kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

    Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo. Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa...
  2. JamiiForums Tanzania TRA fanyeni kazi kwa weledi sio kwa uonevu na kisiasa

    Kuna malalamiko mengi sana TRA wako mtaani kukamata kamata magari ambayo hayajalipiwa Kodi ya Makadirio na kuna mengine yamelipiwa kodi tayari lakini mnalazimisha liingie YARD halafu mtu akienda kulitoa baada ya kua mmejiridhisha limelipiwa YARD wanadai walipwe 25,000 kwa siku au masaa hayo gari...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ufanyaji kazi wa viagra

    Hivi vidonge vya viagra,ukimeza na ukataka kuviua nguvu mwilini unatumia nini, nilikuwa na mechi ya ugenini leo,sindio nikameza vya gram50, aisee ni headache na kizunguzungu,nyuchi zitatuua wallah
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Afisa Mauzo

    MAPADA SOAP is an industry that deals with the production of soap. The industry is located in Ilala District, Dar es Salaam, Tanzania. The industry is situated at the foot of Banana Bus Stop, 6.8 km from Kitunda. Plot.Mzg 19. Phone: +255765180704, +255627753135, Email: mazingirapacha@gmail.com...
  5. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa IT kuna kazi anifanyie

    Nahitaji mtu wa IT Kuna kazi nataka anifanyie, 0624835630 Kuna maokoto yake apa chap
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu hali ni mbaya

    Habari zenu wakuu, Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi. Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato. Nina umri wa miaka 27, nina elimu ya Diploma ya Information Technology ila sijabahatika kupata hata kazi ya kujitolea (mimi ni kati ya...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanasiasa wanaingilia utendaji kazi wa vyama vya wafanyakazi?

    CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutuma maombi ya kazi NSSF

    Wakuu habari zenu? Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo. Ahsante in advance.
  12. JamiiForums Tanzania Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

    Jina la Marehemu nalihifadhi... Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023 Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023 Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi. Kadhia hii hii (ambayo ipo sana...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu Wakuu Watano wasimamishwa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi. Homera amefikia uamuzi huo jana...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Umekwishalipa Fadhila Kwa Waasisi wa CCM, Sasa Fanya Kazi Yako Kama Rais

    Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM." Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au...
  15. JamiiForums Tanzania Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Salaam, Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini. Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Nina watoto, najua kupika, na kazi zote za ndani, napata maokoto ninavyotaka sasa sina sababu ya kuoa

    Hii iwafikie wote wanajua haki za binadamu na uhuru binafsi katika kuishi maisha kwa raha bila kuvunja amani na usalama wa nchi na raia wake. Katika hali ya kuwa vizuri kiakili, kiuchumi na kuwa baharia mpambanaji wa nguvu, napata kila kitu Kwa wakati na muda wote, najua kufanya kila aina ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli angekuwepo SGR Dar-Moro na Bwawa la Mwl. Nyerere vingekuwa vinafanya kazi

    Nawaza tu, endapo Magufuli angekuwepo leo; 1. Train ya umeme ingekuwa inapiga kazi usiku na mchana na serikali ingianza kuingiza pesa za kutosha. 2. Bwawa la Mwl. Nyerere lingeanza kuzalisha umeme wa kutosha na leo hii stori za kukatika umeme zisingekuwepo. 3. Kalemani angekuwa Waziri wa...
  18. JamiiForums Tanzania DED Uvinza asimamishwa kazi na Waziri Mkuu kwa kuchelewesha miradi ya Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza mkoani Kigoma, Zainab Mbunda na Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo Majid Mabanga ili kupisha uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), kwa madai ya kuchelewesha utekelezaji wa miradi...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Watanzania fanyeni kazi na mtafute pesa. Maisha sio Magumu

    Boniface Simbachawene amewachana live watu waache visingizio na watafute pesa kwa kufanya kazi zaidi kwani maisha sio magumu Bali mahitaji ya pesa yameongezeka. My Take Watu waambiwe ukweli hakuna kupakwa mafuta Kwa mgongo wa chupa.😂😂 ===== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya...
  20. JamiiForums Tanzania Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

    Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi. Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…