israel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaunda kundi jingine la wanamgambo wa Kipalestina huko Gaza na kulipa silaha

    Kiongozi wa Upinzani huko Israel bwana Yair Lapid ameishutumu serikali ya Israel chini ya Benjamin Netanyahu kwa kuunda kundi jingine la wanamgambo huko Gaza na kuwapa Silaha. bwana Yair amesema kuwa kitendo hicho kinahatarisha maisha ya wanajeshi wa IDF maana silaha zitakuja kuishia kwa...
  2. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Israel yasema italipua ghala na kiwanda cha Drone za Hezbollah leo - Raia waanza kuhama eneo husika

    Jeshi la Israel lilidai siku ya Alhamisi kuwa “maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kushambulia miundombinu kadhaa ya chini ya ardhi inayotumika kutengeneza ndege zisizo na rubani (UAVs) ambayo imeanzishwa” katika maeneo ya kusini mwa mji wa Beirut. Likitaja makubaliano kati ya Israel na...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Msafara mwengine kuvunja uzio wa Israel huko Gaza utatokea Misri.Ni wa waandishi wa habari,madaktari na wote watakaopenda kujiunga

    Wakati Marekani na Israel wakiendelea na kuwamaliza wapalestina kwa mabomu na njaa,Watu waliobaki na ubinadamu duniani wanazidi kutafuta mbinu za kufika Gaza kuwaokoa wahanga hao. Huku msafara kwa njia ya bahari kupitia Freedom Flotila ambao yumo Greta Thunberg ukikaribia Gaza msafara mwengine...
  4. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile kesi ya kenya waliofungua kuwashtaki israel kumuua Yesu iliishia wap?

    Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili waangamizwa katika shambulio la anga la Israel

    Shambulizi la anga la Israel limewaangamiza Mahmoud Abu Nar, mwanachama mkuu wa Harakati ya Mujahidina aliyehusishwa na utekaji nyara wa familia ya Bibas. Na pia Wapalestina wanaripoti kuangamizwa kwa Mahmoud Abu Naar, mjumbe wa baraza la kijeshi la Mujahidina Brigedi na kamanda wa Gaza ya...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaouma kuhusu Israel huu hapa!!!

    Wape wape vidonge vyao wakimeza wasimeze Shauli yao!!!! https://x.com/fcjoriginal/status/1913388970823803060?s=61
  8. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Vedeo - Rubio -Marekani yasema NO VISA ya kuingia Marekani kwa wenye chuki binafs na Israel waisahau Marekani

    Free Free Palestina Lengo lake ni Kuiangamiza Israel from the river to the Sea ni Kosa la kimahesabu uhuru hauombwi hivyo na chuki hazijawahi kushinda vita vya muda mrefu.. Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe. Wenye Chuki watasaidiwa kufika Gaza wapigane na Israel na kama hawawezi basi...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari watatu wa Israel wafariki vitani huko Gaza

    Wanajeshi watatu wa IDF wafariki vitani katika Ukanda wa Gaza: Staff-Sajent Lior Steinberg, umri wa miaka 20, kutoka Petah Tikva, daktari katika mapigano (Cpmbat Medic) kutoka kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza. Staff Sajent Ofek...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wa Hamas wavamia battalion ya Jeshi la Israel waua wanajeshi 3 huko Gaza, 2 wajeruhiwa vibaya

    Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces. The slain soldiers are named as: Staff Sgt. Lior Steinberg, 20, a combat medic, from Petah Tikva...
  11. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Warabu Wa Gaza Wafurahia mgao mpya wa Chakula cha Msaada Dezo, wataka mpango huo wa Israel na USA uendelee wasema UN ni Hamas mafisadi

