israel

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

    Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya US Jana imeonyesha Israel ni Taifa Dhaifu na halina uwezo wa kuulinda uwepo wake

    Mwanzoni nilidhani ni uongo, nimeshangaa kumbe kweli Israel ilikuwa haina uwezo wa kulipa mitambo ya Nyuklia Fordow. Licha ya kumiliki Bunker Boosters lakini vyote vinauwezo wa kukwangua tu maandaki. Hili tukio maana yake ni nini? Israel haina uwezo wa kujilinda na hailindwi na Mungu bali US...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kuwinda meli za kijeshi za Iran

    Ndege zinaruka na kujipigia chochote, hamna Kinga wala namna ya kuzuia, zinapiga popote na chochote, kwa utashi wa rubani, yeye ndiye anaamua apige nini akiwa huko angani.... Israel's military is striking drone storage facilities located at an Iranian naval base in Bandar Abbas, a strategic...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unaweza kukisema kibaya au kizuri Kwa Israel au Iran bila kuweka mapenzi yako ya kidini?

    Kuna jambo gani unadhani Iran au Israel wanafanya ambalo ni zuri au baya bila wewe kuweka propaganda za mitizamo yako kutokana na dini uliyomo? Kwa mfano mambo haya yafuatayo unayaonaje kuhusu nchi hizo mbili hasimu? 1. Maendeleo ya sayansi na teknolojia. 2. Mifumo ya kidemokrasia 3. Uhuru...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Israel Ameinua Mikono Hatuwezi Kuendelea Na Vita Bila Lengo Na Lengo Letu Si Kubadili Kiongozi Wa Iran

    Habari ya mjini ndio hio https://youtu.be/Zi_zcRCWIq8?si=EceJr5gN4HaAB4tI Iran pia kasema Dimona Nuclear inaweza kuwa target kutokana na vita inavyo kwenda.
  7. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

    Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao...
  8. This is...

    JamiiForums Tanzania Teheran inaenda kukaluwa na USA na ISRAEL kirahisi hata zaidi ya Gaza

    Haya maneno yangu yanaweza onekana kama yasiyo na mashiko. Ilichokitaka Israel na USA ni raia kuprotest against utawala wa AYATOLAH kitu ambacho tayari kinatokea. Marekana anaingia vitani sasa. Hifadhi maneno yangu.Iran haina muda kabla haikaangukia mikononi mwa Israel na USA km ikivyo Syria.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran

    Mlinzi wa Nasrallah aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel nchini Iran - Al Arabiya Aliyekuwa mlinzi wa muda mrefu wa Katibu Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasrallah Abu Ali al-Khalil aliuawa katika shambulio la anga huko Tehran, Al-Arabiya iliripoti ikinukuu vyanzo vya Hezbollah. Mtoto wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu Unampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau kuhusu sera nzuri kwa Israel baada ya kuisha kwa vita dhidi ya Iran

    Uzi Maalumu Kila jambo lina Mwisho njia bora kujenga amani ya kudumu ni muhimu
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania AIPAC ni nini ? Kwa nini na ki vipi inaamua sera za nje za marekani juu ya Israel

    AIPAC ni nini ? A National Movement of Pro-Israel Americans WE ARE more than 5 million pro-Israel Americans from every congressional district who are working to strengthen bipartisan support for the U.S.-Israel relationship. Imeanzishwa lini ? AIPAC was founded in 1954 by Isaiah L. Kenen, a...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa jeshi la Iran ambaye huratibu shughuli za HAMAS auawa na Israel

    Israel endelea kupeleka moto, msijali hata Iran wakilenga apartments za raia, hiyo gharama ya kulipa kwa ajili ya vizazi vyenu vya baadaye, maana mkifaulu kusambaratisha Iran, ndio mtakua salama nyie na watoto wenu maana maana Iran tu ndio ilikua imesalia kama tishio kati ya mataifa ya waislamu...
  13. African Geek

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa biblia ya scofield kuhusu Israel ya sasa ukilinganishwa na biblia ya asili

    Biblia ya Scofield ni tafsiri ya King James Version (KJV) iliyoambatana na maelezo ya kina kutoka kwa Cyrus Ingerson Scofield, mchungaji wa Kimarekani aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika karne ya 20. Biblia hii ilichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1909 na ikawa ya msingi kwa Wakristo wengi wa...
  14. snipa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuzima internet, Israel wanazidi kugeuzwa kuwa Gaza, ssbabu hii hapa…

    Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile) Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US, kwanini nasema ni mpango wa US? US huwa anaitisha makubaliano baina ya pande mbili, kama mna mzozo na pia upande ulio pamoja na US...
  15. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

    Niaje waungwana Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani. Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya kutibu majeruhi wa kivita, vyote vinatoka vinatoka Marekani. Inawezekana hata hao wanajeshi wanaopigana...
  16. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Marekani na mwanae israel

    1. Marekani na Migogoro ya Mashariki ya Kati Iraq (2003): Marekani ilivamia Iraq kwa madai kuwa Saddam Hussein alikuwa na silaha za maangamizi (WMD), jambo ambalo baadaye halikuthibitishwa. Vita hiyo ilisababisha vifo vya maelfu ya raia na kusababisha hali ya machafuko. Libya (2011): Marekani...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka meli za kivita 5 katika pwani ya Israel

  18. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Mshauri wa kiongozi Ali Shamkhani, aliyejeruhiwa katika uvamizi wa Israel, anasema 'alfajiri ya ushindi imekaribia'

    Mshauri wa kiongozi Ali Shamkhani, aliyejeruhiwa katika uvamizi wa Israel, anasema 'alfajiri ya ushindi imekaribia' Kukomesha uvumi, Admiral Ali Shamkhani, mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, amethibitisha kuwa anauguza majeraha aliyoyapata katika uvamizi...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inafanya huu unyama na Dunia iko kimya tu?

    Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote. Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu? Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini

    HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN DODOMA, 19 JUNI 2025 Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025, hali ya usalama katika mataifa...
Back
Top Bottom