Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!.
Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI"
Yawezekana members wenye akili nusu...
Tufaidishane pengine tukaokoa watu wengi kutotapeliwa au kuingiza faida.
Kuna namba ilinitumia message telegram wakidai wao ni kampuni ya marketing za online ambapo wanafanya media buy wakishirikiana na makampuni mbalimbali. Wanachofanya ni ku-recruit watu kufanya kazi ya ziada binafsi...
Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?
Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika...
Uchumi wa Libya ni GDP 40 billion usd. Population ya Libya ni 7 million.
Kipindi cha utawala wa Gaddafi tuliambiwa wananchi wa Libya walibudumia Mambo mention bure na serikali ya Gaddafi.
Miongoni mwa huduma za bure ni
a) Nyumba bure
b) Maji bure
c) Umeme bure
d) Shule bure hadi chuo Kikuyu
e)...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda!
Shemeji/wifi yenu kanizalia kakijana ka kiume sasa tatizo kanasumbuliwa na hiyo kitu. Hospitali tushanunua dawa...
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na comment ya Fatma Karume akijibu maneno ya mdau kuwa "Shangazi huna ndoa, tulia".
Inaonekana Shangazi aliumizwa sana na matukio ya mume wake ndio maana akaamua kuiacha Ndoa yake.
Wale waliokuwa wanasema Shangazi ameachwa kwasababu ya Ujeuri na...
Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi .
Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni...
Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia.
Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED
SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita...
Utasikia;
1. Usikae na ndugu yako ni shida
2. Usiajiri ndugu utakuja kulia
3. Ndugu ni wa kukaa nao mbali na nyingine nyingi
Nafikiri umoja kwa familia na undugu wa damu ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii zetu. Tusitegemee kupata maendeleo kama taifa endapo jamii hasa ndugu hawawezi...
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!
Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters...
Hebu jisomee mwenyewe huu utetezi duni.
========
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’ ikiwa pia ni Ndege ya zamani ambayo ilishakosa vigezo vya kuendelea kuruka.
Baada ya kuandikwa...
Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..
Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee???
Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana.
Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda...
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.
Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani
Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani...
Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani?
Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo?
Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.