Yaani zinatajwa kila kitu ila hakuna kutaja idadi, ilitajwa idadi ya waliokufa kwwnye mv bukoba, ajali train kule Dodoma idadi ilitajwa, japokuwa na yenyewe namba zilipikwa, leo kutaja idadi ya waliokufa kwwnye maandamano ndio inamaanisha watu wanasherekea mauaji yaliyotokea?🤣🤣 Mwigulu...
Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D.
Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake.
Nawakumbusha Gen Z, jukumu lililoko mbele yetu ni D9, ambapo tutaandamana tukimtaka Samia ajiuzulu na serikali yake yote...
Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa.
Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
Mwandishi wa CNN Larry Madowo amesema pamoja na uwepo wa kampeni na jitihada kubwa za kufubaza ukweli zinazoendelea kwa siku mbili sasa kwenye mitandao ya kijamii tangu watoe ripoti yao ambayo ameiita ni sehemu ndogo tu ya uchunguzi wao, waliainisha mambo ambayo tu wanaweza kuyathibitisha...
Habari za wakati huu;
ni muda mrefu tangu niliposhiriki mijadala hapa jukwaani.Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo sababu za mbalimbali ikiwemo za binafsi na za ujumla.Hata hivyo leo nimewiwa kurejea na kuleta muendelezo wa mijadala yetu ya biashara na ujasiriamali nikiamini kwamba kuna...
Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno.
Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
Msigwa ameulizwa kuhusu response ya serikali kuhusu maandamano yanayopamgwa kufanyika Disemba 9, ambapo amesema:
"Kuhusu maandamano ya Tisa Disemba, tunawasihi vijana wajiepushe na kufuata mkumbo kwa kujihusisha na vitendo vya kuharibu amani.
"Tumejipamga kuhakikisha usalama wa raia na mali...
Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi
"Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
Wadau,
Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali .
Taarifa ya gazetini inapaswa...
Matamko yalianza mkoa kwa mkoa kuanzia na wakuu wa polisi mikoa kuwaita bodaboda na bajaji na kuanza kuwaonya kuhusu maandamano ya D9. Hao si watu huru? Hao si wajasiriamali? Hao si watu wazima? Mbona kuwatesa kwa kujifanya mnawashauri.
Mmechangia kiasi gani kuboresha maisha yao? Hawana ndugu...
1. SIO WATANZANIA
2.WALIFUATA MKUMBO
3.WAMELIPWA ILI WAANDAMANE
4.HAKUNA MTU ALIEULIWA ILE NI AI (tunaunda tume kuchunguza mauaji)
5.WALE NI WAHALIFU
6.HAO VIJANA WALIOANDAMANA WATUAMBIE HAKI ZIPI WAMEKOSA
mnatuchanganya au ndio pressure imezidi.
Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina…
Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu.
Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana.
Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
"Menejimenti ya Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru imesikitishwa na kitendo cha watu wenye nia ya kuzua taharuki kwa wananchi kutengeneza video yenye picha za miili ya watu ikiwa na maelezo kuwa video hiyo imerekodiwa kutoka chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali hii.
Tunapenda kukanusha kuwa...
Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake.
Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana.
Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia...
Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.