Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini,
Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika.
Hatimaye yametimia leo.
"Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?".
Mbunge mteule wa...
Nilimskiliza Mwanasheria wetu wa Serikali akiongea kuhusu Mange Kimambi kufanya jinai kwa kuhamasisha Maandamano, na akaendelea kwa kusema anafanya jitihada zozote hata za Kidiplomasia Mange arudishwe kujibu mashitaka. Ni aibu sana kwa mwanasheria msomi kuongea PUMBA kama hizi. Ninapata wasiwasi...
THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY.
By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga
Dar es Salaam, Tanzania
The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
adui
democracy
fighting
habari
kelele
kenya
kuhusu
kupiga
mitandao
mitandaoni
mpango
na vyombo
sehemu
siku
tanzania
tarehe
tarehe 29
uasi
uvamizi
vyombo
vyombo vya habari
waasi
wakenya
Wanabodi
https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU
Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!.
Kwa jinsi anavyomzungumzia mwanae Niffer jinsi alivyo ni nguzo na tegemeo la familia yao, yeye ni mgonjwa, tegemeo lake ni...
🧭 Muktadha wa Dunia: Cold War (1950s–1980s)
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia iligawanyika katika kambi mbili kubwa:
Kambi ya Magharibi 🇺🇸 – inayoongozwa na Marekani na Uingereza (mfumo wa ubepari/demokrasia ya kibepari).
Kambi ya Mashariki 🇷🇺 – inayoongozwa na Muungano wa Kisovieti...
Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi.
Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
Nyerere alisema mtu yeyote anayetaka kwenda ikulu kwa kutoa pesa anataka kwenda kufanya biashara ikulu.
Tuliona Mbowe mwenyekiti wa chadema akiingia ikulu kukutana na rais Samia akiwa mifuko ya gwanda lake la chadema bapa.
Kutoka picha zikaonesha mifuko ya gwanda la chadema limetuna. Mara...
Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta
Kwa hali hii...
Wanabodi
Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma.
Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki.
Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho...
Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi.
Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni.
Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia.
Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa...
Baada ya kuchambua video ya leo ya Samia nimeona kwa macho yangu kuwa alipo tangaziwa na kupewa cheti sio Jengo/Ofisi za Tume Dodoma, kwa maana nyingine Juhudi zetu za watu kwenda maeneo ya tume zilionesha matumaini na kujaza hofu za hawa madhalimu.
Kingine baada ya kuangalia Ramani vizuri...
Maandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe.
Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza...
Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako.
Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka 2 ambapo Engineer aliongozana na Aziz Ki kwenda kwenye tamasha, na haikuwa mara yakwanza Engineer...
Samia anazidi kujipatia sifa mbaya kimataifa!
Mcheki jamaa hapa akitoa maoni yake halafu ukiweza ingia kwenye sehemu ya maoni, ingia usome maoni ya wadau.
This woman….what has become of her?
https://youtu.be/J74HbQn--9k?si=lBxkXpYzIRwtkVDz
Pande ni mbili tu. Uwe mpiga kura au mwandamanaji haramu. Uamuzi ni wako. Ukiwa mpiga kura utaenda kituoni na kupiga kura kisha kurudi kwako kwa amani. Ila ukiwa mwandamanaji haramu utakutana na polisi wakiwa tayari kukuzuia kufanya huo upuuzi. Waandamanaji haramu wenye bahati wanaweza rudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.