mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia

    Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
  2. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Mabadiliko: Wito wa Serikali ya Mpito kwa Ajili ya Tanzania Mpya

    Ili Tanzania irudi tulipokuwa nchi ya amani, utu na heshima tunahitaji kwanza kuwa na Serikali ya Mpito (Interim Government). Hii ni kwa sababu kile kinachoitwa serikali ya sasa kimekuwa chanzo kikuu cha migogoro, mateso na maumivu makubwa kwa wananchi. Kwa muda mrefu tumeona na kushuhudia...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake. Kama mtu anafikiri sisi tunaomba, ngoja muone. Moto utawaka

    Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake kama mtu anafikiri sisi tunaomba ngoja muone moto utawaka Tunataka nchi yetu tutakinukisha
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha.

    Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha. wenye nchi tumeshasema nani qnabisha ?
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia

    Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia leo ndio leo tunataka nchi yetu.
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Message sent: Ipo siku nguvu ya umma italeta mabadiliko Tanzania

    Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli. Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha. Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
  8. passioner255

    JamiiForums Tanzania Huu ni muda wa mabadiliko

    Nataka niwaambie viongozi kwamba huu ni muda wa mabadiko, watu wanaona nchi ina rasilimali nyingi lakini masikini. Pia kuna, Rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka n.k, atakayetaka zuia mabadiliko hakika ataishia pabaya kama ambavyo yalivyo mabadiliko duniani kote.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wana mabadiliko na wapigania haki Wamekosa Godfather au Mastermind ndio maana ushindi unachelewa

    Hamjambo wote! Mapambano kwa sasa ni makali sana. Upande wa watetezi wa haki unapata damage kubwa kwa kupoteza wapiganaji wake kila kukicha. Naona upande wa mabadiliko wamekosa Godfather au mastermind wa kuhakikisha madhara makubwa hayatokei kwa timu yao. Wakati upande wa wanamtandao...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa CHAD kuongoza kwa kipindi kisichokuwa na ukomo

    Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti. Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni sasa

    mabadiliko ni sasa
  12. E

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyojinadi kuleta mabadiliko ya Katiba baada ya uchaguzi kupitia Ilani

    Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo. Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kuna maeneo 6 ya msingi hata kesho yakifanyiwa kazi Uchaguzi utakuwa wa haki

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Jjijini Dar es Saam rais wa TLS Chama cha Wanasheria (Tanganyika Law Society ) Wakili Mwabukusi amesema kuwa kuna maeneo 7 critical na 6 niya muhimu sana hata kesho yakifanyiwa marekebisho uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki tukikaa mezani tuone tatizo liko...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Shindano la uvumbuzi linaloongozwa na China laangazia vijana wa Kiafrika wanaoendesha mabadiliko endelevu

    Lavenda Chepkirui, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 25 kutoka Chuo Kikuu cha Kabianga nchini Kenya, alipiga hatua kubwa ya kutimiza maono yake ya kubadilisha kilimo barani Afrika kwa kutumia suluhu rafiki kwa mazingira. Uvumbuzi wake, plastiki ya kwenye udongo inayoweza kuoza ambayo...
  15. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kuna siku nimeenda NIDA nilishangaa kuona hawa jamaa wapo na mabadiliko makubwa ya kihuduma .

    Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia zote ya kistaarabu kufeli, Wapenda Mabadiliko fanyeni haya ili tupate Mabadiliko ya kweli

    Kwa sasa wenye mamlaka wameamua kutumia silaha zote dhidi ya wanaotetea Haki, Utawala Bora na Demokrasia. Wameona kuua, kuteka na kupoteza haitoshi hivyo sasaivi wamevifanya vyombo vyote vilivyotegemewa na Wananchi wa kawaida kuwa dhidi ya Wananchi hao. Kutumika kwa Mahakama kukandamiza Haki...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

    Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

    Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi. Amesema amekuwa akiwasiliana na...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya

    Kabla sijaja public na kudeclare nia yangu ya kutaka kuwa Rais wa Tanzania ilinibidi kwa jasho na damu nijufunze uongozi ni nini??? unfortunately elimu haifundishi masomo ya uongozi kwa hiyo ilinibidi binafsi nijufunze kwa nguvu zote uongozi ni nini Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna kura ya hapana, wajumbe 99.8% walioshiriki wanataka Maboresho ya Katiba CCM

    Wakuu, Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
Back
Top Bottom