By Rehema Matowo
Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini.
Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa...
Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao uzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.
Ninao uwezo wa kutumia Computer vizuri na kuchapa document...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemjia juu Naibu wake, William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu akisema kama ameshindwa kufanya akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi kwa mara nyingine anapoomba nafasi ya Urais
Kenyatta akizungumza katika Sherehe za Ushirika amesema: “Mimi nasikitika kuona...
Tuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi.
Walikuwa wanasiasa wenye mafao bora kabisa ya Ubunge ambayo hupewa yote kwa mkupuo. Na wengine hupokea mafao bora kila mwezi yani asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu au Spika...
Habari wana JF, Kwa ujumla ukimuajiri mtu mmoja ujue mtu huyo ana mke na watoto, ana ndugu na marafiki wanao mtegemea.
Lakini pia, umlipa mshahara huyo mtu ataenda nunua unga au mchele kwa mtu mwingine ambae amejiajiri ambae inawezekana bila kazi hiyo angeweza kuwa Jambazi mtaani huko mtaani...
Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma?
Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali.
WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
Habari za asubuhi?
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.
Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali...
HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI.
[PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA]
Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba.
Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk.
Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
Habar zenu ndugu!!
Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa kujitolea.
Namba yangu 0699239068
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kazi kwenye shirika moja la maendeleo ya jamii.
Katika shirika ilo nilipelekwa kijijini sana uko mkoani Tabora ambapo niliyekua nalipwa mshahara ni mimi pekeangu huku wanachama wengine wa shirika wakifanya kazi ya kujitolea na kupokea tu posho ndogondogo.
Asee...
Mtu akiambiwa kiwanda cha Urafiki anaweza kuzani ni kakiwanda tu, ila ukiingia ndani ndio utaelewa nini maana ya kiwanda, yaani ndani ya Urafiki kuna majengo ya Viwanda kama 50 hivi, yaani magodown yaliyo mule ndani, kila godown ni kama kiwanda kikubwa kabisa, yaani ni hatari.
Halafu...
Na huo ndio ukweli.
60% Ya watu wanaoishi Dar (watu wazima tu ukitoa watoto)
Hawana kazi za kueleweka, kazi za kuwaweka busy masaa 10 kwa siku, ndio maana tukio likitokea mtaani ghafla unakuta watu wanajaa ghafla wengi sana na wanakaa hata saa nzima wakishangaa na kupiga umbea
Hayo hayo...
Ilitokea huku kwetu Kwatogole, dada wa kazi kwenye familia ya mume mke na mtoto wa kike wa miaka miwili. Siku ya kwanza mtoto alikua analia baada ya kula, mama alitoa ki tub kidogo cha ice cream alimpa dada alimshe mtoto. Dada alionja kidogo aliipenda na kuwaza kuchwani hawa watu wanakula...
Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20.
Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
Nimekutana na hii mada kwenye platform moja ya wazungu.
Naomba kuwasilisha hapa ili nasisi tuijadili.
"Kuwachanganya wenye elimu na wasio na elimu kwa kazi siziso hitaji elimu ya darasani ndio kunafanya wasio na elimu waidharau elimu"
Wewe maoni yako ni yepi juu ya hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.