kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview: 1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni 2. Elewa vizuri Majukumu ya nafasi uliyoiomba yaani (Job discription) ili uwe tayari kujadili jinsi...
  2. Abuhunna

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke lifanyie kazi hili

    Jana tarehe 23, majira ya saa tatu usiku nilifika hospitali ya Malawi - Yombo, (yenye hadhi ya kiwilaya - ni referral hospital katika ukanda wa temeke) nikiwa na kijana wangu mdogo ambae alikuwa na homa, huduma zikawa zimesimama kwa kinachoelezwa umeme hauko sawa katika majengo ya mapokezi...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kupata maendeleo katika MAISHA yako hakutegemei aina ya kazi pekee bali Malengo, hivyo ualimu pia ni kazi inayoweza kukuvusha

    Katika MAISHA Kazi pekee haitoshi kukufanya kufika hatua kubwa ya MAISHA pasipo wewe mwenyewe kuwa na Malengo . Hivyo linapokuja swala la kuijenga kesho yako iliyo bora kinachotangulia ni malengo na sio Aina ya Kazi unayofanya. Kazi yoyote iwe decent Job (Kazi ya heshima ) au Kazi isiyo ya...
  4. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Je, Forex, Crypto na utapeli mwingine wa uwekezaji hufanyaje kazi? Unapaswa kufanya nini ikiwa umetapeliwa?

    Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika mazingira mengi, huwa zinafanana kwa kiasi fulani. Unaweza kuepuka miradi mingi ya ulaghai ikiwa...
  5. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Jinsi unaweza kukabiliana na changamoto za kazi baada ya kuhitimu

    Safari baada ya chuo kwa wahitimu inaweza kuwa na furaha na changamoto kwa pamoja. Unapojitosa katika ulimwengu wa kitaaluma, moja ya changamoto kubwa mtaani kwa wahitimu ni kazi hapa kuna vidokezo muhimu vya kukusaidia kufanya mabadiliko na kujenga mustakabali wa mafanikio. Maisha baada ya...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  7. Mr passion

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari, Mimi ni kijana umri miaka 27 mkazi wa Dar es Salaam, natafuta ajira ya udereva wa class A2,D Kwa magari madogo ya biashara ama binafsi. Tupeane ajira ndugu zangu kuukimbia umaskini.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufanya kazi za mauzo kwenye mashirika au binafsi tukutane hapa

    Habari wana JF, Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

    Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!! Aliyepewa kapewa. Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli. --- Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG

    Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile (Mb) ameonana na watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Anga (TCAA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Ndugu Hamza Johari. Naibu Waziri Kihenzile...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Asilimia 95 ya wafanyakazi wasema wataacha kazi endapo bosi aliyefukuzwa asiporudishwa!

    Zaidi ya wafanyakazi 738 kati 770 sawa na 95% wa kampuni maarufu zaidi duniani ya akili bandia ya OpenAI inayoendesha mfumo wa ChatGPT wamesema watajiondoa kazini na kujiunga na Microsoft endapo bosi wao mkuu aliyeondolewa, Sam Altman asiporudishwa kazini. Sam Altman ambae pia ni mwanzilishi...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Zile risiti za baa mnazopewa na namba za simu msizidharau, zifanyieni kazi

    Kumezuka na wimbi jipya ingawa kwangu la zamani kidogo Ukienda sehemu ya kula na kunywa wakati wa kulipa unapewa billi Kwa juu imeandikwaa namba yanguu ni hii hapa. Kuna mdada leo amepatata kazi. Nilijaribu kumwombea kazi sehemu mbali mbali leo alipiga mchana njoo sehemu nikauliza kuna shida...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkandarasi wa SGR ametoa majina wanaopunguzwa kazi, Serikali isaidie tupate haki zetu tunaopunguzwa

    Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka ambao tumeufikiwa kati yetu. Kikubwa ambacho tumezungumza ni kuwa Wao wametoa orodha ya majina ya...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta: Serikali chapeni kazi msilaumu utawala uliopita

    Rais Mstaafu wa kenya Uhuru Kenyatta, ameiambia serikali iliyoko madarakani iache kuulaumu utawala wake kwa kushindwa kutimiza malengo iliyowaahidi Wakenya. Uhuru amesema serikali ya rais William Ruto inapaswa kushughulikia matatizo yanayowakabili Wakenya badala ya kutafuta sababu zisizo na...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli imani katika Neno la Mungu inafanya kazi? Tupe ushuhuda wako!

    Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba: 1. Umekutokea wewe binafsi, Au 2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine, Au 3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea. Karibu🙏🙏🙏
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eng. Mwanaisha Ulenge atoa vipaumbele katika kazi zake za Kibunge

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge amezungumzia vipaumbele vyake kama Mbunge anayewakilisha Wanawake wa UWT mwaka 2020-2025 Bungeni kutokea Mkoa wa Tanga. Mhe. Eng. Ulenge amesema kuwa katika kuwajibika kwake na licha ya kuusemea Mkoa wa Tanga kwa ujumla...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi aina yoyote

    Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano. Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara. Natumaini ntapata kazi, Asante 🙏
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

    Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini. Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana. Mipango yao inachochea...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote

    Habari, Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu katika chuo cha uhasibu Dar es salaam kwa ngazi ya Degree (Degree in accountancy) kwa sasa napatikana Dar es Salaam. Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote.
  20. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Sifa na kazi za Mchungaji wa kanisa, huduma au taasisi ya dini

    Zab 23:1-7, Mithali 3:1-4, Zab 1:1-3, 1Kor 2;6-15, Kut 3:1-9 ========================= Mchungaji aliyeokoka anayeongoza kundi au waumini, ni lazima awe na sifa zifuatazo: i. Awe mfano kwa tabia na mwenendo. ii. Asitamani mali za anasa zitakazo mtoa nje ya kusudi alilopewa. iii. Aepuke fedha...
Back
Top Bottom