Waziri Mkuu wa Uhispania Sanchez wa Uhispania mapema leo amesema Gaza iko katika kile amekitaja kuwa "hali mbaya ya mauaji ya halaiki" na ameutaka Umoja wa Ulaya kusitisha mara moja mpango wake wa ushirikiano na Israel
Kauli hiyo ya Sanchez inaonekana kuwa kali zaidi kuwahi kutolewa, na...
Naweza nikathibitisha ya kwamba jeshi la ufaransa lilizuia drones 10 zilizorushwa na jeshi la Iran katika operesheni yao ya kushambulia Israel siku kadhaa zilizopita kupitia mifumo yetu ya ulinzi na Rafael fighter jet
-Sebastian Le cornu
Wanashangaa mbona mzee bado amejificha, kulikoni, Israel ilishafanikisha malengo, vinu vya nyuklia vimesambaratishwa..............
Two days after a ceasefire between Israel and Iran came into effect, Iranians are growing concerned over the well-being of Ayatollah Ali Khamenei, The New York...
Raia sita wa Tanzania wakiwemo watoto watatu, wamerudi nyumbani kutoka Israel baada ya serikali kuchukua hatua ya kuwarejesha nchini, kutokana na hali ya hatari iliyoko nchini humo.
Soma Pia: Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini
Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.
Pia wanaulizana nani aliye toa amri...
Niaje waungwana
Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la kijasusi la CIA.
1. Kwanza tukumbuke kuwa raisi Trump ni mtu asiependa kuona Marekani ikiendelea kufanywa...
Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo June 25, 2025, kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia
Serikali ya Tanzania imesema Watanzania hao watawasili nchini katika makundi mawili ambapo kundi la kwanza limewasili...
Katika sura ngumu ya siasa za Mashariki ya Kati (Middle East), hakuna mgogoro uliojaa migongano ya kiitikadi, kijeshi, na kijasusi kama ule baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Taifa la Kiyahudi la Israel. Vita hii isiyo rasmi – proxy war – imedumu kwa zaidi ya miongo mitatu, ikiendeshwa kwa...
Mechi imeanza
Goli la kwanza: Iran Kapigwa airdefense zake zote
Goli la pili: iran kauliwa scientist wake na viongozi wake wote wa kijeshi, hapa mabeki wa ujasusi wa iran wamelala
Goli la tatu: military assets zake theluthi moja zimeharibiwa
Goli la nne: vinu vya nuclear vyote vimeshambuliwa...
1) Yahweh
name for the God of the Israelites, representing the biblical pronunciation of “YHWH,”
https://www.britannica.com/topic/Yahweh
Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel
https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t
Israeli hospital hit by Iranian missile strike...
28m ago
Israel claims intercepting drones ‘apparently from Iran’
Live Update From the Liveblog of Tuesday, June 24, 2025
IDF downs 2 drones likely launched from Iran before ceasefire
By Emanuel Fabian
Today, 11:24 pm
Two drones launched from Iran at Israel were intercepted by the Israeli...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Hapa ndo utauona umaana wa Iran sema tu Iran hana msaada lakini ni mtetezi wa watu wa Palestine
Bahati mbaya naye kapigwa kama mtoto mdogo, mda huu anaugulia maumivu, tumpe pole
Israel anaendelea kuuwa watu wasio na hatia tokea jana usiku mpaka mda huu...
Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano.
Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano."
Serikali ya Israel inasema ilikubali pendekezo la kusitisha mapigano baada ya "kufikia malengo" ya mashambulizi...
Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran.
Ujumbe wa Rais Trump ulisomeka: "ISRAEL. MSIDONDOSHE HAYO MABOMU. HATUA HIYO ITAKUWA UKIUKAJI MKUBWA WA MAMLAKA. WAAMBIENI MARUBANI WARUDI NYUMBANI...
Jamaa wanasakwa popote
===========
Mwanasayansi mashuhuri wa nyuklia kutoka Iran ameuawa katika shambulio la anga la Israel, kwa mujibu wa televisheni ya taifa ya Iran, na hivyo kumfanya kuwa miongoni mwa wanasayansi wa nyuklia wa juu waliouawa katika mashambulizi ya Israel katika kipindi cha...
Huyu naona ceasefire ingemnyima fursa ya mabikira, ashukiru...
==========
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa shambulio la Israel lililotokea siku moja kabla lilimuua kamanda mwandamizi wa kikosi cha wanamgambo wa Basij, ambacho kinahusishwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu...
Walitaka tu kuharibu mifumo na vinu vya Nyuklia vya Iran. Ndiyo mambo ambayo kwao yalikuwa agenda kuu sana miaka yote. Wamefanikiwa kwa asilimia 90 plus.
Na pia walitaka kuitia Kilema Irani kivita au kisilaha. Na haya mambo hayakuanza leo au jana. Mipango yao ilikuwa okifanyika zaidi ya miaka...
. Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’
By Lazar Berman Follow
Today, 11:22 am
Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire.
“Iran broke the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.