kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania TOC iachwe ichape kazi; Viongozi wapya hawa hapa!

    Kamati ya Olympick imeapishwa na wakili Gaston George Mwageni Peacock Hotel, Dar es Salaam. rais- 1 Leonard Thadeo Katunzi 2. Nasra Juma Mohammed 3. Khalid Yahya Rushaka, 4 Noorelain GulamHussein Shariff, 5. Suma Stephen Mwaitenda, 6. Amina Mohamed Mfaume 7. Abdulkher Mohamed...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  3. JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na lab technician hospitali ambaye ndio ametoka chuo na bado hajachoka kazi ya kukoroga koroga pupu na susu kila siku

  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya: Serikali ya Tanzania imepoteza mabilioni ya pesa kwa watu kutokufanya kazi Julai 7, 2026

  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Ualimu Shule ya Ellen White

    Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa. Kitu cha tofuati kuhusu shule hii ni kwamba, inakwenda na wakati, mfumo wake wa maombi ya kazi ni kama ule wa ajira portal...
  6. JamiiForums Tanzania Alloyce, P.R.: Nguzo za kimkakati kuhakikisha Idara za Usalama wa Taifa zinafanya kazi ipasavyo

    Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi ya ajabu, usalama wa taifa hautegemei tu idadi ya watumishi au zana za kivita, bali unategemea ufanisi, weledi, na wepesi wa Idara za Kijasusi na Usalama katika kubaini, kuchambua, na kuzuia matishio. Ili kuhakikisha idara hizi (kama vile TISS...
  7. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Bibi: Kazi au Familia Kwanza?

    Kuna siku nilikaa na bibi yangu tukizungumza kuhusu maisha yake ya zamani. Nilimuuliza swali ambalo lilinifanya nisikie simulizi ambayo hata baadhi ya wajukuu zake hawakuwa wamewahi kuisikia. Niligundua kuwa zamani alikuwa amesomea na kufanya kazi ya uuguzi, lakini baadaye akaja kuwa mwalimu...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mpya kupitia ajira portal

    Ukipata challenge tuwasiliane kwa 0623446608 nikusaidie personally.
  9. JamiiForums Tanzania Heche: Kazi ya siasa imegeuzwa kuwa ya hatari, kila ukitoka umekubali watoto wako kuwa yatima

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa neno la rambirambi katika msiba wa aliyekuwa Dereva wake, Suezi Maradufu, leo Julai 5, 2026 amesema "Kazi hii tunayoifanya haipaswi kuwa kazi ya hatari. Ni kazi inayopaswa kuwa ya halali kabisa. Tangu mwaka 1992 tuliridhia kwamba tutakuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Kazi zangu za sanaa! Kutoka sketching mpaka acrylic painting. Ungana na mm hapa hapa jukwaan

    Naamin sote mnaendelea vizuri. Huu ni uzi maalum kabisa special kwa kazi zangu binafsi za sanaa na biashara endelevu. Binafsi ni msanii wa sanaa ya uchoraji, natangaza kaz zangu hapahapa jukwaan. Kwanza kabisa maandalizi. Frem Penseli Picha unayoichira Rangi Rula na Mwisho, ni uwezo binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Shekhe Mwaipopo akitambulisha kikosi cha "tiger", kutembea juu ya madaraja

  12. JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni fundi Umeme wa viwandani Jaribu hii nafasi ya kazi........

  14. JamiiForums Tanzania Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
  15. JamiiForums Tanzania JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

    Wanaukumbi. JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌 JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli. JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ni nini, na kazi yake ni nini?

    Leo nimewaza na kuwazua, sikupata jibu: dola ni nini? Je, ni mkusanyiko wa viongozi na wananchi au ni viongozi peke yao? Kazi ya dola ni nini? Kujilinda au kulinda wengine? Wajibu wa raia kwa dola ni nini—kuitii, kuiogopa na kujinyongesha au kuna namna nyingine? Au dola ndiyo majeshi, au...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna aliewahi kuchanganya dini na kazi na akafanikiwa. Wamarekani imani yao ni capitalism, warusi ni ukomonisti, sasa walinganishe na sisi.

    Najua hautaelewa kwa sababu umelewa dini. Umevaa lishuka lako hapo unashindwa kwenda nje ya box kisa tu sijui hadithi ya shemeji ya nabii hakufanya hivyo basi ni haramu Umekaa hapo unajiandaa kesho kupeleka 100,000 ya kujimaliza kwa jamaa akutoe nuksi ili ufanikiwe na unapakwa mafuta usoni...
  18. JamiiForums Tanzania Katika Kipindi cha Miaka 30 ya Uwepo Wake, TRA Yafanya Mengi, Makubwa, Muzuri ya Mafanikio, Mfano ni Hai ni Hii Taarifa ya Mwaka Mmoja Tuu!.

    Wanabodi, Naendelea na Makala maalum za Maadhimisho ya Miaka 30 ya TRA, hii ni taarifa ya TRA Wenyewe Niwatakie Jumamosi Njema. Paskali.
  19. JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila wafanyakazi wenye sifa sahihi za uzalishaji kwa vitendo ndio hakuna

    Wapo watakao kuja na vyeti vingi na ufaulu wa A+ na kusema wana sifa sahihi za kupata kazi, lakini ukiwapa kazi wafanye kwa vitendo wanashindwa na kupelekea kupata hasara au kushuka kwa mauzo/faida. Mfano: Kiwanda X kinazalisha baiskeli 1000 kwa siku, na ili kiwanda X kiendelee kuzalisha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…