israel

  1. W

    JamiiForums Tanzania Orodha Isiyo rasmi ya maafisa wa juu wa jeshi la Iran waliolengwa na Israel

    Mohammad Bagheri – Mkuu wa majeshi ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Chief of Staff of the Armed Forces.) Hossein Salami – Kiongozi mkuu wa Jeshi la walinzi wa mapinduzi ya kiislamu (commander of IRGC.) Amir Ali Hajizadeh – Mkuu wa Kikosi cha Anga cha jeshi la walinzi wa mapinduzi ya...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Israel haitaki iwepo palestina? Sababu halisi!

    Trump ameripotiwa kujaribu kuzishawishi nchi kama Indonesia, Jordan, Misri, Albania, Lybia, Somalia, Somaliland na nyinginezo kuwachukua Wapalestina, lakini hakuna hata mmoja kati yao aliye tayari. Na kwa uaminifu kutaka kuwachukua wapalestina hao, inashangaza sana Popote ambapo idadi kubwa ya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
  6. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iran inajiandaa kuitwanga Israel

    Persians wanajiandaa kuigeuza Israel kifusi. Mzayuni anasubiriwa ajichanganye tu. #TUTAKUWEPO BREAKING: 🇮🇱🇮🇷 Iran is preparing to flatten Israel with thousands of ballistic missiles - New York Times reports Iranian military and government officials have already met to discuss their response...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza raia wake kukimbia Mashariki ya kati, Israel kuitandika Iran kabla ya Jumapili, maandalizi tayari

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Israel ikaishambulia Iran ndani ya wiki hii

    Kutokana na harakati nyingi za kijeshi zinazoendelea huko Israel kuna uwezekano mkubwa sana Iran ikashambuliwa ndani ya Wiki hii. Kama Israel itafanya hivyo basi itakuwa imewafumba miodom wote waliokuwa wanabeza uwezo wake kijeshi dhidi ya mahasimu wake huko Mashariki ya kati.
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uingereza yawawekea vikwazo Mawaziri wawili wa Israel Bezalel Smotrich na Mwenzake Ben-Gvir

    Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria. Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yaipa Ukraine mifumo ya Ulinzi wa anga(Patriot)

    🇮🇱 Israel imehamisha mifumo ya Patriot kwenda Ukraine, Balozi wa Israel nchini Ukraine Michael Brodsky amethibitisha. "Mifumo ya Patriot tuliyowahi kupokea kutoka Marekani sasa iko Ukraine. Hii ni mifumo ya Israel iliyokuwa ikihudumu nchini Israel mwanzoni mwa miaka ya 1990. Tulikubali...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Shehena za silaha nzito zaendelea kumiminika huko Israel

    Maandalizi ya shambulio la Israel dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran yanasemekana yanakaribia kukamilika, huku hatua za mwisho, ikiwa ni pamoja na upelekaji wa silaha na mipango ya uendeshaji, zinaendelea kwa sasa, kulingana na Channel 12. Kuanzia mwezi uliopita ndege kubwa za mizigo zimetua...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Iran ashukuru kwa kupata taarifa za kijasusi kutoka Israel!!

    Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, Hossein Salami: Anasema Ana’s humurukwa maelfu ya hati walizozipata kuhusu vituo vya nyuklia vya Israeli, mashambulizi yetu sasa yatakuwa sahihi zaidi. Taarifa hizo zinasaidia katika juhudi za kuliangamiza taifa la Israel. Pigo hili la kijasusi sio la...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Cyber attack kwenye mifumo ya nuclear ya Israel

    Televisheni ya taifa ya Iran ilitangaza kuwa chombo cha kijasusi cha Iran kimetoa pigo la kihistoria kwa Israel. MOIS ilipata maelfu ya hati zinazohusiana na miradi na vifaa vya nyuklia vya Israeli. Waziri wa Mambo ya Intelijesia wa Iran alithibitisha haya siku ya Jumapili ya tarehe 9 Juni...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IDF ilipata mwili wa kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar chini ya handaki!

    ⚠️BREAKING: IDF ilipata mwili wa kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar kwenye handaki chini ya Hospitali ya Ulaya huko Gaza. Hamas ilijenga chumba cha kulala chini ya ardhi chini ya hospitali ya Gaza, inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya 🇪🇺, huku wakimficha kiongozi wa Hamas ndani. Hasira ya kimataifa...
  15. inamankusweke

    JamiiForums Tanzania Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

    Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video) Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
  16. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi Wamarekani wanatumia sheria gani kuweka vikwazo nchi zinazopinga tawala za kisheria lakini wanashindwa kuwachukulia hatua Israel?

    Kuna double standard hata katika nchi ambazo mnaona kuna utawala wa kisheria,Mwenye mamlaka daima hawezi kufanana na wewe hata iweje.
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yanayoikuta Israel kuelekea kushindwa vita na Hamas

    Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli. Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Naamini muda sio mwingi Israel ataishambukia Iran ni baada ya kukataa ushauri wa US, Sababu , Nia na uwezo wanao

    Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari wanne wa Israel wauwawa huko Gaza

    Wanajeshi 4 wa IDF wameuawa na wengine 5 kujeruhiwa baada ya jengo lililokuwa limetek wa milipuko kusini mwa Gaza kuporomoka. Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa na watano kujeruhiwa na mlipuko katika jengo moja kusini mwa Gaza ya Khan Younis asubuhi ya leo, jeshi latangaza. Wanajeshi wawili...
Back
Top Bottom