kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Habarini WanaJF Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana. Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific Natanguliza shukrani
  2. JamiiForums Tanzania Pole nyie ambao wake zenu wanafanya kazi!

    Huu ni mwaka wa 8 niko kwenye utumishi wa umma. Nimefanya kazi vituo 2. Nilichogundua ni kwamba wanawake wenye mishahara wana tamaa kubwa ya fedha kuliko mama wa nyumbani. Yaani misimbazi 2 tu unamwangusha na atamsahau mume wake kwa masaa 2. Wake zenu wanatuomba nauli kila jioni licha ya...
  3. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Palestina jijini London yamfukuzisha kazi Waziri wa Mambo ya ndani UK

    Wanaukumbi. --- The PM moved to oust Ms Braverman as he tries to restore his authority with potentially less than a year to a general election. The sacking comes after an extraordinary week of rowing over handling of pro-Palestinian protests in London on Armistice Day. Ms Braverman drew the...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi za majeshi huko Duniani zimekaa kupotezeana muda

    Kuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie. Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja. Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
  6. JamiiForums Tanzania Mkisikia 'Supu ya Bure' na 'Uroho wenu' mnafakamia tu sasa Kazi Kwenu

    Na usiombe ufakamie Supu ya Bure itokanayo na Ng'ombe wa Uwizi na waliokuwa na Utapiamlo. Mtakula sana Flygil na Antibiotic!!!!!
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

    Kama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu Majukumu yake ni kama yafuatayo Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa)...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Musoma

    Habari wakuu kwema nyote, natumaini hamjambo wote, Sawa baada ya salamu naomba nije kwenye jambo langu hili, mimi ni kijana jinsia me miaka 27 nipo musoma, natafuta kazi yoyote iwe na angalau narudi na chochote kitu jioni, Nipo tu sina mishe yoyote wala kazi, naomba tafadhali kama...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya simba mliyoteua bado inaendelea na kazi au?

    Kamati ilioteuliwa siku 7 kabla ya derby imeishia wapi nahisi kwa wakati huu wa mapito mngeitumia ile kamati kuwasaidia mambo ya kiufundi inavyoonekana simba mtalia mexhi zijazo kwa sababu pale mnapopitia mshinde wenzenu wanapigilia misumari ....... msiiache hii kamamati kama mna mpango wa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya fumigation personnel

    EFT CLEANING AGENCY LIMITED inatangaza nafasi ya kazi ya Fumigation Personnel Sofa . 1. awe na Umri usiopingua miaka 21 2. Awe na utayari kufanya kazi pale atakapopangwa 3. Awe amesomea fani husika na aw na vyeti vyote muhimu vya usajili 4.Awe tayari kufanya kazi ndani ya wiki mbili toka angazo...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume Vs Mwanamke: Uchambuzi wa Ubongo wa Mwanadamu

    Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo. 1. KUFANYA KAZI NYINGI. Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake iliyoundwa ili kuzingatia kazi nyingi kwa wakati mmoja. Wanawake wanaweza Kutazama TV na Kuzungumza...
  12. JamiiForums Tanzania BVB kazi yao kugawa wachezaji tu huku wakizoea kuwa vibonde wa Bayern.

    Yani tangia 2011/12 bayern ndio wanabeba tu kombe hadi leo huku hawa dortmund kazi yao ni kuuza vipaji kwa gharama mno bila ya kuinvest vizuri katika team yao. Kwa hio wao sasa wamekuwa soko la kutengeneza wachezaji kuhusu ubingwa na historia hilo kwao hawalijui tena. Walipaswa kuwa european...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali kuwabeba watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeendelea kutoa motisha ya kifedha na isiyo ya kifedha kwa watumishi wote ikiwemo watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu kwa kuboresha viwango vya posho ya kazi baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Dancer wa Wasafi "Bajuni" aachana na kazi ya kucheza mziki rasmi

    Aliyekuwa Dancer wa Wasafi chini ya Diamond Platnumz, Bajuni H. Bajuni ametangaza gafla kuachana na kazi iliyompa umaarufu ya kucheza mziki katika Shows na Video za mziki. Ameandika kuwa leo ameamua kuachana na kazi hiyo ambayo amekuwa akiifanya kwa muda mrefu toka utotoni na mpaka sasa amepita...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile na Kikosi Kazi cha Injili

    Ninajua kuwa upo gerezani kwa sasa, lakini naamini hutaliruhusu gereza kuingia moyoni mwako. Ni kwa sababu hiyo basi, nimechukua hatua hii nikiamini kuwa hata kama hutakuwa na simu gerezani, wapendwa wako wataweza kukufukishia huu ujumbe kwa wakati sahihi. Awali ya yote, ninakupa pole kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mangungu piga kazi baba, wanachama tuko nyuma yako

    Zile "Khamsa" kiukweli zimenichanganya kiasi kwamba hata salamu kwa wanasimba wenzangu imekuwa ngumu! Mimi kama mwanachama hai wa Simba Sc mwenye namba ya uanachama No_678,nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wetu bwana Murtaza Mangungu kwa kuendelea kuwa Imara katika kipindi hiki ambacho...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Mbeya wapongezwa kwa kuwafuta kazi watumishi wabadhirifu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amepongeza uamuzi uliofanywa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambalo ndio Mamlaka ya nidhamu ya Watumishi wa Halmashauri hiyo kwa kuchukua hatua kali ya kuwafukuza kazi watumishi wawili wa Halmashauri hiyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Badala ya kushughulika na elimu inavyoharibiwa shule binafsi, unashughulika na nyimbo za Zuchu ili nawe uonekane unafanya kazi!

    Ukienda private schools kuna manyanyaso mengi sana mpaka unajiuliza hivi wizara husika IPO kweli au hawajui wafanye nini! 1. Mishahara ya baadhi ya shule kwa graduates haizidi laki mbili kwa mwezi wakati serikali imeahaweka kima cha chini na cha juu na graduates anapaswa kuanzia laki saba. 2...
  19. N

    JamiiForums Tanzania KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  20. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Walimu waliosimamishwa kisa "honey" warejeshwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Serikali kuwarejesha kazini Walimu wakuu wa Shule za Msingi zilizopo Tunduma Mkoani Songwe waliovuliwa vyeo baada ya kusambaa kwa video ikiwaonesha Wanafunzi wakicheza wimbo wa Msanii Zuchu uitwao ‘Honey’. Spika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…