kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Scars

    JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi Kazini (KK), Weusi jipangeni

    Vijana 8 kutoka kundi la Tamaduni Music ambao wameji-organize na kuunda kikundi walichokipa jina la Kikosi Kazi Kazini (KK) Naweza nikasema kwa ngoma mbili hizi walizotoa Kikosi Kazi zinatosha kabisa kuficha nyimbo zote walizowahi kuimba Weusi. Hivi kama nyimbo ya SALA utaifananisha na nyimbo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli mbiu ya Uhuru na Kazi yampaisha Tundu Lissu

    Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena. Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania BRELA mnafanya vizuri ila boresheni utendaji kazi wenu

    Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza sana BRELA kwa maboresho katika utendaji kazi wenu mmekuwa active mno. Baada ya pongezi nije kwenye hoja ya msingi ambayo imenifanya kuandika waraka huu ikiwa ni namna mnavyodeal na applications za registration ya makampuni. Binafsi nimevutiwa na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuliona Corona kwenye kuku na mbuzi tukawawajibisha wafanyakazi Maabara ya Taifa; China wanaona Corona kwenye kuku wanajiuliza wameingiaje!

    Juzi hapa China ilikuta kwamba baadhi ya mifuko ya kuku na kamba ilikutwa ina wadudu wa Corona (Covid-19). KIlichofuata ni kwamba serikali ya China ilianza kujiuliza maswali mengi kuhusu jinsi gani hao wadudu waliingia kwenye kuku na kamba ambavyo viliagizwa kutoka nchi ya Brazil. China...
  5. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Wabia kwa mradi wa 1.Mafuta ya alizeti (2)Kufuga kuku wa kienyeji (3)Kufungua karakana na mafunzo ya kazi ya mikono

    Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
  6. nick4real

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuwa Graphics Designer

    Rejea Post yangu ya Natafuta kazi ya Graphics Designer.. Naitwa NICKSON AIVAN, Nilipokuja kwa mara ya kwanza kutangaza nataka kazi ya kuwa graphics designer wanaJamii Forums mlinitia moyo na wengne kunitafuta kunipa tenda nashukuru sana Kama unatafuta mtu wa graphics ofisin kwako au unakazi...
  7. dubu

    JamiiForums Tanzania TCRA wanafanya kazi kwa upendeleo, wakati wakipiga mikwara wanaojiunga mubashara na vituo mbalimbali, wale wa CCM wanaachwa

    Wakuu Salaam, Nchi yetu Utawala wa Sheria wa Sheria Umeshrink Nchini Tanzania, Tunafuata Matanko ya Wanasiasa ndiyo yamegeuka kuwa Sheria. Hivi karibuni MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilivitaka vituo vya redio, televisheni na wanaotoa huduma za maudhui mtandaoni kuomba kibali/ ruhusa...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Itimila

  9. K

    JamiiForums Tanzania Sijui kama mwenye nyumba anajua haya wanayofanya wadada wa kazi

    Wakuu habari iwe nanyi! Ukisoma kitabu cha Mathayo kwenye biblia kuna hadithi ambayo Yesu Kristo alikuwa akizungumza na wanafunzi wake juu ya Bwana moja aliyetaka kusafiri kisha agawa mali zake (talanta) kwa watumwa wake ili wazisimamie . Lengo la Bwana yule ilikuwa wale watumwa wasimamie zile...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea

    Hawa nia baadhi ya vijaana wa kitanzania wakijaribu kuonesha ubunifu katika kuunga mkono juhudi za Mh. Rais JPM.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Katika msimu huu wa uchaguzi mkuu, mitandao ya kijamii itafanya kazi kubwa kuliko traditional media

    Yani lolote litakalofanyika kuzuia hivi vyombo vya habari vya kienyeji kama vile magazeti, TV, radio katika kipind hiki cha uchaguzi ni sawasawa na bure kwani kutokana na mageuzi ya sayansi na tekinolojia zinajulikana kama traditional media haitasaidia. Social media zina nguvu kuliko hizi...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji atoroka katika kituo cha kazi baada ya kutuhumiwa kuiba Sh milioni 25 za ujenzi

    MGANGA Mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji cha Kibena wilayani Iringa, Hope Mwale ametoroka katika kituo chake cha kazi baada ya kutuhumiwa kuiba Sh milioni 25 za ujenzi wa choo cha jengo la wagonjwa wa nje la Kituo cha Afya cha Kibena unaoendelea kijijini hapo. Taarifa ya kuibwa kwa fedha hizo na...
  13. newmzalendo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi : Declaration Clerk Clearing and Forwading

    Job Position : Declaration Clark in a Clearing and Forwarding Company Location : City Center, Daresaalaam Qualification : Form IV Certificate and Clearing and Forwarding Certificate Gender : Female send CV to email : careers@dnh.co.tz
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  15. Maseto

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo Halmashauri ya Jiji la Dodoma la watumishi wengi kulipwa mshahara bila kufanya kazi

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi. Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tayari CCM imeshabwaga manyanga, vingunge watafute kazi nyingine

    Ndio dalili zote zinavyoonyesha, hata kamati za ufundi zimeshawaambia viongozi waandamizi wa CCM watafute la kufanya. Baadhi ya habari ni kuwa kuna kundi kubwa sana sana ndani ya CCM ambao ni wanachama wa kawaida hawa wanaonekana kuwa mstari wa mbele ndani ya CCM tena wanashangilia kwa nguvu...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama kazi tunastaafu kwa nini mapenzi tusistaafu?

    Mapenzi ni kitu kingine, huwezi kufananisha na kitu chochote kile; Kwa wale waliofanikiwa kupendwa ni vigumu kuamini kuwa, kuna wengine mapenzi yamewagharimu maisha yao yote au yamepoteza dira ya maisha ya watu wengine. Wapo ambao mapenzi yamewachapa mpaka kupoteza mwelekeo na hawatamani tena...
  18. 1987SANAWA

    JamiiForums Tanzania Kutozingatia vipimo vya utendaji kazi kwa Taasisi za umma

    Ofisi za umma/serikali zinatumia OPras kama kipimo cha utendaji kazi ambapo mtumishi anakubaliana na kiongozi wake majukumu atakayotekeleza jambo ambalo ni zuri, mtumishi anaetekeleza majukumu yake anapaswa kupewa motisha mbalimbali kama kupandishwa cheo na motisha zingine, ila cha kusikitisha...
  19. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Ifanye gari yako ionekane mpya kwa kushonea roof, seat cover, dashboard n.k. check attachment hapo chini

    Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari. Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda TEMESA

Back
Top Bottom