kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. EmmanuelKamaghe

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Total station kwa ajili ya kazi za survey bila chaja na begi lake inauzwa Tsh Milioni 2

    TOTAL STATION KWAAJILI YA KAZI ZA SURVEY BRAND NI TOPCON USED BILA CHAJA NA BEGI LAKE.... 2 MILLION. MAWASILIANO 0621390287 WHATSAPP AND NORMAL CALLS.
  2. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Naomben kazi wanajamii

    Habarini ndugu Nimekuja mbele yenu ninaomba kazi yoyote ilimrad niingize kipato niwez kujkim mahtaj yang Umri wangu 23 Jinsia kiume Sehemu ninayoish Tegeta nyuki Dar es salaam Kazi ninazoziweza Kinyozi Kuuza duka Sheli Supermarket Konda daladala Kaz za viwandani Ntashukuru Sana mkinisaidia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia ni aibu, viongozi BAVICHA ni weupe kichwani, CHADEMA mna kazi sana ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya utafiti

    Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo. So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaacha kutuletea Maendeleo Watanzania kazi yenu kutwa ni kutishia tu wasema ukweli au watoa taarifa sahihi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua.. Chanzo: Dar Mpya Blog Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya haraka ili tumfute kazi Rais Samia na Bunge kibogoyo la CCM

    Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa. Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu. Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja. Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa. Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto"

    Mkutano wa 90 wa Kimataifa wa Kazi unaofanyika mjini Geneva umetangaza Juni 12 kila mwaka kuwa "Siku ya Dunia dhidi ya Ajira kwa Mtoto", na kuzitaka nchi zote duniani kutoa kipaumbele kwa tatizo la utumikishwaji wa watoto na kuchukua hatua halisi na zenye ufanisi za kutatua tatizo hili.
  7. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Anga Jeshi la Iran afariki kwa ajali ya Gari. Je, ni kazi ya Mossad?

    JUST IN: Iranian Air Force IRGC officer killed in a car accident during a mission. Is the Mossad behind it? I guess we will never know.
  8. mack255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Video ya Mapokezi ya Rais . Samia huko Oman . Itakuwa ni ziara ya siku tatu
  9. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Una Degree na unafanya kazi ambayo ungeweza kuifanya hata kama ungeishia darasa la saba

    Wakuu kwema! Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka. Juzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya upishi

    Habari wakuu, Polen sana na majukumu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tafuta kazi ya upishi. Mimi ni mpishi mzuri sana wa bites na chakula.
  11. King davido78

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi wapendwa

    Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Naitwa godfrey Nimesomea IT level ya degree nina uzoefu wa kufundisha chuo miaka miwili certificate na diploma...naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote
  13. Mechanical

    JamiiForums Tanzania Nina leseni Class E, natafuta kazi ya udereva wa IT

    Habari wana jamii, Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa jina naitwa kelvin nina umri wa miaka 25 naishi mbeya sae-Tanesco Natafuta kazi ya udereva katika campany yoyote inayojishughulisha na udereva wa IT nina lesen ya class E nimesoma mafunzo ya udereva VETA na pia ninaujuzi wa ufundi...
  14. Zikwe

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  15. Nashengena

    JamiiForums Tanzania Eti tunamchanganya Mungu

    Eti tunamchanganya Mungu
  16. R

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

    Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumfanya paka niliemfanya anizoee asinizoee, Napata shida ya kuhisiwa mimi ni mshirikina sehemu ya kazi

    Napenda sana wanyama, kwangu ni viumbe wenzetu tulioumbwa nao pamoja isipokuwa sisi tulipewa upendeleo mkubwa wa kuwa na akili na kupewa mamlaka juu yao. Hata nyumbani kwangu nawajali sana wanyama, hata kuku nikimleta kwajili ya kitoweo basi haki yake ya mchele, maji na banda safi ataipata. Ipo...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bwana Bonge alichanganywa na uchungu wa kuuguza mke na mapenzi ya mama wa kazi

    Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na wengine waliishi nchi za mbali. Mrs Bonge aligundulika na saratani ya ziwa akiwa na miaka 40, wakati...
  19. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Kuchange jina la kozi ili uombe kazi Ajita portal

    Wakuu Salam, Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakini Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia. Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor...
  20. S

    JamiiForums Tanzania RPC Shinyanga anafanya kazi kwa weledi

    Leo nimeona taarifa ya Habari Itv afande ameyakamata na kuyapiga faini mabasi yote yanayotoka Mwanza kwenda Dar kwa kuzidisha Mwendo , vilevile amewakamata madereva 4 na kuwapeleka mahakamani kujibu mashitaka ya kuzidisha Mwendo kupindukia. Vilevile amewapa abiria elimu ya usalama barabarani...
Back
Top Bottom