mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Akidi ya Wajumbe itapatikanaje na Kura kukubali mabadiliko zitapigwaje

    Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura. Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM hawana uelewa na mabadiliko

    CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu. Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) yatoa ufafanuzi kuhusu hoja za Mdau aliyehoji utendaji wao

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa hoja kadha akieleza kuwa haridhishwi na utendaji wa Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai halisimamii vizuri uhuishaji wa leseni na mengine kadhaa, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo... Hoja ya awali ya Mwananchi huyo ipo hapa - Baraza...
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Jacobs amesema Sheria 2 mpya zimeketa mabadiliko. Ila naona bado hazijakaa sawa

    MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amesema sheria mpya mbili za uchaguzi zimeanzisha mabadiliko muhimu, yakiwemo kuruhusu wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura ya Rais nje ya vituo vyao vya kawaida, pamoja na kuweka utaratibu wa uchaguzi...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yatakayoiponya nchi

    Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi, Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa NIKIWA...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Variation)

    Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli Fikirishi: Nani Anataka Mabadiliko na Amani ya Kweli kati ya Wanaosema No Reform No Election na Wale Wanaosema Watalinda kura?

    Kuna vitu wala havihitaji kuwa la saba C kuving'amua. Huyu anasema no reform no election akimaanish bila mabadiliko ya kweli hakuna uchaguzi na hawa wanaosema watalinda kura.. Hivi unalindaje kura kwa mfano? Ni njia gani watazitumia? Halafu cha ajabu watu hao ni watz, wanajua context yote. Havana
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi ya Kenya iliyofanya mabadiliko (reforms) kuliko nchi yoyote ukanda huu wananchi wake wanalalamika sana? Je, reforms tu zinatosha?

    Kuna watu wanaaminisha watu kwamba reforms ndio mwarobaini wa kila kitu, reforms ndio masiah. Kama kuna nchi imefanya reforms ya kuanzia katiba ya nchi mpaka ya chama cha kufa na kuzikana cha kule Sugoi, basi ni Kenya. Kwa nini Kenya haijawa paradiso ya Afrika Mashariki na Kati kiuchumi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM na jeshi la Polisi wamejizatiti kukabiliana na mabadiliko wakidhani sisi tunafanana na Wakenya niwaambie tu kuwa mabadiliko yanakuja

    Assalam alaykum Mie nimekuwa nafwatilia mtifuano wa wanaharakati wa mabadiliko haswa Chadema na jeshi la Polisi na vyombo vingine Huwa nashangaa sana CCM wanadhani kuwa mabadiliko yanaletwa na watu kuingia barabarani na kupambana na askari wao Hali hii inawaganya kuwa weka askari...
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, Nakushauri (Mimi kama Mwana CCM Mwenzako) tuahirishe Uchaguzi ili Tufanye Mabadiliko ya Katiba na Sheria

    Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo; 1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana, 2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka, 3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
  13. kadeti

    JamiiForums Tanzania Nasisitiza umuhimu wa kusali na kufunga kwa ajili ya kuombea haki na amani nchini mwetu, kama ilivyoelekezwa na Baraza la Maaskofu

    Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki, salaam za haki, amani, upendo na uadilifu kwenu. Awali ya yote, napenda kusema kuwa sisi Watanzania hatukufunzwa wala kulelewa tangu utotoni kuelewa thamani ya siasa na umuhimu wake katika maisha ya kila siku. Mwelekeo huu umeikosesha jamii yetu...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 1995 , hiki ndo kilikuwa kizazi sahihi ambacho kingewezeshwa kingeleta mabadiliko ndo kizazi pekee kilipiga sana kura mwaka 2015

    Ukipitia Takwimu za Tume ya uchaguzi mwaka 2015. Utaona vijana waliojiandikisha mwaka 2015 walikuwa wengi Sana ni wakiozaliwa 1995. Mwaka 2015 , ukifatilia Sana utagundua kizazi cha 1995 kilikuwa kipo shaped kuleta changes . Ila kizazi hiki kinaenda kupotea vibaya Sana . Ndo amabcho...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata mabadiliko iwapo mtesi wetu anakula na kushiba ni lazima afinywe na kukerwa ili akubali kukaa mezani na kujadiliana

    Katika nchi iliyokubali kuwa na vyama vingi vya siasa lakini katiba yake bado ni ya chama kimoja. Ili viongozi wao wawe bora ni lazima wapitishwe kwenye chuo cha Uongozi kilicho mkoa wa Pwani ambacho kinafadhiliwa na Jamhuri ya watu wa China. Chama kina viongozi wanaoamini upinzani ni uahaini...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaongea tu na kujiongelesha ila miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko hapa Tanzania.!

    Huwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Tanzania na ahadi zao najua kabisa hawa wanababaisha tu. Miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko kwa wananchi . Labda kama mnazungumzia kujenga barabara, matundu ya chooo vyumba Vya madarasa na zahanati. Ila mabadiliko yenyewe ambayo yanaweza kuitoa nchi kwenye...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilidhania ongezeko la visirani kwa wadada ni kutokana na mabadiliko ya nyakati ila nilikosea. Ni kutokana udhaifu wa vidume wa kisasa

    Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii. Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  20. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaotaka Mabadiliko Nchi hii tunaombea Simba Agome serious asilete Team uwanjani

    Habari Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani. WHY? Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
Back
Top Bottom