kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

    Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma ) Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Ili Mkurugenzi wa Halmashauri ateuliwe anatakiwa awe amefanya kazi miaka 12 Utumishi wa Umma

    "Nakupongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Hongera sana. Hii kwasababu una uwezo mkubwa sana na umetuheshimisha sana" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai. "Namshukuru Mheshimiwa...
  3. cold water

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi clinical officer

    Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye kujenga taifa.
  4. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Mpinzani mkubwa wa CCM kwa sasa ni Serikali ya awamu ya tano. Wapinzani wameshindwa kazi yao?

    Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano. Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati. Hawana muda kabisa na hoja za wapinzani. Upinzani umekuwa nyanya kiasi hicho hadi CCM wanatafuta...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kazi ya fundi Maiko katika ubora wake!

    Nyumba zilizojengwa na fundi Maiko na zile za Fosi Akaunti.
  7. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wabunge 168 wakubali adhabu ya kifo kwa wezi - majimboni kwenu mmewatuma kazi wabunge hao?

    Wanabodi, Salaam! Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi. Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaounga mkono Hamas huko diaspora waanza kufukuzwa kazi

    Unaleta ujuaji mwingi katika taifa lililokufungulia mikono na kukulisha. Ungebaki basi uko uarabuni kama wewe ni jiwe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi kozi fupi za Bandarini zinasaidia kupata kazi?

    Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Eng. Ezra Chiwelesa: Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wapewe kazi kwa mikataba ya miaka 5

    Akichangia hoja bungeni Mbunge Eng. Ezra Chiwelesa amesema Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wasiwe wanapata nafazi zao siziwe hazina ukomo, badala yake wapewe mikataba ya miaka mitatu au mitano na kazi hizo zitangazwe wenye vigezo waombe ili kuleta uwajibikaji katika utendaji wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu MINOCYCLINE nimeshamaliza Kazi, twendeni kwa Mkapa Simba SC anafungwa 4 kwa 1

    Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu. Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli. Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Askari walioiba Tsh. Milioni 90 kwa kutumia Silaha wafutwa kazi, washtakiwa upya kama Raia huru

    Upande wa Jamhuri umelazimika kubadili hati ya mashtaka dhidi ya waliokuwa Maafisa wa Jeshi la Polisi kwa kuondoa namba za Utambulisho wao ambazo ni F 7149 D/ Coplo Ramadhani (42), G. 7513 D/ Coplo Majid Abdallah na WP 6582 D/ Coplo Stela Mashaka ambapo sasa wameshtakiwa kwa majina yao halisi...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  14. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Mfumo fisi maofisini

    Habari ya muda huu wanajf. Naimani tuko vizur mnoo, mvua kila Kona shida kwa wafanyakaz biashara ndogondogo. Msikonde ndugu zangu tupambane, tukomae.. life is no longer space for leasure but only struggle to survive. Midabwada nimekuwa mchangiaji mkubwa sana kwenye madabalimbali nilizokuwa na...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

  16. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Wanasema ubunifu unahitajika kwenye kazi

    Ubunifu unahitajika sana katika kazi ili kuleta ufanisi.
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

    Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika...
  19. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Sehemu za kazi mtu anaweza akakuchukia tu akazuia kila fursa unayostahili!

    Ni maisha tu. Wanaoteuliwa kuwa Wakuu wa Vitengo au Idara wanajitahidi kuonyesha chuki zao na watendaji wa chini, wanadiriki kukutimba udidimie, ila Mungu ni Mkuu. Fikiria mtu akuchukie tu, tena idara za serikali ambapo anakuonesha waziwazi kukufungia vioo.
  20. Philo_Sofia

    JamiiForums Tanzania Nani anawajibika kutoa ajira au kazi?

    Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa. Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa. Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...
Back
Top Bottom