kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi sijui chochote kuhusu mahusiano ya kupenda ama kupendwa

    Habari za wakati huu wana jf Nimeona bora kuwa mkweli uenda nikapata mitizamo itakayo nijenga juu ya swala hili zima la mahusiano ya kimapenzi.. nina umri wa miaka 30 , mpaka namaliza elimu ya diploma ya uandisi wa ujenzi , sijawahi kuwa na mahusino ya kimapenzi kabisaa. na sikuhitaji kabisa...
  3. Logikos

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wakenya walivyomlazimisha Obama aongee Kuhusu Raila (Eulogize him !!!)

    Hii sijui niichukulie vipi nadhani (etiquette) za kwenye mitandao zimetushinda kuna katabia fulani ka kulazimishana na Bullying ambako sidhani kama ni kazuri sana, pia tunakuwa petty sana kwa kufurahishwa na tuvitu, na kupenda kuuza Sura.... Case in Point; Pia soma > Baada ya Wakenya kuvamia...
  4. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kwamba nao watakaa tu kimya na kutazama imani yao inavyobagazwa na kubanangwa?

    Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua? Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mwanakijiji Afunguka Kuhusu Padri Aliyepotea

    Mwanakijiji wa kijiji cha Mawa, kata ya Hanga wilayani Namtumbo, amefunguka kuhusu Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, aliyepotea tangu Oktoba 9. Mwanakijiji huyo amesema kuwa alimkuta padri akiwa amedhoofika na kumsaidia kwa kumpa maji kabla ya kumtoa msituni.
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki libadili mtazamo kuhusu jinsi linavyowatendea Mapadre na Watawa

    Binafsi nimesomea Katoke Seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Nikiwa mtu niliyeishi ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki, ninaweza kusema kwa ukweli kuwa kanisa hili limejipanga vizuri sana katika idara na utendaji wake. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa katika namna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
  9. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inayo jali Utu wa mtu itoe Tamko kuhusu Polepole

    serikali inayojali utu wa mtu tunaomba itoe tamko kuhusu Polepole huyu alikua katibu Mwenezi Mjumbe wa kamati kuu Usalama wa Taifa hawezi kupotea kama kuku
  10. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutekwa kwa Hamphrey Polepole, kuna maswali yanakosa majibu kwangu

    Wakuu regards kwenu, Wote tonajua jinsi ndugu Polepole alivyo jiweka hatarini kuanzia kujiuzuru mpaka kuibua maovu mengi ya ndani ya serikali. Ni dhairi shairi alijua hatari kubwa iliyomzunguka ukizingatia nyakati tulipo utekaji na mauaji yameongezeka sana sana i.e ni juzi tu mzee Ally Kibao...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku na Warioba, Ongeeni kuhusu Polepole kudaiwa kutekwa

    Mkikaa kimya wakati kijana wenu katekwa, ina maana mmemsaliti. Na huenda nyie ndio mmetoa taarifa za uwepo wa Polepole TZ. Hasa mzee Butiku, Watanzania tunafikiri Wewe ndiye umemsaliti Polepole. Na kimya chako kinazidi kutu fanya tuendelee kuamini hivyo.
  12. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Maono kuhusu muelekeo na upepo wa Maandamano 29/10

    Moja kwa moja. Katika harakati zote za maandamano bongo hakuna maandamano ambayo yanajoto , hamasa , vuguvugu na muamko mkubwa kama hii ya safari hii , pamoja na hayo sioni kabisa kufanikiwa kutokana na sababu nyingi miongoni mwa hizo ni zifuatazo ; 1. Nguvu yake , umaarufu na hamasa ni...
  13. MIHULU

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kufikirisha kuhusu Polepole

    Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?. Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi? Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza? NB: Afande Tesha ametumika...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Tunaamini kuhusu deep state basi Tusimlaumu Mama bali tumuhurumie, na Tumsaidie

    Imani ya Deep state imekuwa sana. Maana ya Taifa kuwa chini ya watu wasiojulikana(deep state) liko nje ya uwezo wa Raisi. Inaaminika ata tawala za ulaya zipo chini ya deep state. Kwanini nasema hivyo. Moja vaa viatu vyake. Deep state ni kama Shetani mkuu. Atakupandisha juu ya mlima mrefu...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nitatoa tamko kuhusu video ya anayedaiwa kuwa kapteni wa jeshi la anga

    Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa. Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga. Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Tafadhali usipite bila kuchangia kuhusu CVT

    Ndugu zangu,kama unajua kitu toa msaada wa kielimu kwa anayeomba msaada.Kukaa kimya kwako mwenzakl anapata hasara kubwa sana wakati ungemuelimisha angesaidika na Mungu wa mbinguni angekubariki. Nina Suzuki Swift 2008,engine yake ni K12B,gearbox yake ni cvt, haina dip stick. Sasa mara ya kwanza...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu kuhusu viongozi kupita kwenye carpet

    Huu ni mtazomo wangu tu viongozi kupita kwa carpet hasa africa ni kuepuka kuchotwa nyayo za miguu kama hivi.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TBS yatoa ufafanuzi kuhusu viuatilifu vinavyotumika katika kilimo cha mbogamboga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na majukumu mengine hufanya ufuatiliaji wa bidhaa za mbogamboga ili kuhakiki usalama wake. Kilimo cha mazao ya mbogamboga, hutumia viuatilifu ili kukabiliana na wadudu waharibifu, magonjwa ya mimea na magugu ambapo viuatilifu vinavyotakiwa kutumika ni...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwagala: Padri Jordan Kibiki alikutwa Mbeya akiwa na depression

    Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya.
Back
Top Bottom