maisha

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Sengerema hatujalipwa posho za kujikimu, hali ya maisha imekuwa ngumu

    Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu. Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa changamoto kupewa kwa muda, kuna walimu wanapewa nusu na wameahdiwa kupatiwa inayobaki..ila hakuna...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi kwenye starehe?

    Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia pesa, ukistuka kibinda kimeenda kikubwa kiasi unataka kuumia roho ila unatafuta kamsemo ka kujifariji...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha ya wasanii wetu nyuma ya pazia

    🧵 TAFAKURI: Maisha ya Wasanii Nyuma ya Pazia – Kuna Nini Kinaendelea? Kuna jambo huwa linanikaa kichwani kila mara ninaposikia habari za wasanii kufariki katika mazingira ya kutatanisha. Sio kwa lengo la kuhukumu, bali kujiuliza tu… je, tunawajua kweli hawa watu tunaowashangilia kila siku...
  4. JamiiForums Tanzania “Trauma ya Maisha: Nilimkuta Dada Yangu Akiinamishwa na Msela, Mpaka leo sitaki kwenda kwake

    “Kuna siku nishamkuta dada angu kainamishwa na msela akiwekewa mpini ile kitu sijawahi kuheal mpaka leo bahati nzuri ndo kamuoa kubabeki siendagi kwao kabisa 😂👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦👨‍👩‍👧‍👦” Oyaaah acha kabisa, wenye dada....
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) wanachelewesha boom la 3 isivyo kawaida, maisha yanazidi kuwa magumu

    Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2. Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70. Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye wakati mgumu. Naomba kuwasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Machawa wa CCM na uhalisia wa maisha ya mtanzania

    Nauliza kwa dhati kabisa Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi… Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao? Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi, Maisha yamekuwa magumu kupindukia Vijana hawana ajira Wananchi wanalia...
  7. JamiiForums Tanzania Ninatafuta Kitabu Cha Padre Kamugisha Kiitwacho; Maisha ni Mtihani

    Wakuu kama kichwa ninavyojieleza. Kama unajua napoweza kukipata. Nijuze PM
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kalameni kafungwa maisha bila hatia

    Wakati mwingine, watu unaowaamini wanaweza kuwa ndio wanaokuingiza kwenye matatizo makubwa maishani. Musa Makanga, mwendesha bodaboda wa zamani, anasimulia jinsi alivyosalitiwa na mtu ambaye alidhani ni rafiki yake.Jamaa Aliyetumikia Hukumu ya Maisha Baada ya Kukutwa na Simu ZilizoibiwaMusa...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha mazuri ni lazima, ewe kijana wa kiume set standards zako kisha ishi

    Salaam jamiiforum forum. Kwa wakristo wenzangu , hususan Roman katoliki,Leo ni Alhamisi kuu, Ni bado saa chache tu mkombozi wetu aanze kupitia maumivu. Kwani tayari Yuda ana Vipande thelathini vya pesa. Kwa pesa ya Leo kibongobongo unaweza kuta ni milioni 300😂 maana kuuza roho ya mtu Kwa Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  11. JamiiForums Tanzania Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

    Kijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kweli maisha ni mapambano

    Maisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni kukaribisha wateja na kujichekesha jichekesha kama mpuuzi fulani na uku akikata mauno
  13. JamiiForums Tanzania Una lipi la kuongezea kwenye maisha Uswazi?

    Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau? Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal settlements) nchini Tanzania, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Maisha haya yana sifa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wamekuwa sehemu ya hamasa ya maisha kwangu

    Habar za mda huu ndugu Kuna kitu nimekuwa nikikigundua kuhusu maisha yangu kadiri ninavyozidi kukaa na kujitafakari mimi ni mtu ambaye mara nyingi napenda kuwa busy na kujishughulisha na mambo yangu mwenyewe. Maisha yangu mengi yanajengwa na nidhamu ya kazi, kujifunza, na wakati mwingine...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto sio baraka, ni wajibu wa maisha yako yote

    Kabla ya kuwa na mtoto hakikisha una mikakati na mipango thabiti kifedha kuweza kumhudumia mtoto. Kumbuka mtoto toka anazaliwa unawajibika kwake maishani mwake. Hata ukitangulia kufa atakutumia kama mzimu wake umsaidie. Kumleta mtoto duniani na kushindwa kumhudumia ni kinyume na haki za...
  16. JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  17. JamiiForums Tanzania Zaharani - Maisha na mashairi

    ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi wameishia Sakafuni/ Chunga usipige mweleka , Usafi wa Nafsi sio Sabuni/ Unapozungumzia Hip hop , Lazima...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Eng. Kundo, nusuru maisha ya Wananchi na Watumishi Kata ya BUNAMHALA

    Ni jambo la kusikitisha na linaloumiza moyo kuona hali ya miundombinu ya barabara na daraja katika Kata ya Bunamhala, iliyopo Wilaya ya Bariadi Mjini. Mbunge wetu, Mhe. Kundo Andrea Mathew, tunaomba utupie macho hali hii inayotishia uhai wetu. Kama unavyoona kwenye picha na video, hapa ndipo...
  19. JamiiForums Tanzania Sauti nne pekee ambazo sisi wanaume tunapenda kuziskia kwenye maisha yetu.

    #everything in life come and Go
  20. JamiiForums Tanzania Hekima

    Usitake muujiza , kama unaweza kutumia maarifa ukafanikiwa . Hekima uwa Ina jieleza yenyewe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…