Kijana umeishia elimu ya darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, au cheti, diploma, au digrii isiyokuwa na mashiko, na hutaki kazi za kutembeza vitu, kazi za bar, kazi za ndani, kazi za shamba, kazi za kuhudumia mifugo n.k; tuambie unataka kazi zipi?
Na kwanini unabagua kazi, wakati...