kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Watu wote wenye msongo wa mawazo kuhusu January fanyeni yafuatayo mwakani msiwe vichaa

    1. Kama unaishi nyumba ya kupanga make sure mkataba wako wa pango unaanza katikakati ya mwaka au mwishoni na Januari haupo kwenye list ya wadaiwa wa kodi 2. Kama umepanga eneo la biashara lipa kodi ya pango November au Desemba mwanzoni hautaweza kufanya matumizi makubwa kuzidi bajeti...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  3. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wa kufugwa

    Wakuu Tumekuwa tukifuga sana wanyama majumbani mwetu kwa miaka mingi hasa jamii za kiafrika. Ingawaje tumekuwa tukiwatendea unyama uhuni wanyama tuwafugao. Hapa nitaeleza kwa ufupi niliyoyajua na kuyaona kwa wanyama wa nyumbani hasa wafugwao na tabia zao ambazo ni very rare kuziona ..! PUNDA...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ziara za mafunzo na masomo ya vitendo Israel

    Kumekuwa na upotoshaji kuhusu ziara za mafunzo na vitendo (Internship programs) zinazofanywa na wanafunzi wa fani za Kilimo na ufugaji toka pale SUA na hii ni baada ya vifo vya vijana wetu wawili waliouliwa na HAMAS. Na declare interest kuwa mimi ni mmoja wapo wa member waanzilishi wa SUGECO...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

    Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kuna la kujifunza hapa kuhusu heshima

    Mwanamke mmoja aliyekuwa anaitwa Nancy alikuwa anafanya kazi kwenye kiwanda cha kusambaza na kusaga nyama. Siku moja, baada ya kumaliza ratiba yake ya kazi, aliingia kwenye chumba cha baridi (friji) cha nyama ili kukagua kitu, lakini kwa bahati mbaya, mlango ulijifunga na akakwama ndani bila...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuhamia kwangu

    Wakuu wasaalam Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua...
  9. Championship

    JamiiForums Tanzania Vijana sahauni kuhusu ajira, wenzenu wanafanikiwa kwenye biashara mbalimbali

    Nimefurahi sana nilipokutana na jamaa zangu tulimaliza chuo mwaka mmoja na wamefanikiwa kimaisha japo hawakuwahi kuajiriwa Mmoja aliamua kuwa bodaboda pamoja na digrii yake. Kwasasa amejenga nyumba mbeya mjini. Anazo bajaji kadhaa kaajiri vijana na analo duka kubwa la jumla. Mwingine yeye...
  10. Tanki

    JamiiForums Tanzania Mnaojua kuhusu hili naomba kujuzwa (YouTube)

    Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii?? Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
  11. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Yaani naandika kwa uchungu sana kuhusu hawa zuku, najuta hata kulipia kifurushi cha mwezi huu

    Yaani ni kama nimetapeliwa, leo ni siku ya sita naomba kuhamishiwa huduma kwenye jengo jipya ila hayo majibu ninayopewa we acha tu Huku huduma sipati, na huku siku zinakataaa na simu hawapokei na wakipokea hiyo shombo sasa Najuuuutaaa kuwajua zuku
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

    Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu. Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje. Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi. Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Watu hawapaswi kuhofu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM. Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu. Kweli...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania TEC toeni msimamo kama wa Nigeria na Ghana kuhusu kauli ya Papa Francis

    Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na Benedict XVI hawakuwahi kuyumba wala kutoa matakamko ya kuzua taharuki kiasi hiki
  15. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Tuambiane kuhusu matumizi ya jana!!

    Vipi ulitumia kiasi gani kwa ajili ya sherehe za christmass? Matumizi hayo unayaonaje utayarecover vipi january hii?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kuhusu biashara ya usafi majumbani na maofisini

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi. Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Gaza, usiopendwa na wakristo wasio haki

    1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo. 2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu na nchi. 3. Kwamba hapo #2; day 1: kuliumbwa nuru katika giza; day 2: kukaumbwa mbIngu day 3...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

    Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako; "Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣" Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
Back
Top Bottom