kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Red Cross Society

    Founded in 1962, Tanzania Red Cross Society has extended humanitarian services in helping those in need both Tanzanians and refugees from neighbouring countries. Over 50 years of its existence, the National Society is on “A Paradigm Shift”, looking from different perspectives to develop...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TCRA, Afisa teknolojia habari na mawasiliano(TEHAMA)

    Overview The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a quasi-independent Government body responsible for regulating the Communications in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Act No.12 of 2003 to regulate the electronic communications, Postal...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Geita Gold Mining ltd

    Overview Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Ifakara Health Institute

    Ifakara Health Institute (IHI) is a leading research organization in Africa with a strong track record in developing, testing and validating innovations for health. Driven by a core strategic mandate for research, training and services, the Institute’s work now spans a wide spectrum, covering...
  5. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Matamasha ni faida kwa Wasanii au ndio Mwisho wa Mipaka yao ya kazi..?

    kwa sasa kiwanda cha burudani kimechangamka na kimechangamshwa na uhasama wa Media houses mbalimbali za hapa nyumbani, kila media sasa ina Tamasha lake, pia kuingiza mkono kwenye matamasha mengine kama Udhamini wa matamasha yanayoandaliwa na Makampuni makubwa ya simu, vinywaji baadhi yao hupewa...
  6. JamiiForums Tanzania Niliomba kazi air hostess nikanyimwa

    Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Mwandaaji Mkuu wa maudhui ya Televisheni ya mtandaoni anatafutwa

    GLOBAL TV ONLINE ni televisheni ya mtandaoni iliyo na makao makuu yake jijini DAR ES SALAAM, TANZANIA ikiwa na watazamaji dunia nzima zaidi ya milioni ishirini kwa wiki na watazamaji waliojisajili zaidiya milioni moja na laki nane. Kama sehemu ya mafanikio yake Global Tv Online inatafuta mbobezi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu

    Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta kazi ya kusomesha au ya uhasibu. Elimu yangu ni Diploma, mshahara ni maelewano chochote kitakachokuwepo basi tukikubaliana naweaz kuungana kufanya kazi. Nipo Zanzibar 0772 333 435.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kukaanga vitu anahitajika

    Habari, anahitajika kijana mjuzi wa kukaanga vitu kama kuku, samaki, pweza na vitu vinginezo maeneo ya Tabata Maji Chumvi. Awe mwenyeji na mkazi wa Dar es Salaam maeneo ya Tabata au Ubungo External. Asanteni. Kwa maelezo zaidi piga namba 0754 524 486.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Ushauri, Maoni, nini nifanye baada ya kama miaka 10 ya chuo

    Mimi ni mwenyeji humu niwe mkweli. Course niliyosoma ni Antholopology and Tourism. Nilibahatika kuanya kazi kampuni moja ya wachina kama customer services department ya sale and marketing kwa miaka mitano(5), Hii nafasi niliitendea haki nilifanya kwa ustadi mkubwa bonasi za wiki nilipata sana...
  11. JamiiForums Tanzania Ili kuepusha vurugu Jaffo tangaza kuwa watendaji waliokimbia ofisi na kujificha wamejifukuza kazi

    Kwa yanayotokea nchini kuhusu Watendaji kuzikimbia ofisi katika kipendi hiki cha uchaguzi huku wanalamba posho, na kwa ajili ya mustakabali wa amani yetu, NAOMBA WAZIRI JAFO UTOE TAMKO. Kwanini wanadharau kazi hivyo?
  12. JamiiForums Tanzania Huduma za maji, serikali iunde kampuni zitakazofanya kazi kama muundo wa kampuni za simu

    Baada ya kusikiliza maoni ya Mheshimiwa Lema aliyoyatoa wiki iliyopita, nimelitafakari sana wazo lake kuhusu huduma ya maji, maji ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku ya binadamu. Yakichukuliwa kibiashara biashara ya maji ina faida kubwa. Tanzania tumebahatika kuwa na vyanzo vingi vya maji...
  13. JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari za wakati huu wakuu, Pamoja taarifa ya serikali kuwa uhamisho kwa watumishi wa serikali, Lakini Kuna here says kuwa uhamisho wa KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI unaruhusiwa. Mimi Ni Mwalimu na nimepata mtu wa kubadilishana nae. Kwa wale waliopitia haya maswala tupeane uzoefu nianzie wapi na...
  14. JamiiForums Tanzania Kazi za ATCL

    Hivi jamani wapendwa kuna mtu aloitwa interview zile post za Sales and reservation za ATCL., Maana naona kimya kingi mnooo au ndo nishabwagwa?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Kwa kasi hii ya maendeleo Rais Magufuli alistahili kuishi Japan maana anaamini katika kazi siyo siasa

    Injinia mmoja wa kijapan pale Mwenge - Morocco project amemmwagia sifa Rais Magufuli na kusema huyu Dr Magufuli anaamini katika kazi kama wajapan. Tanzania na Afrika kwa ujumla mna bahati ya kupata kiongozi anayeamini katika kazi na siyo porojo za kisiasa, amesema. Mjapani ameniuliza kama...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Sheria za kazi: Kufanya kazi kampuni ya nje ukiwa Tanzania

    Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa. Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani kwa kutumia software za siku hizi na internet. Sasa je unalipaje kodi? Ni kodi zipi hizo? Na ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi

    Hivi nikweli wale watangazaji wa TBC walio tangaza Rais wa Marekani kamsifia mkuu wamesimamishwa kazi
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Nafasi za kazi zilizo toka: Vacancies (17) CONSERVATION ASSISTANT II - ACCOUNTS TANZANIA NATIONAL PARKS Experience: Fresher Can Apply No. of Position: 2 Qualification Required: Diploma in Accountancy Job Opening date: 18-Oct-2019 Job closing date: 30-Oct-2019 Responsibility: •...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…