kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, Commonwealth Parliamentary Association (CPA)

    Secretary-General/Chief Executive Officer (CEO) at Commonwealth Parliamentary Association Tanzania Job title: Secretary-General/Chief Executive Officer (CEO) Reporting to: General Assembly/Executive Committee Direct Reports: Director of Operations, Finance Director, Head of Parliamentary...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Food Security and Nutrition Policy Specialist at Food and Agriculture Organization (FAO)

    Company: (FAO) Location: Tanzania State: Dar Es Salaam Jobs Job type: Full-Time Job category: Healthcare/Medical Jobs in Tanzania Closure Date: 17/Dec/2019, 1:59:00 AM Organizational Unit: FRURT Job Type: Non-staff opportunities Type of Requisition: Consultant / PSA (Personal Services...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI)

    Pediatrics HIV and AIDS Company: Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) Location: Tanzania State: Tanzania Jobs Job type: Full-Time Job category: Healthcare/Medical Jobs in Tanzania JOB DETAILS: Program Officer, Pediatrics is a self-motivated individual who will provide...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, National Programme Officer – NOA (DC) at ILO

    Company: ILO Location: Tanzania State: Dar Es Salaam Jobs Job type: Full-Time Job category: Administrative/Secretarial Jobs in Tanzania Grade: NOA Vacancy no.: DC/DAR/NO/2019/14 Publication date: 06 December 2019 Application deadline (midnight local time in Dar es Salaam, Tanzania): 07 January...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TGDC

    VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Tanzania Geothermal Development Company Limited (TGDC) President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced, and highly organized and self- motivated Tanzanians to fill 2 vacant posts as mentioned below...
  6. JamiiForums Tanzania Jipatie mashine zote kwetu

    *DOT MACHINERY PRODUCTS* TUNAUZA MACHINE ZA UJENZI|VIWANDANI|MAJUMBANI|KILIMO|USAFI| CAR WASH MASHINE INAYOTUMIA DIESEL-2.5M BOTTLE JACK KUANZIA 100,000/= - 300,000/= MASHINE YA KUPUKUCHULIA MAHINDI-YA UMEME 1.2M YA DIESEL 1M JACK YA KUBEBEA MIZIGO KUANZIA 2.9M-3.7M GENERATOR YA 6.5KW,YA...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi wana kazi kubwa sana

    Huyu baba anaomba polisi wamruhusu aingie bungeni kupeleka muswaada wa Ijumaa iwe siku ya mapumziko, watu wafanye kazi mpaka Alhamisi. Aliambiwa bunge limefungwa na hakuna mtu ndani. Akaulizwa mwenzetu unatokea wapi? Aliwajibu anatoka hospitali ya vichaa, yeye ni mgonjwa wa HIV na kichaa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni sahihi kweli? nini kazi ya bwana harusi?

    Habari zenu wanandugu!!! Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza.. 1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Selemani Jafo amsema Mkurugenzi wa SCOL Building Contractors Limited hadi akaanguka na kuzimia

    Just imagine, yaani mkandarasi anasemwa na waziri kwa kuchelewesha kazi hadi mkandarasi anazimia kabisa, huu si uuaji jamani? Na ni udhalilishaji pia, hayo ni maoni yangu. Angalia video hapo mwishoni kabisa. --- Mkurugenzi wa kampuni ya SCOL Building Contractors Limited Vicent Massawe...
  10. JamiiForums Tanzania Mimi msichana niliyemaliza kidato cha nne naomba kazi yoyote halali

    Wakubwa na wadogo heshima kwenu! Msichana mwenye umri wa miaka 22 elimu ya kidato cha nne. Anatafuta kazi yeyote halali ila ana uzoefu wa kuuza duka la mahitaji ya nyumbani. Yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ila kwa sasa anapatikana Arusha mjini.Kama una nafasi ya kazi tafadhali wasiliana...
  11. JamiiForums Tanzania Kazi kweli kweli na mabeberu

    Benki ya dunia yasema ukuaji wa uchumi wa Tanzania kuongezeka 2020 japo si kwa 7% Uchumi wa Tanzania utakuwa kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa na makadirio ya asilimia 5.6 mwaka huu na ukuaji utaongezeka hadi asilimi 6.1 mwaka 2021 , kulingana na ripoti ya benki ya dunia siku ya...
  12. JamiiForums Tanzania Siasa ya Siyo KaziI: Utasahau tu

    Moja ya KAZI kubwa ya viongozi ni kuwaletea maendeleo wananchi nao wananchi ni kuandaa mazingira ya maendeleo lakini tunakutana kwenye ni upepo tu utapita au umetaka mwenyewe Ni muda wa kutafakari wakati wa makinikia walikubaliana nini maana siyo KAZI kuanzishwa viwanda nchini: Kiwanda cha...
  13. JamiiForums Tanzania DC wa Kisarawe apunguze show kwenye mitandao ya kijamii afanye kazi

    Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status. Yeye kazi anayofanya sasa hivi ni kupiga picha katika mitindo mbalimbali na kupost kwenye mitandao halafu watu waanze kucomment. Yaani ni DC anayeongoza kwa kupost picha...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kila Mara Rais Magufuli anawataka Watanzania wafanye kazi kweli kweli. Ni kazi zipi hizo?

    Mara kwa mara rais Magufuli amekuwa akisisitiza watu wafanye kazi kweli kweli, je ni kazi zipi hizo anazosema? Maana juzi alipoulizwa swali na mwananchi wa wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora kuhusu kuongeza mzunguko wa fedha, yeye alimwambia afanye kazi hakuna pesa za bure vinginevyo akaolewe...
  15. JamiiForums Tanzania Meneja wa Arsenal, Unai Emery amefukuzwa kazi baada ya miezi 18 na timu hiyo

    Kazi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal imefikia kikomo, ikiwa ni miezi 18 tu tangu kuchukuwa mikoba hiyo kama mrithi wa Arsene Wenger. Kuondoka kwa Mhispania huyo kumehibitishwa Ijumaa, ikiwa Arsenal ipo katika nafasi ya nane katika jedwali la Ligi Kuu. Freddie Ljungberg amewekwa kama meneja...
  16. JamiiForums Tanzania ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezindua ATM ya kwanza ya Maziwa Nchini katika mji wa Moshi mtaa wa chaga karibu na soko la kati ATM hii ina uwezo wa kutoa maziwa kulingana na kiwango chako cha fedha. Unaweza pata kuanzia Tsh 50, 100, 400, 600, 1000, 2000, na kuendelea. Karibuni...
  17. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Taasisi 20 Nchini wasimamishwa kazi kwa kukiuka Sheria za manunuzi

    Serikali ya Tanzania imewasimamisha kazi watendaji 20 wa taasisi mbalimbali kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili. Akizungumza leo Jumatano Novemba 27, 2019 katika jukwaa la 12 la ununuzi wa umma la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

    Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...
  19. JamiiForums Tanzania Malecela- Rais John Magufuli anafanya kazi kubwa mno

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema kutojitokeza wagombea wa vyama vya siasa vya upinzani kugombea nafasi za wenyeviti za Serikali za Mitaa, Vitongoji na Kata katika Jimbo la Mtera kunaonesha namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyojikita katika kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo...
  20. JamiiForums Tanzania Ni mwendelezo wa kula bata na kazi, Molde Norway hivi

    Nipo tu nakula bata zangu kila baada ya kazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…