Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya kuboresha ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ngazi ya Mamlaka za...
Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekichambua kizazi cha vijana (Gen-Z) kama silaha kuu na yenye nguvu zaidi katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania, akitaja sifa tatu za kipekee zinazowafanya kuwa mstari wa mbele.
Akizungumza leo...
Kuendelea kuteka na kuuwa na kuendelea kuwashikiria watu mateka na kutofanyika kwa mabadiliko yoyote kutochochea maandamano mengine makubwa.
Vitendo hivi wananchi hawavichukulii kama vitisho bali vinachochea moto na hasira lazima maiti ziachiliwe, mateka wote na wafungwa wa kisiasa waachiliwe...
Wizara ya Ndani, aliyekuwepo kaondolewa kwa sababu pale Kuna manunuzi ya upigaji, na alionekana ni mtu ambaye hapendi upigaji katika manunuzi hayo ndiyo maana kawekwa Bwana Mdogo asiyebweka.
Wizara ya Habari & Michezo, Kuna hela mingi sana pale za ujenzi na ukarabati wa viwanja vya michezo...
My people,
Utangulizi
Uhuru wa kutoa maoni na mawazo unaenda sambamba pamoja na kusikiliza maoni na mawazo ya watu wengine, si mwenye busara mwenye kutaka kusikilizwa tu, bali mwenye busara ni yule ambaye yupo open minded kusikiliza na upande wa pili hata kama ahafikiani na maoni na mawazo...
Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
Katika safari ya kudai mabadiliko ya kweli nchini, kumekuwa na misimamo tofauti, shutuma, dhihaka na hata manyanyaso yanayowakumba wale wanaosimama kidete kutetea haki, uhuru na ustawi wa taifa. Wapo wanaotubeza, wanaotukejeli na hata wanaofurahia mateso ya wapigania mabadiliko. Lakini katika...
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.
Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi
Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.
Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa...
Wale wa ICC
Kazi imeshaisha.
Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria.
Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa.
Tukamalize kazi ICC...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Sumbawanga, Adolf Mkono akizungumza katika kongamano la amani na utulivu lililo fanyika Novemba 27,2025 katika ukumbi wa Nazareth Sumbawanga.
"Chaguo ni moja tu, ni watawala kukubali kubadilika, watu wanamaumivu ya muda mrefu na wanahitaji mabadiliko."
Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi
kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri
Maafisa...
Photo: fintechassociation.africa/
Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora, kuendelea kwa vitendo vya ufisadi na mifumo dhaifu ya uwajibikaji.
Hali hii imekuwa ikitazamwa kama...
Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?
Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa.
Huwezi kuuwa maelfu ya watu na kuiba kura na kujifanya rais alafu ukatuwa na nia njema na sisi wewe unakuwa ni adui namba moja wa taifa.
Kanisa Katoliki ( Roman Catholic ) ndio kanisa la kale zaidi huku likishika historia nzima ya ukristo na likirekodi matukio mbalimbali tangu kuanza kwa ukristo hadi sasa...
Katika ku rekodi matukio na mambo muhimu ya ukristo, kanisa katoliki kuanzia lilipo anzishwa limeweza ku hakiki mambo...
Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu
Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani.
Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya
Mwangalie Traore
Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana.
Ukizeeka thinking capacity yako inakufa
Ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.