maisha

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Matiyasi FC ya Afrika Kusini yafungiwa maisha kwa kushinda goli 59 katika mechi moja

    Picha: Kikosi cha Wachezaji wa Matiyasi FC Klabu moja yenye maskani yake Limpopo katika kitengo cha chini cha mfumo wa soka nchini Afrika Kusini imefungiwa maisha baada ya kufunga mabao 59 katika mechi moja. Timu ya Matiyasi FC iliyokuwa ikiwania kupanda Ligi ya Mkoa wa ABC Motsepe, iliichapa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuishi kwa Waziri fulani miezi 3 watu wanaishi maisha bora

    Jamaa ukicheki kwenye frji kuna kila aina ya kinywaji unachokitaka ma bia yamejaa bwelele na huwezi kukuta pamepelea hata kidogo. Mamisosi ya kwenda dah kuna watu wanaishi maisha matamu Sijui makuku ni jambo la kawaida vyumba safi kabisa
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha Mazuri, na hakuna Mengine

    Maisha mazuri ni yapi? Kutumikia tamaa za mwili? Kutumikia tamaa ya mwili hakuna faida ni hasara tupu, ukiwa mpenda kubadili wanawake kila siku, unatambua hasara zake, mfano mdogo tu, ukipata magonjwa ya zinaa hasara yake hadi uzeeni unatambua vizuri. haya mfano uwe mwizi, hivi siku ukishikwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usiruhusu kila mtu akuzoee ni KOSA kubwa mno pia weka muda maalum wa watu kukupigia simu

    Ukiwa unaingilika ingilika kirahisi utajishushia heshima weka limits za watu kukuzoea. Wengine salamu tu inatosha wasikuzoee sana Kawaida ya mbongo akikuzoea anakushusha thamani ndo maana hata wasanii somo lao kubwa kwenye kazi zao za sanaa ni kujiweka mbali na mazoea yani kutojichanganya...
  5. Kasie

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mabaya aliyopitia Kasinde kwenye maisha yake (uhalisia)

    Habari za jumapili, Nikiwa na akili zangu timamu, leo tarehe 29/05/2022 nimeona nisimulie moja ya mahusiano niliyopitia kwenye maisha yangu wakati wa uschana.... Sio mazuri kusimulia sababu yananiletea kumbukumbu mbaya na mapigo ya moyo hunienda mbio jasho hunitoka viganiani na miguuni na...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ujana haudumu, kuchora tattoo kunaweza kukugharimu sana maisha yako ukubwani

    Huwa nawaonea huruma sana vijana wadogo wanaochora tattoo kuona ni ujanja ama kufuata mkumbo... kwa nchi kama ulaya na marekani tattoo sio shida hata kidogo, ila kwa hapa bongo hali ni tofauti kabisa. kwa mitazamo ya jamii zetu, mtu akisha chora tatoo basi heshima yake inapungua pakubwa mno...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Musa: Utata wa kifo, mazishi yake na ufanano wa viongozi wa kiharakati Karne ya 21

    Habari za muda huu jf. Tuanze moja kwa moja,tutatumia bibilia as reference pindi itakapohitajika Kama msingi kwakuwa ndio kitabu nikisomacho. Nabii Musa ni Nani? Maisha yake yanaelezewa kwenye kitabu Cha kutoka katika bibilia Kama mtoto aliezaliwa na wazazi waebrania lakini alilelewa katika...
  8. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani mzuri kwa kuanzia maisha from Zero?

    Wakuu habari za muda huu! Baada ya kukaa nyumbani muda mrefu nikifanya kilimo cha kutegemea mvua, mwaka huu kilimo kimeniangusha sana na hata miaka iliyopita mara zote mavuno yalikuwa tofauti na matarajio hivyo nimeamua kuachana na kilimo kwani sioni hatima ya maisha yangu ikiwa tofauti na ya...
  9. GoodHB

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    Hello babe, nimekusubiria kwa muda mrefu sana, sasa nimejitokeza hadharani kukukabirisha katika maisha yangu. Please dada/mwanamke anayejielewa aje inbox chap tukamilishe agano muhimu duniani. Njoo tusaidiane kutimiza ndoto zetu na kuenjoy maisha yetu hapa duniani. SIFA ZAKE Awe smart kichwani...
  10. benix samson

    JamiiForums Tanzania Dizasta Vina - Simulizi, ubunifu na maisha ya jamii yake ndani ya album ya The Verteller

    Msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania, Dizasta Vina ni mmoja wa viongozi katika orodha ya wafalme wa Hip-Hop wa kizazi cha leo. Muziki wake umebeba falsafa, mafunzo na mitazamo inayogusa jamii kwa namna tofauti. Ana mtindo wa kipekee, mashairi yenye ujumbe na mtiririko wa visa na matukio ya...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto ulimwenguni

    Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao. Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
  12. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Maisha by Joslin

    Usione watu wanapita pita mitaani ukadhani wana raha, Usione watu wanasulubika mitaani ukadhani walishapataa, Maisha yanatisha, maisha yanaumiza jamaani, Maisha yanatisha maisha yanaumiza moyoni, Verse: Ona akina dada waliosimama wanajiuza, Ona akina kaka wanaitwa mapusha, Wanatafuta maisha...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

    Maisha wanayoishi huko ni mabaya kweli kweli.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Epuka makosa haya kwenye maisha.

    Epuka makosa haya kwenye maisha, yatakuchelewesha na yatakuzeesha haraka. Huyo mimi ndiyo nilimsomesha. Hilo paa mimi ndiyo nimempaulia ili ahamie kwake, alikwama kabisaaaaa. Hicho cheo mimi ndiyo nilimfanyia mpango akakipata. Usimuone hivyo mimi ndiyo nilikuwa nampa nauli sasa hivi hanijui...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujifariji, kuridhika na kupeana matumaini ya maisha

    Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo; Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote! Mi nawaambia wadau muachage mazarau! < Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa kike wa maisha

    Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo. Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote jamani, maisha magumu

    Nina shida sana hali ngumu, nahisi kukata tamaa. Yoyote anisaidie kazi yoyote. Maana sina hela na nyumbani na nahitaji kupata mahitaji yangu Kama sabuni, nguo nk. Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia.
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

    Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  20. Akili Sina

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba...
Back
Top Bottom