kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Heko Kwa kikundi cha Mizengwe kwa kazi zao zenye maadili na zinazo fundisha na zenye Uhalisia

    Kikundi hiki kina miaka mingi sana katika sanaa. Mpaka leo mwanaume hajawahi vaa magauni au nguo za ajabu ajabu. Wamekua katika mazingira halisi kabisa na bado kazi zao hazichoshi kutazama. Katika kazi zao mwanaume amebakia kuwa mwanaume na mwanamke nae amebakia katika nafasi yake. Kwa anae...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Netflix yaachisha kazi wafanyakazi 450 ndani ya miezi 6

    Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza wafanyakazi takriban 150. Hatua hii ni baada ya ripoti mbaya ya mapato ya #Netflix ya robo ya mwaka...
  3. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wadada wa kazi wana madhaifu yao ila na maboss muwe na busara

    Leo nimetoka zangu kutafuta mkate wa kila siku maeneo ya kisesa, nikasema nishuke kwa rafiki yangu hapo kanyama huwa namuita kaka kwa jinsi tunavyoishi. Nikamkuta shemeji kama kawaida tukasalimiana na kutaka kujua mtoto na dda wa kazi hali zao maana sikuwaona. Kumbe ndio nawasha moto. Shem...
  4. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Report: Iranian intelligence chief sacked over spate of assassinations

    A court in Iran on Thursday ordered the United States government to pay over $4 billion to the families of Iranian nuclear scientists who have been killed in targeted attacks in recent years, state-run media reported. The largely symbolic ruling underscores the escalating tensions between Iran...
  5. Samba

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuna shida sana kwenye mfumo; mfumo hauruhusu watu kuomba kazi pamoja na kuwa na vigezo

    Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa? Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe...
  6. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Njoo tufanye kazi pamoja. Usilalamike kama unajua upo potential. Utajiri upo hapa

    Wadau. Mimi nimepambana nmeweza kufungua Kampuni ambayo itakuwa inajihusisha na Usafi wa Maofisini, Vyoo vya Public, Kwenye Viwanda na Majumbani. Kampuni tayari 1. Inatambulika Brela 2. Ina TIN Number (TRA) 3. Ina Leseni ya Biashara 4. Ofisi nimeanzia hapa hapa home kwanza. Sasa kama unadhani...
  7. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kuzuia/Ku-freeze System Apps Zisifanye Kazi Kwenye Simu?

    Habari wakuu. Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10. Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported. Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au duka la dawa

    Mimi ni kijana mwenye diploma ya pharmacy natafuta kazi ya pharmacy au duka la dawa naishi dar
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda kazi zao aisee,wewe huipendi kazi yako

  10. Peter Acoustic

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Music Production

    Nmemaliza chuo tangu 2020 Nina diploma ya Music production. Ni kijana wa miaka 23 Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza. Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao! Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kazi nje ya nchi

    habari wakuu tafadhali anayejua mawakala wa ajira nje nchi bara lolote ila siyo uarabuni naomba msaada wenu 🙏
  13. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
  14. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natakufata kazi

    Kwa majina naitwa MOHAMED HABIBU MOHAMED ni mkazi wa mkoa wa DoDoma,umri wangu miaka 25 mwenye elimi ya kidato cha nne (4). Nina nina fani ya udereva pia ni mzoefu usio pungua maika 3 ya kuendesha gari kuanzia robo ¾ tani mpaka tani 3½. Nina uzoefu wa kuuza duka la aina yoyote isipo kuwa...
  15. sepema

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Natamani kuomba uhamisho nikafanyie kazi kijijini kwa wazazi wangu

    Salaam wakuu, Nimefanya kazi huku mjini kwa miaka10 saivi. Bado sina ndoa japo umri unaruhusu kufanya hivyo. Huku mjini sijafanya uwekezaji wamaana kutokani na changamoto za gharama za maisha kuwa juu. Nahisi nalipa kodi kubwa kuliko watanzania wenzangu wakijijini kwani huku mjini kila ikianza...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimetokea Oman kwa Mjomba na nimeshukia Kwanza Zanzibar niwape Salamu za Mjomba kisha nikapige Kazi kwa Wagogo na Wazaramo

    Na safari hii nimeamua kutumia Ndege yangu Mwenyewe Maalum Kusafiria kwani nimeshachoka na Kelele zenu.
  17. Jitume Biashara

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

    Ndugu zangu, kwanza poleni na kazi... Naomba mwenye contact au anayejua kampuni inayotafuta mkalimani wa Kichina, naomba unitafute WhatsApp +861572153760.
  18. BM X6

    JamiiForums Tanzania Rafiki/ Ndugu zenu wanajua Kazi/ Biashara mnazozifanya?

    Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri. Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Watumishi wa Umma waondolewa siku moja ya kazi kuhamasisha walime

    Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
  20. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Niko Dodoma

    Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka. Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
Back
Top Bottom