kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

    Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu). Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe...
  2. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

    Wakuu hali inatisha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa inaendelea kuteketea kila kukicha. Hali ni mbaya wakuu!
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

    Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
  4. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Fundi wa Skimming/Rangi anatafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni kipaumbele cha kwanza. Karibuni sana..
  5. 7jero

    JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi ya Upishi Zanzibar

    Habari zenu ndugu na jamaa katika jukwaa hili Mdada wa kazi anahitajika Bububu, Zanzibar. Majukumu yake: Kupika tu Vigezo: 1. Awe anafaham lugha ya kiingereza. Anaowapikia wanatumia lugha ya kiingereza kama njia pekee ya mawasiliano. 2. Awe mkristu 3. Awe msafi 4. Ajue kupika vyakula mbali...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kamari yamefanya Vijana wawe wavivu, wazembe ,wasofanya kazi Kwa Bidii

    Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi. Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari. Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi wanafanya tu ilimradi. Serikali ya Ovyo nayo inajisifu, Et Kamari imetengeneza Ajira asilimia. Taifa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya Ngono na Fedha zilitawala katika Idara za Uhamisho na Upangaji vituo vya kazi katika Halmashauri za Dodoma mwaka 2022

    Matukio ya Rushwa za Ngono na Fedha bado yanaendelea kuwa kikwazo cha upatikanaji wa Haki katika huduma ikiwemo kuwakosesha Watumishi wenye Sifa fursa za kupata Uhamisho wa Idara au Vituo vya Kazi kutokana na kukataa au kutoridhia masharti ya kutoa Rushwa. Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CCM imesahau kuwateua Makatibu wenezi CCM mikoa nchi nzima, Makonda utafanya kazi na akina nani?

    Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa. Hadi leo hawajawahi kuteuliwa, sasa Makonda utafanya kazi na nani? Kazi ya kwanza teua wenezo wa CCM mkoa ili uanze...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Fursa za ajira katika Jumuiya ya OACPS

    Ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji unapenda kuarifu kuhusu uwapo wa fursa za ajira katika Jumuiya ya Nchi za Afrika Karibiani na Pasifiki OACPS yenye makao makuu Brussels Ubeliji ambayo Tanzania ni nchi Mwanachama
  10. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU ichunguze malalamiko ya Wanafunzi wa Vyuo kutorudishiwa Fedha za 'Refund', kuna kitu hakiko sawa

    Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mariam Kisangi agawa vitendea kazi kwa UWT ngazi ya kata hadi mkoa

    MBUNGE MARIAM KISANGI AGAWA VITENDEA KAZI KWA UWT NGAZI YA KATA HADI MKOA Atoa Jumla ya Viti vya Ofisi 214, Meza 107 pamoja na Majiko ya gesi 350. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es salaam (UWT) Mhe. Mariam Kisangi leo tarehe 25 Oktoba, 2023 amewezesha vitenda kazi kwa Ofisi za UWT kwa kata...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wanaoomba kazi kupitia Tamisemi ni ualimu tu au hata kada nyingine?

    Nimesomea DIPLOMA ya utawala, je naweza kujiunga kwenye web yao na kuanza kuomba kazi?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbalawa, ulisema mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi sasa mbona haonekani site Tanga mjini na Pangani?

    Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi China, Li Shangfu afutwa kazi

    Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping ----- China’s Defense Minister Li Shangfu was fired on Tuesday two months after he disappeared from...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Vipi unapofanya kazi ofisini na mavazi na sura zao na uchangamfu wao hawa wadada.

    Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo. Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Nafasiya kazi Konfa Enterprises Limited

    1.SALES MANAGER(3) 2.ASSISSTANT SHOP MANAGER
  18. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    Katika Kampuni yangu ya usafirishaji nilikuwa na Mfanyakazi muhimu lakini shabiki wa Yanga. Kazini alikuwa anatimiza majukumu yake vizuri sana. Tatizo lilianza pale nilipoanza kujua kuwa anashabikia Yanga. Huyu jamaa alikuwa yuko tayari kukosana na wafanyakazi wengine sababu ya kubishana mambo...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi rasmi, naenda kwenye umachinga

    Tarehe ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zangu kuwa tarehe ya mwisho kuwepo kazini. Aisee, baada ya kuchoka na uvivu uliokithiri leo natangaza rasmi kuacha kazi wakuu. Kwasasa nitakuwa napatikana Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kama machinga mdogo tu wa earphones, redio na vitu vingine vidogo...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

    Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
Back
Top Bottom