maisha

  1. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

    Wandugu hali ya maisha ni tete, tuna aangaika huku na kule hakuna pa kukimbilia - Wazee waliokuwa wanalipwa na TASSAF, sasa inabidi wafanye kazi za kujitolea katika maeneo ya umma kwenye halmashauri husika ili walipwe, no free lunch. -TANESCO tangu mwezi decemba 2021 hadi leo tarehe 4 julai...
  2. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya unene na mtu aliyefanikiwa kimaisha?

    Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri. Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Leo nakupa chimbo wewe kijana uliyechapwa na maisha. Nenda sehemu hii utakuja kufanikiwa

    Habari ndugu zangu! Lengo la Uzi huu si kujisifu, na wala hauna maudhui ya kukashifu harakati za vijana. Usiangalie lugha iliyotumika. Umeomba kazi mara nyingi umekosa? Umezunguka mahali pengi nchini kufanya ujasiriamali bila mafanikio? Umekosa elimu ya kukuwezesha kuingia kwenye soko la ajira...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Maadui zetu ni watu wazuri, tuwaombee maisha mazuri

    MAADUI ZETU NI WATU WAZURI,TUWAOMBEE MAISHA MAREFU. Leo 13:15hrs 02/07/2022 Maisha yanaanza na kibao cha mgongoni mtoto analia,kila mtu anafurahi ya kwamba mtoto ni mzima,kibao baada ya kuzaliwa kinakupa ukweli wa maisha halisi ya hapa duniani,kumbe maumivu yaani adui yetu ndiye mtu mkweli...
  5. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Maisha yanachanganya sana

    Daaah!! Maisha yanachanganya sana. Nipo Dar takriban miez 6 sasa nililetwa na ndugu yangu toka mkoani kwa ajili ya mchongo fulani ila kwa bahati mbaya mambo hayakwenda kama tulivyopanga nikawa nimefeli. Ndugu yangu sio kinyonge ni mtu mwenye maisha yake safi tu sio tajiri ila ana magari kama...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  7. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Maisha ya bongo ili utoboe jifunze sana kuroga

    Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa . Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha maisha ya mwanadamu

    Utangulizi Maisha ya mwanadamu, yana sehemu kuu tatu:- Kuzaliwa Kuishi Kufa Sura 1: Kuzaliwa Mtu anazaliwa pale panapokuwa na uhusiano wa kimapenzi, kati ya mwanaume na mwanamke. Na uhusiano huo uleta ujauzito na baada ya miezi 9 mtoto uzaliwa. Na tukio hili hutokea mara moja Sura 2: Kuishi...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Raia nchini Ghana waandamana kupinga gharama kubwa za maisha

    Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi. Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
  10. Gama

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 25,000 wa Urusi wapoteza maisha Ukraine

    25,000 of Vladimir Putin’s troops have been killed in Ukraine, says UK Defence Secretary Beb Wallace ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Uingeleza amrsema kuwa wanajeshi 25,000 wa Urusi wamepoteza maisha wakati wakipigana nchini Ukraine, amehitimisha pia kuwa Ukraine ni mshindi katika vita hii...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Maisha hayana proper formula lakini vipo vya kuzingatia

    CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA 1. SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Sio rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. SIRI YA PILI Usimwamini sana rafiki yako ,kwa...
  12. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania R. Kelly kesi imemkalia vibaya, jela miaka 25 au maisha

    Mwimbaji R. Kelly anaweza kukabiliwa na miongo kadhaa jela atakapohukumiwa siku ya Jumatano, miezi tisa baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha mpango wa kuwanyanyasa kingono wanawake na watoto. Mnamo Septemba, jopo la New York lilimtia hatiani mwanamuziki huyo aliyefedheheshwa kwa...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dunia inaogopesha ila wewe Usiogope, Maisha sio mashindano

    DUNIA INAOGOPESHA ILA WEWE USIOGOPE 02! MAISHA SIO MASHINDANO Anaandika Robert Heriel, Umekata tamaa, hauna tumaini, mambo yote yameenda Kombo, kila ulichokuwa unakitumainia kimekusaliti, kila uliyekuwa unamuamini amekugeukia, dunia imekupiga kikumbo, hakuna yeyote aliye Kwa ajili yako...
  14. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Biashara anayoanzisha mwanamke awe mke au mchumba kwa mtaji wa kupewa na mume wake hua zina maisha mafupi sana

    Habari. Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na afanikiwe katika biashara yake mwache atafute mtaji yeye mwenyewe akishindwa akakope bank ukijitia...
  15. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Nguvu Ya Ukiri Inavyoweza Kuleta Matokeo Chanya Au Hasi Kwenye Maisha Ya Mtu

    "Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari", Yoe 3:10 SUV. Mtu aliyechoka sana kwa kukata tamaa au kwa kuchoka, mtu huyu anaweza kuinuliwa kwa kinywa chake mwenyewe, ama mtu huyu anaweza kuinuliwa na maneno yenye kumtia moyo. Ukiri wa mtu...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya "NENO" katika Dunia na Katika Maisha yako

    NGUVU YA "NENO' KATIKA DUNIA NA KATIKA MAISHA YAKO! Anaandika, Robert Heriel. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima, wapate ufahamu. Pia isomwe kipumbavu na hao waliowapumbavu, wazidi kuchanganyikiwa katika njia panda za fikra zao. Andiko hili ni Kwa watu wote. Neno ni sauti yenye maana. Kwa...
  17. ikhlas

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

    Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka. Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mdundo wa juu wa "Dawazi" waboresha maisha ya usiku ya raia

    Tarehe 21 Juni, Saipura Jumaikare mwenye umri wa miaka 19 alishikilia nguzo ndefu na kutembea kwenye kamba ya waya iliyojengwa kati ya majengo katika mtaa wa chakula wa Grand Bazaar huko Urumqi, China.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya maisha kati ya Tanzania na Somalia ni vita, ila ugumu wa maisha huwenda ikawa bora zaidi kule Somalia

    Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe Kwamba ukiwa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Watanzania yanachezewa na CCM, wananachi wanahangaika huku wanasiasa wa CCM wakiwaona wananchi ni wajinga

    Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe. Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga. Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa...
Back
Top Bottom