Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa...
Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa.
Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa...
Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri.
al jazeera ipo nchini qatar.
Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran.
Inaeneza habari potofu na propaganda za vita kwa niaba ya Iran, ikifanya chochote kinachoweza kudhuru Israel, U.S., na...
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.
Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.
Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni...
Trump in dramatic announcement: Israel and Iran have agreed on a ceasefire
US President Donald Trump announces that Israel and Iran have agreed to a 12-hour ceasefire, beginning in six hours: This is a War that could have gone on for years, and destroyed the entire Middle East, but it didn’t...
Naona gaidi iran anatapa tapa, sasa ni dhahiri anajichimbia kaburi mwenyewe.
=======
Iran imetekeleza mashambulizi ya kombora dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizoko nchini Qatar na Iraq, kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya kimataifa.
Mashambulizi haya yanakuja...
Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
📜 BADO HAKUNA WAKUIFUTA ISRAEL KWENYE USO WA DUNIA 🌍
Katika historia yote ya mwanadamu, taifa la Israeli limekumbwa na majaribu mengi – vita, maangamizi, uhamisho na chuki ya mataifa mbalimbali. Hata hivyo, taifa hili limeendelea kusimama imara, likithibitisha kwamba mpango wa Mungu juu ya...
Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran...
Mwaka 1950's alichaguliwa waziri mkuu wa iran aliyeitwa Mohammad Mosaddegh wakati wa kampeni aliahidi kurudisha umiliki wa visima vya mafuta mikononi mwa iran alivyoshinda alianza kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha visima vya mafuta vinabakia mikononi mwa irani hiki kitendo hakikuwafurahisha...
Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu
Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui
Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni.
Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani.
hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2.
Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia...
Shirika la habari la Associated Press (AP) limesema kuwa Jeshi la Israel limetoa taarifa kuwa limepata miili mitatu ya mateka wa Tukio la Oktaba 7 huko Gaza.
Miili hiyo ambayo mmojawapo ni wa mwanajeshi, bado Jeshi hilo halijataja majina Yao!
Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658.
Nchi ni:
1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623
2. Lebanon 5,848,354
3. Iran 92,417,681.
Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978.
Yaani ni sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.