kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Mchezaji

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon yajiuzulu baada ya mlipuko wa Beirut. Waziri Mkuu asema ufisadi uliopo ni mkubwa kuliko taifa lenyewe

    Serikali ya Lebanon imejiuzulu takriban wiki moja baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Beirut, huku Waziri Mkuu Hassan Diab akilaumu ufisadi kama chanzo cha ajali hiyo Katika hotuba yake, Diab amesema kilichotokea ni matokeo ya ufisadi ulio mkubwa kuliko taifa lenyewe na kwamba anaachia...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Job Opportunities at the Agriculture Markets Development Trust (AMDT)

    Overview The Agriculture Markets Development Trust (AMDT) has been established by the Governments of Denmark, Ireland, Sweden and Switzerland in 2014 and the current Trustee is KPMG. The Trust has been established as a long term facility with the overall objective of increasing incomes and...
  3. P

    JamiiForums Tanzania UDSM hii mmewakatisha na kupunguza ari ya kufanya kazi kwa hao vijana wenu

    UDSM mlitangaza nafasi kwa watumishi wa umma kuhamia, na katika tangazo lenu mliweka mpaka scale za mishahara kwa ambao watafanikiwa kupata nafasi hizo. Mdogo wangu ni mmoja wa watu waliofanikiwa kuomba nafasi hizo na kufanikiwa kupata! ana siku kadhaa sasa toka ameanza kazi hapo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole na Dkt. Hassan Abbas wanawatisha watu wa media

    Jamani wanaJF, nimepenyezewa ubuyu hapa na source yangu moja hivi kwamba ktk matukio 2 ya chadema; mkutano mkuu na uchukuaji fomu kule Dodoma. Polepole na mwenzake Hassan Abbas wamekuwa wakivipigia vyombo vya habari simu ili kuvikataza kurusha hotuba za Lisu Kuna audio ya Polepole...
  5. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Tume iliyoundwa na TAKUKURU kuchunguza ujenzi wa majengo 7 ya ofisi za taasisi hiyo , imekamilisha Uchunguzi

    BREAKING NEWS : Tume iliyoundwa na Brig Jen John Mbungo kuchunguza ujenzi wa majengo 7 ya ofisi za taasisi hiyo katika wilaya 7, imekamilisha uchunguzi na kugundua kuwepo ubadhirifu na migongano ya kimaslahi. Amesema wahusika watachukuliwa hatua ikiwemo kufikishwa mahakamani. NOTE: Hapo kwenye...
  6. Zacht

    JamiiForums Tanzania Ijue stun grenade au flash bang grenade (bomu la sauti) inavyo fanya kazi

    Umewasha wahi kuona kwenye movie .Timu ya SWAT au kikosi chochote cha kijeshi inapovamia kwenye nyumba ya kikundi cha wahalifu. Afisa mmoja hutupa kitu ndani ya chumba, na hulipuka kinatoa mwanga mkali na kelele kubwa. Wahalifu hao waneshtushwa na kuonekana kama kuzubaa muda mwingine kuziba...
  7. Zacht

    JamiiForums Tanzania Ijue stun grenade au flash bang grenade (bomu la sauti) inavyofanya kazi

    Umewasha wahi kuona kwenye movie .Timu ya SWAT au kikosi chochote cha kijeshi inapovamia kwenye nyumba ya kikundi cha wahalifu. Afisa mmoja hutupa kitu ndani ya chumba, na hulipuka kinatoa mwanga mkali na kelele kubwa. Wahalifu hao waneshtushwa na kuonekana kama kuzubaa muda mwingine kuziba...
  8. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva (light vehicle) au ya afya na usalama kazini (occupational, safety and health)

    D
  9. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Hawa ni wanaJF na kazi zao

    Hapa nina orodha ya baadhi ya wanaJF na kazi ambazo zinawafiti... Asprin - mstaafu TRA Chief - mkwawa (IT) FaizaFoxy - mstaafu hapo Lumumba. Kiduku Lilo - Lucas Mobutu troublemaker GENTAMYCINE GuDume Chizi Maarifa (Hawa ni matapeli wa warembo wanakula sana bia) cocastic - beki 3 Jael -...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Trump ameipa siku 45 TikTok iwe imeuzwa ama ifungiwe kufanya kazi Marekani

    Bwana Donald Trump, Rais wa Marekani ametia saini sheria ama Executive Order ya kuipa kampuni ya ByteDance inayomiliki kampuni ya Tik Tok nchini Marekani kuuza hisa zake zote kwa kampuni ya Marekani ama ufungiwe kufanya kazi Marekani. Trump anasema hiyo kampuni kuwa chini ya kampuni ya kichina...
  11. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  12. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Hivi msanii Mirror yupo wapi siku hizi? Mbona kazi zake hatuzisikii

    Habari za asubuhi guys.. Kuna huyu msanii almaarufu kama mirror nakumbuka miaka michache iliyopita kakimbiza sana na ngoma zake Kali na hata kwenye matamasha. Baadhi ya ngoma zake Kali na zilizokimbiza ni hzi:- * Mirror - one and only * Mirror - nibembeleze * Mirror - kidogo * Mirror -...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku. Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe. Chanzo: Channel ten. Maendeleo...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar, Mlimani City: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA leo tarehe 04/08/2020

    Salaam Wakuu, Leo Vikao vya Chanma cha CHADEMA vinaendelea Jijini Dar es Salaam. Na leo ni mkutano Mkuu wa CHADEMA. Tutawalea Updates ya kile kitakachojiri kutoka Mlimani City. Leo Tarehe 4, Agosti 2020, Mkutano Mkuu wa Chama una kazi ya kutekeleza kazi zake, ikiwemo “kuteua mgombea wa Urais...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Vijana turidhike na kazi/nafasi tulizo nazo

    Habari zenu Wana JF Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu. Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza...
  16. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania NEC ndiye FIFA, TFF na refarii wa mchezo wa ligi ya uchaguzi tumwache afanye kazi yake

    Wakuu bila kumumunya maneno kuna baadhi ya wana JamiiForums hasa wa vyama vya upinzani wana uelewa mdogo sana. Uwezo wao wa ku reason mambo ni mdogo sana. Wametyuni akili zao kwenye kushabikia siasa bila kukielewa kile wanacho kishabikia. Wamekariri katiba na baadhi ya vifungu vya sheria ili...
  18. Dam55

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii!( Kisa mke wa Boss).

    Hii nimeikuta sehemu fulani huko, hivi Kama ni wewe unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii. Kiukweli ningekuwa mimi hii kwangu ingekuwa ni fursa kazi na dawa. 🤣 🤣 !!
  19. Einsten

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Graduates wasio na kazi

    Kuna wimbi la vijana wengi sana mtaani kuanzia dsm mpaka mikoani ambao kusema ukweli wanatia huruma sana ukikutana nao, ila nachojiuliza ni kitu kimoja unakuta kijana analalamika kuwa hana kazi wala mtaji lakini unaweza ukamkuta na vitu hvi either kimoja or vyote. 1. Smartphone ya ghali (iphone...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Thanks to Dating Apps, leo kutongoza imekua kazi rahisi sana, madomo zege mpewe nini zaidi?

    Miaka ya nyuma kutongoza was an art, na ilikua lazima uimudu hiyo sanaa uweze kupata ama kula watoto wazuri. Ilikua ni lazima uwe mtu wa maneno na vitendo. Miaka ya nyuma ukiwa domo zege wanawake utaishia kuwaona sokoni, madomo zege wengi waliishia kwenye punyeto maana hawakua na namna...
Back
Top Bottom