Makamarade nimeona nianzishe huu Uzi ili kupeana uzoefu wa maisha ya Jela. Sisi wote ni wafungwa watarajiwa alijisemeaga magufuli.
Sasa hebu tupeane mbinu maisha misamiati tamaduni taratibu za Jela ili siku ukienda kule unakuwa Mwenyeji. Pia tuambiane mabosi wanakaa maeneo gani kule Jela...
Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake.
Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶
Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo...
Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya...
Wakubwa kwangu shikamoni, wadogo kwangu habari zenu ?
Hongereni kwa majukumu na afya njema, poleni mnaoumwa Mungu akawajaalie mpone.
Ndugu, Nilizaliwa miaka 31 iliyopita. nilipenda sana kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi, sikufanikiwa kutokana na umri wangu kupita ule unaotakiwa, kukosa...
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua aliyekuwa mkewe, Herieth Justine kwa kumchoma na kisu mara tatu.
Hukumu hiyo imesomwa leo na Hakimu mkazi mkuu, Evodia Kyaruzi aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo.
Akisoma...
Watu wengi leo tumebaki na tunajiuliza kwanini wimbi la kuvunjika kwa ndoa linakua kwa kasi sana mashauri Mahakamani kuhusu taraka yamekuwa Mengi kiasi kwamba yanataka kuzidi Mashauri ya kesi za Ardhi?
Siku moja alinifata ndugu mmoja akawa ananisimulia kisa chake mke wake amekuwa akimfumania...
Habari!
Mada kuu mahali popote walipo wawili, watatu au hata mtu mmoja ni pesa (mafanikio).
Ukikaa maingilio ya Kariakoo asubuhi utajionea maelfu ya watu wakitembea kwa haraka sana kufukuzana na pesa au mafanikio. Mchezo wa kusaka pesa (money game) ni wa milele. Mtu huacha kuwaza pesa pale...
Sidhani kama kuna mtu anabisha, let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500.
Badala ya kununua gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5 kwa...
Hakika ilikuwa ni siku ambayo binafsi niliumia, ni baada ya kushindwa kuendelea na elimu yangu nilipomaliza form 4 mwaka 2012..
pale home nilionekana nipo nipo tu, ikabidi nitafte mishe ya kujifunza useremala lengo likiwa nikianza kupata pesa nihame, haikuwa kama nilivyotegemea maana hata...
Last week nilikutana na Ex wangu ambae tulikua tunaishi kama mke na mume zamani. Akiwa amemaliza chuo hana ramani, nikamwambia mama usipate shaka mumeo nipo nna kijikazi njoo tuishi, so tukaanza kuishi wote yaani ile happily ever after, so so happy.
Mwanamke wa haswa haswa, sasa tukawa tuna...
Inasikitisha kuwa vijana hawajifunzi kila siku kupelekea kurudia makosa hayo hayo.
Imekuwa mtindo sasa vijana kuwekwa rehani kwa suppliers wa madawa ya kulevya Pakistan na Iran na 'matajiri' kuchukua mzigo kwa mali kauli.
Mwisho wa siku waliowekwa rehani wanatalekezwa, waliochukua mali maisha...
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza.
Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment).
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 154(2) cha sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code) Sura ya 16 (Cap. 16), kama ilivyofanyiwa marejeo...
Watalamu wa sheria hii imekaaje, kifungo cha maisha hapo hapo miaka mitano jela hapo hapo faini
Sema mwamba shujaa sana unamvua mwenzio ubigwa mbele za watu
Source Azam tv
Jamani maisha yanaendelea kuwa magumu kila kukicha especially katika bara la Africa. Yaani the further we go (in terms of years) the worser the situation becomes (in terms of economy).
Vijana waliohitimu vyuo wamefurika mitaani Ila ajira hakuna kabisa.Hii imewasaba ishia vijana wengi misongo ya...
Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi.
Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa...
Salaam wakuu, kuna nyakati binadamu tunapitia mengi katika Safari yetu ya maisha ya kila siku.
Ziwe nyakati nzuri au mbaya, basi kuna funzo muhimu huwa tunalipata katika maisha yetu.
Je, huwa unajisikiaje ukikutana na mtu ambae aliwahi kukudharau au kukuchulia poa katika maisha yako na...
Whats up guys, How is there?
Acha tuendelee wakuu, kila mmoja ana safari ya maisha yake, Wengine wamepita simple/easy way kuwa hapo walipo kutokana na bahati zao ila kuna sisi ambao maybe it's hard without sacrificing ourselves, Me nataka uniambie wewe ukiambiwa uelezee ni nini umejifunza...
Yaani kuna watu wanakera sana yaani kuna watu maisha yao kutwa ni kukopa kopa ndiyo kukopa sikatai kuna vitu kukopa si ishu ila kuna kuna vitu vidogo vidogo navyo mnakopa? Eti pesa ya pombe unanikopa huo ni upumbavu na ujinga! Kumpeleka demu wako picnic nayo unakopa! Kwenda kupigwa miti nayo eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.