    Mpango huu ni pigo kuu kwa Hamas maana walitaka kuthibiti chakula ili kuandikisha magaidi wapya kwa mshahara wa Chakula cha Kuiibia raia kimabavu.. Israel imesema inafugua vituo vingine zaidi vya kugawa chakula. Aljazeera wameumia sana na ndio wamezidisha chuki na heading news zao hadi wasomaji...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Droni yarekodi Hamas wakifyatua risasi kwa raia wa Gaza waliokwenda kuchukua msaada wa Israel, wanazuia watu kupata chakula wanasingizia Israel

    Kwa muda mrefu imekuwa kawaida kwamba misaada ya kibinadamu inayoingia Gaza husimamiwa na Hamas. Lakini badala ya kuisambaza kwa raia wanaohitaji, mara nyingi misaada hiyo huuziwa sokoni au hufichwa kwa manufaa ya kundi hilo. Israel iliamua kuchukua hatua tofauti kwa kusambaza misaada moja kwa...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Israel katika European Hospital kusini mwa Gaza

    Shambulio la Israel katika European Hospital kusini mwa Gaza, ambapo kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Sinwar aliangamizwa katika kituo chake cha kamandi kwenye Handaki lililojengwa chini ya Hospitali hiyo. Umoja wa Mataifa na serikali za Magharibi zilisisitiza mara kwa mara hospitali hiyo...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati 11 maarufu akiwemo Greta Thunberg wameamua kujitoa muhanga ili kuvunja mzingiro wa Israel kuwafikishia misaada Gaza

    Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza. Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Je, Israel kwa sasa iko tayari kushambulia vituo vya ki Nuclear vya Iran?

    Operesheni ya Israeli ya kushambulia mpango wa nyuklia wa Iran imekuwa tayari kwa miaka mingi sasa Kinachohitajika sasa ni kuidhinishwa tu. Lakini hapa ndio watu wengi hawajui: Wakati Israeli ililenga maeneo ya nyuklia ya Iran hapo awali, ikiwa ni pamoja na centrifuges na viwanda vya ulinzi...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya raia wa Israel wajitokeza kuzuia misaada kupelekwa Gaza!!!

    Baadhi ya wananchi wa Israel wanaopinga mkataba wa kusitisha mapigano na magaidi wa Hamas leo wamejitokeza njia kuzuia Msafiri wa malori yenye misaada kuwapelekea magaidi wa Hamas huko Gaza
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Sana’a washambuliwa na ndege za Israel!!!!!

    Baada ya matishio ya muda mrefu yaliyokuwa yanafanywa na kundi la kigaidi la Houth kushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion bila mafanikio!! mfupi uliopita, IDF ilishambulia uwanja wa ndege mkuu wa Sana'a na ndege za kundi la kigaidi la Houthi. Ndege zilizolengwa zilitumiwa na utawala wa...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel kufunga anga ya Yemeni, kutia uzio angani, hamna chochote kitapaa au kutua

    Hii wamesema baada ya wao kupiga ndege iliyokua imesalia uwanjani, uwezo wa kufunga anga wanayo, nia wanayo na sababu za kufunga wanazo..... Hawa wana wa Yakubu walibarikiwa sana, ukizingatia makobaz bilioni mbili duniani yamekua yakiomba Israel wafutwe kwenye ramani ila itakua wanayemuabudu...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Ndege za Israel yashambukia uwanja wa ndege wa Sanaa muda huu

    Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media. The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days. Earlier this month, also after repeated attacks...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yapata kiwewe na ushujaa wa wapalestina.Mbinu za kupambana nao zimewaishia wakati Tsunami ya kimataifa ikianza dhidi yao

    Tayari minong'ono imesambaa kushangazwa na ushujaa wa wapalestina katika kutetea ardhi na imani zao. Viongozi wote wakuu wa Hamas kwa mujibu wa Israel wameshauliwa mpaka makamanda wadogo wadogo na bado hakuna malengo yaliyofikiwa.Ufuatao ni muhtasari wa kushindwa kwa mbinu za Israel, 1.Kwa...
Back
Top Bottom