kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania NBAA: Ni kosa kufanya kazi za kihasibu na kikaguzi bila kusajiliwa na Bodi

    Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imesema kuwa hairuhusiwi mtu yeyote kufanya kazi za kihasibu na kikaguzi bila kusajiliwa na Bodi hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Maonesho ya 15 ya Vyuo Vikuu jijini Dar es Salaam, Afisa Masoko na Mawasiliano wa Bodi...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA tumieni huu muda vizuri wa kampeni, maana baada ya hapo tutakuwa na miaka 5 ya kuchapa kazi

    Magufuli ni mtu anayesimamia maneno yake, aliwahi kusema hakutakuwa na siasa za majukwaani mpaka 2020 na kweli imetokea hivyo. Tutakapo rudi baada ya uchaguzi hakutakuwa na siasa za maandamano kwa hiyo Lissu ajitahidi kuutumia huu muda vizuri majukwaani na sio kueleza amepigwa risasi ngapi...
  3. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Nafasi 33 za kazi, sifa lazima uwe na Driving License Class C or E

    POSTCIVIL ARTISAN II - 33 POST POST CATEGORY(S)HR & ADMINISTRATION EMPLOYERTANZANIA RAILWAYS CORPORATION (TRC) APPLICATION TIMELINE:2020-09-02 2020-09-16 JOB SUMMARYN/A DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Packing of the railway track as directed by the supervisor; ii.To clear grass and bushes...
  4. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uandishi/uhariri

    Habari wakuu..! Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane. -Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k) -Ni...
  5. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uandishi/uhariri

    Habari wakuu..! Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane. -Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k) -Ni...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada watu wa Civil Engineering wanaweza kufanya kazi TAZARA

    Habari zenu wadau. Ni hivi nilikuwa nataka kujua kwa mtu aliesomea Civil Engineering anaweza kufanya kazi kwenye Shirika la Reli TAZARA. Msaada wenu tafadhali.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesomea Air Ticketing

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32 Naishi Dar es salaam Nimemaliza form six Nimesomea Air Ticketing Nina experince ya zaidi ya miaka 5 kwe flight reservation Nina experince ya miaka 2 kama receptionist kwenye 4 star hotel. Kwasababu ya Corona kampuni niliyokuwa naifanyia kazi biashara imeyumba...
  8. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mechanic at TANESCO

    POSTARTISAN - MECHANICS - 7 POST POST CATEGORY(S)ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYERTANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO) APPLICATION TIMELINE:2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARYNA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Servicing and repairing power generation machines under the...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya biashara, imefika mahali Serikali inafyatulisha matofali. Wananchi tujiajili kwa kazi zipi?

    Uzalendo kwanza, Wakuu hii hali ya Serikali ya CCM awamu ya tano kufanya biashara ambazo sie wananchi tumejiajiri nazo ni jambo la kushangaza sana.Imagine kwa sasa wamefikia hatua ya kufyatulisha matofali ya kuuza kwa kupitia halmashauri ,magereza, JKT nk Hivi kwa hali hii tutaishije? Saizi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Naomba kujuzwa chimbo la vibarua hapa mjini ni wapi? Na kazi zipi za part time hapa bongo? Kuna mtu nlimsikia kuwa posta karibu na clock tower kuna sehemu watu wanakusanyika kusubiri vibarua na nje ya bandari ni kweli? Kama kweli taratibu zipoje? Na malipo yakoje? Tujuzane wakubwa
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

    Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya mambo ya Information and Communication Technology (ICT)

    Habarini za asubuhi ndugu zangu, natafuta kazi ya mambo ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT), Ukiniunganishia kazi iyo nitakupa nusu ya mshahara wangu baada\kuelekea kusaini mkataba. Sehemu ambazo nina interested ya kukuza sana hii fani yangu ni: 1. Migodini 2. Sector za mawasilino...
  13. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Driller (Rig Operator)

    Required Qualifications, Skills and Experience Qualifications and skills High Diploma or Equivalent in Drilling or related technical field (like Geology). Demonstrated practical experience in Direct and Reverse Drilling technologies Hands-on contract and day-to-day management of drilling...
  14. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Geita Gold Mining (GGM)

    Position: CAF Batch Plant Operator Contract Type & Duration Permanent Job Number: GGM-2020-XUG-08 Number of Positions: 04 Works For: Supervisor –CAF Plant Qualifications: •A minimum of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) •Basic Numeracy and Verbal / Written English •Possession...
  15. the maze

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anatafuta kazi

    Nina rafiki yangu wa kike nilisoma naye shule ya msingi. Hakufanikiwa kujiunga na masomo ya sekondari, hivyo akaamua kuolewa tu. Kutokana na changamoto mbalimbali, ndoa yake imevunjika mwaka jana. Sasa amekuja mjini kutafuta kazi yoyote halali. Naomba kama kuna mtu anaweza kumpa kazi ya kufanya/...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

    Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye maduka, hoteli, supermarket n.k

    Kwa majina naitwa Halima Amiry nina elimu ya kidato cha nne natafuta kazi ofisin, supermaket, madukani, hotelini 0693772875
  18. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa ustawi endelevu wa taifa: Tume iongezewe kazi ya kuhakiki na kurekebisha mapungufu kwa kushirikiana na wagombea

    Uchaguzi ni suala nyeti. Lazima Tume ihakikishe yenyewe inawashauri wanaokosea kurekebisha. Kwa Lugha nyingine udhaifu wa form usiwe kosa la Mgombea bali TUME. Hivi inguwaje kama nchi ingemkosa JPM na LISSU kwenye uchaguzi kisa eti wino, au Picha au sahihi au muandiko kwa mfano. Tusibobee...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/ K/270 27 Agosti, 2020 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi adaiwa kuua mtoto wa mwajiri wake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mfanyakazi wa ndani, Ashura Suka kwa tuhuma za kumuua mtoto mdogo wa mwajiri wake. Akizungumza na HabariLEO jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro alisema tukio hilo ni la Agosti 23 mwaka huu saa 10:30 usiku katika Kata ya Iloganzala...
Back
Top Bottom