Iran's airspace officially belongs to Israel now.
Nuclear sites, military bases, and IRGC senior officials are all on the menu.
It's the beginning of the end of the Islamic regime in Iran.
Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, By Times of Israel The security cabinet is set to meet in an underground bunker tonight at 10...
Watu watakufa watu wataumia kwa maelfu ila wazee wakutoa roho qka Israel wana kazi moja sio vinu vya nyuklia wala nini ila roho ya mkuu wakidini Ayatollah Khamenei.
Je, ni kwani?
Mpaka sasa Israel chini ya kikosi chao cha majasusi Shinbet and Mossad wamesha pata nakala na ushahidi wakutosha...
Jeshi la iran kwa mujibu wao limefungulia mlango wa kuzimu jana
Kwa kurusha drones za kubahatisha yaani iue yoyote
Kwa maskitiko imeua watu watatu wasio na hatia
Je hili jesh tofauti yao na magaidi wa hamas na hezbolla ni ipi?
Jeshi lenye ueledi haliwezi kurusha mabomu km kichaa huo...
Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.
Bado anahitaji sana misaada.
https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267
JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema kuwa linaendelea na mashambulizi ya anga katika maeneo ya Iran.
Katika taarifa fupi iliyotumwa kwa Telegram, IDF ilisema kwamba "Jeshi la anga la Israel linaendelea kulenga shabaha ili kuondoa vitisho nchini Iran".
Taarifa hiyo ilichapishwa pamoja na...
China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita.
Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
Hi nchi ni ya ******* kweli na wananchi wake walivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel.
Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali...
Tetesi:
Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran.
Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto.
Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu...
Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday,
June 14, 2025
Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’
By Emanuel Fabian Follow
Today, 12:16 pm
Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel.
Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia kiberiti mji wote, ifahamike Israel wana uwezo wa ile bomu ya MoB yaani mother of all bombs, na...
Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema Iran usiku wa kuamkia leo imevuka mstari mwekundu kutokana na mashambulizi yake ya makombora kulenga maeneo ya kiraia hivyo ijiandae kwa majibu makali
Katz amesema mashambulizi ya Iran yatajibiwa kwa viwango vya juu kuharibu uwezo wa Iran...
Wadau hamjamboni nyote by Iran International. Iran’s Supreme National Security Council holds session to discuss response to Israel
Iran’s Supreme National Security Council convened on Friday evening to review and reinforce ongoing plans for responding to Israel, the council’s secretariat...
Milio ya ving'ora imerudia ndani ya miji ya kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon ikidhaniwa ni droni kutokea kwa Heizbullah.
Droni kama hizo zimeonekana zikiingia ndani ya israel kupidia bonde la mto Jordan.
Wananchi ndani ya jiji la Te Aviv wakisimulia mapigo ya jana kutoka Iran wamesema...
Katika hali ambayo inashangaza sana na kukasirisha. Ni kitendo cha Khayatollah kumpigia simu Trump kuwa awaambie watu wake Mayahudi kuwa sasa wamerudishiana angalau yaishe.
Trump anasema atajaribu kuongea na Netanyau ola shida Netanyau ni mjeuri sana. Khayatollah anasema wameingia sana hasara...
Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ...
Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.