu Wanajamvi, clip iko inajieleza
  17. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Polisi na mahabusu wapoteza maisha ajalini Mwanza

    Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili - waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi pamoja na mauaji, wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 katika Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Sengerema...
  18. kyaibumba

    JamiiForums Tanzania Maisha ndani ya Latvia 2019-2022

    Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

    Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mitandao inavyogeuka tishio maisha ya watu

    Licha ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa na hasara zake lukuki. Yapo mengi lakini kubwa linaloweza kuonekana kwa urahisi ni lile la baadhi ya watu kukiuka utumizi sahihi wa mitandao hiyo na...
Back
Top Bottom