Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela
Kabla ya yote ningependa kurejea Luka 1:1-3 Kama inavyosema;
..."Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu...
Abuja, Nigeria - Adeola Ehi alikuwa anatazamia kumpeleka bintiye mwenye umri wa miaka miwili nyumbani kukutana na babu yake kwa mara ya kwanza Krismasi hii. Lakini maombi kwa matumizi ya kaya ambayo yalijumuisha kodi isiyotarajiwa kulifanya mshauri wa mawasiliano mwenye umri wa miaka 43...
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke.
Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa.
Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule...
Usijidanganye kwenda bondeni kutafuta maisha kama huna msingi, wala kibali. Kama unaweza kulipa nyumba Milioni kwa mwezi hapa Tanzania basi unaweza kuishi huko.
Kama unaweza kuishi Masaki na Mbezi beach basi unaweza kuishi huko sababu tabia za huko mazoea ya uswahilini hakuna, ukiweza kuishi...
Oktoba 13, 2022, nilipita katika Taasisi ya Ocean Road (ORCI) na kushuhudia wagonjwa wakiendelea na matibabu.
Baadhi walikuwa waliowahi matibabu ugonjwa ukiwa bado katika hali ya chini na wengine wakiwa wamechelewa na ugonjwa ulikuwa juu.
Nje ya ukuta wa jengo hilo watu wawili walikuwa...
Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; -
Biashara yenyewe
Blog yake
Youtube chanel yake
Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela.
Mfano:-
We ni mkulima wa mboga mboga
Anzisha youtube, kuhusu...
Habari!
Katika maisha watu wengi wanasahau kuweka kumbukumbu ya watu wanaokutana nao na reactions zao.
Kila mtu unayekutana anaweza kuwa daraja la kupanda , kushuka au neutral yaani ni mtu tu hana msaada kwako na hawezi kuwa daraja la kukushusha.
Mtu ambaye ni adui atabaki kuwa adui tu maisha...
Habari za asubuhi ndugu na marafiki!
Kupevuka kiakili ni kuyajua ya Ulimwengu!
Dini karibu zote pia zinatumia sehemu ya formula. hii ya Ulimwengu ambayo kuijua siyo lazima usali dini zilizokuja afrika kwa majahazi na meli!
Nitaufupisha Uzi huu kwa maelezo machache kwani somo hili ni pana sana...
1. Mimi ni msichana wa Miaka 28, ninaishi Dar.
2. Nina mpenda na kumtukuza Mungu aliyehai, dhehebu langu ni KKKT.
3. Elimu yangu ni Degree na ninafanya kazi pia.
4. Napenda kufurahi, kujifunza mambo mbalimbali in all aspects of life kutoka kwa watu wenye positive mind na kufanya maendeleo...
Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k.
Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
Habarini wanajamvi!
Baada ya kupitia makala mbali mbali humu JF na kwengineko nakubaliana kabisa na dhana ya kwamba duniani tunaota tu.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba roho zetu zinaishi milele, hivyo basi ishu ya maisha iwe ni miaka 10 20 au hata 100 ni kama nukta tu kwenye kitu kinachosihi...
Hapa namaanisha Maisha Mazuri
Kula uhakika
Kulala uhakika
Kuvaa uhakika
Unaishi Nyumba nzuri yenye hadhi ya kukaa Binadamu
Unaendesha kipandio chochote chenye Muonekano
Una Biashara au Kazi iliyo-simama
Unasaidia Masikini , wazazi, majirani na Yatima nk.
Huna stress za Mapenzi
Account...
Wasalaam!.
Kuna ndugu wa Mfanyakazi mwenzangu alipatwa na maradhi, akalizimika kulazwa ili kuendelea kupata matibabu zaidi katika moja ya Hospital za Rufaa hapa nchini.
Nilikuwa na ratiba ya kwenda kumuona baada ya ibada. Hivyo nilipotoka kanisani nilienda sokoni kununua baadhi ya vitu vya...
JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni.
Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho hapa JamiiForums imekuwa ni rahisi kuonywa kwa kupewa makavu laivu, tabia zako na mambo yako ya hovyo...
Hilo ndilo swali la msingi
1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania
2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi ambayo ni fake?
Haya ni maamuzi yake. Mafisadi wote wanataka achague namba 2 kwani wanajali matumbo tu...
Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa...
Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu...
Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie..
Biashara ndogo ninayofanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. Kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa..
Naona Msongo wa Mawazo...
Is as if watu hawataondoka kwenye Ardhi hii.
Hili sio Kwa Makamba senior pekee. Viongozi wote mjue Kuna maisha baada ya haya. Wekeni maslahi zenu pembeni, ongea uhalisia. Ukweli na Kwa uaminifu.
Ni vigumu sana kupata heshima kw njia ya zomeazomea. Najua watu hawaielewi zomeazomea. Hili Lina...
Unjani sabuwona
Mzee msambaa anajimwambafai na kujitapa sana sijui kwanini anajitapa hivi labda unapiga kelele ili mwanae aendelee kulamba asali zaidi au ndiyo anajiona yeye ni wenye chama au?
Nimeona interview moja anamkaripia mwandishi mmoja baada ya kumuuliza swali murua halafu yeye anajibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.