Je,
Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania?
Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
Kila kitu hubadilika ila mabadiliko ndo kitu pekee hakibadiliki.
Mabadiliko yanapokuja au kutokea , Jaribu kuyaeleweka na kubadilika kutokana na hayo mabadiliko .
Mfano mdogo ni platform za kufanya siasa.
Ili chama kiwe relevant au mwanasiasa awe relevant inambidi awe relevant mtandaoni kwa...
Inawezekana vipi mabadiliko ya kisiasa Tanzania kutokea kabla ya muundo wa muungano kushugulikiwa?
Kwa tabaka tawala na state machinery suala la muungano ni kufa na kupona, kwao haiyumkiniki muungano kuvunjika kwa hiyo hata kama wangekuwa wanademokrasia vya kutosha wakubali ushindi wa upinzani...
Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini?
Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao, unawawezesha vijiji vyote.
Kwa nini mada hii ina nguvu:
1. Wao ndio daraja kati ya serikali na wananchi...
Kwanza kabisa niseme kuwa hayo niliyoandika hapo chini ni summary kwa mujibu wa yale ambayo Mungu anawaonyesha watu wake katika ulimwengu wa roho na kwa hiyo sifa heshima utukufu arudishiwe Mungu na si mwanadamu awaye yeyote yule. Ni upendo mkubwa sana wa Mungu kuwa hutujulisha wanadamu yale...
Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka...
Habari za jioni wana-JF,
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mijadala na utani mwingi mtandaoni unaoonyesha kuwepo kwa mivutano kati ya kizazi cha Millennials (waliozaliwa miaka ya 1980 hadi katikati ya 1990) na Gen Z (waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1990 hadi mapema 2010)...
Kuna mambo mengine yapo wazi kabisa kwamba taifa linahitaji mabadiliko.
Kuwa na katiba ambayo ilitungwa na makada wa CCM ambao hawakushirikisha wananchi ni aibu kwa taifa kama hili na haifai
Watanganyika wanataka katiba ambayo kwanza itatambua taifa lao. Alafu katiba ambayo itawapa mamlaka...
Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu.
Katika uwanja wa software development, mabadiliko haya yamejidhihirisha wazi wazi, hasa kupitia ujio wa Artificial Intelligence (AI) na ndio...
Nadhani mtakubaliana nami, sidhani kama Watanzania wanahitaji wanahitaji mabadiliko kwa sasa.
Maana tukianza na mabadiliko kwanza majangili watatuchezea nakuleta lichama B maana wana watu wao kila mahali
Suluhisho ni regime change kwa sasa baada ya regime change ndo mengine yafuate ikiwemo...
Mafanikio yako ni mabadiliko kwa wengine
Kitendo cha kupigania ndoto au malengo yako ni kitendo cha kuthamini kuumbwa kwako kutoka kwa Mungu, kitendo cha ku thamini wazazi wako na jamii kwa ujumla.
Unapofanikiwa kwenye maisha yako hayakunufaishi wewe pekee bali familia yako, wazazi wako na...
Kama Mwanachadema wa Kanda ya Kaskazini wa Chadema, naijua kanda hii vizuri – tumejenga imani ya wananchi kwa miaka mingi, tumevumilia mateso, na tumeendelea kuwa nguvu ya mabadiliko
Nawakumbusha ndugu zangu wa Chadema: hawa si wa kwanza, wala hawatakuwa wa mwisho. Na hii si habari mbaya tu –...
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya...
Walichofanya kampuni ya maroboti kutoka China Unitree Robotics katika sherehe za mwaka mpya wa kichina 2025 na hii ya juzi tu hapa ni kuonesha kwa namna gani haya mataifa makubwa kama China walivyo shupalia suala zima la AI na maendeleo yake.
Lakini mimi hii teknolojia ya AI toka kuanza...
Anatenda kama hatendi,...
Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.
Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.
Tumuombee,Tumtie...
Mjadala mzito umeibuka mtandaoni kufuatia Mwekezaji na Rais wa heshima Klabu ya Simba Mo Dewji kukomenti kwenye Moja ya Post katika Ukurasa wa Instagram wa Klabu hiyo, akiandika "Transformation mmefikia wapi?“, akionesha kuuliza ulipofikia mchakato wa mabadiliko.
Wadau wengi wa michezo...
YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati kwa Wizara hizo kuwa na Makatibu Wakuu wawili kwa kila Wizara, kuteua na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.