israel

  1. mager6

    JamiiForums Tanzania Kwanini Netanyahu waziri mkuu wa Israel wanamuita bibi?

    Msaada kwa wajuzi wa mambo. Huyu jamaa najua anaitwa Ben, na namuona kwenye media ni kidume ipi siri ya yeye kuitwa bibi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kutaja au kuomba Kwa kutumia jina la Yesu nchini Israel. Sisi waswahili tumetoa wapi mafundisho hayo ya kuombea nchi Israel

    Nimemsikiliza kiongozi mmoja wakidini hawa wenzetu walokole kanishangaza kidogo. Anasema nchi ya Israel imetunga Sheria inayozuia wananchi wake kulitaja au kuomba Kwa kutumia jina la Yesu hadharani. Yaani kwao ni haramu kutumia jina la Yesu kuombea nchi hiyo. Sisi wakristo waafrika...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Israel inatambulika kwenye Biblia na Quran, Palestina hatajwi popote

    Uchambuzi wa maandiko matakatifu ya Biblia na Quran unaonyesha kuwa neno Israel lina mizizi ya kina na ya wazi katika vitabu vyote viwili, huku neno Palestina likikosekana kama jina la nchi au taifa ndani ya maandiko hayo ya asili. Katika Biblia, neno Israel linatokea zaidi ya mara 2,500. Jina...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Muungano wa Tanzania unaweza kuwa suluhisho la kudumu la mgogoro wa Israeli na Palestine

    Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho la kudumu kati ya Israeli na Palestine? Kabla haujanicheka au kunishambulia, embu tuwaze wote...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vipi Iran Itashinda Vita Dhidi ya Marekani na Israel? Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/zHhj_gxjcY8 Operation Rooster 53 was a bold Israeli special forces mission on December 26–27, 1969, during the War of Attrition, where commandos stole an advanced Soviet-made P-12 radar system from Ras Ghareb, Egypt. Using CH-53 helicopters, they airlifted the 7-ton radar to...
  6. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Miji ya Makombola iliyo chini ya ardhi huko Iran imeangamizwa na majeshi ya Israel

    Iran ilikuwa ikijivunia kuficha na ku hifadhi Mabomu na Makombola yao chini ya ardhi mpango wao huo umebuma baada ya tecknolojia ya Israel kuyagundua yalipo na kuwaangamiza. Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa magaidi wa Iran 🇮🇷 https://x.com/imtiazmadmood/status/2032400792808739018?s=61
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani wameishiwa Silaha kabisa. Sasa ni kipindi cha pili watajuta

    Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina. Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote .hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Iran iko juu ya Israel kijeshi

    Hebu msikilize huyu myahudi https://youtu.be/FWAk6JNTv0s?si=1hE0a49Ql33hDgAY
  10. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Undumilakuliwi kuhusiana na Mtazamo juu ya Iran na Israel kuhusiana na Nyuklia

    My people, Kwanza nianze kwa kusema Mimi ni shabiki namba moja hapa Afrika Mashariki wa Islamic Republic of Iran,na nina sababu za kufanya hivyo. Ni Taifa ambalo limekuwa likiangaliwa katika mlengo hasi siku zote,shutuma za kuhatarisha amani Mashariki ya kati wao,shutuma kwamba ni wafadhili wa...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Hispania yaondoa Balozi wake nchini Israel kupinga vita vya Iran na mauaji Gaza

    Spain removes ambassador from Israel in protest to Iran war, Gaza genocide Madrid recalls ambassador amid rising diplomatic tensions and criticism of US-Israeli actions in Iran. Serikali ya Uhispania imeamua kumuondoa balozi wake nchini Israel, kulingana na tangazo lililochapishwa kwenye gazeti...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kituo cha rada na Satelite yamelipuliwa Israel. Wanajeshi 140 wa Marekani wajeruhiwa

    satellite station na kituo cha mawasiliano ''radar'' karibu na beit shemesh nchini israel zimelipuliwa na kusababisha moto mkubwa kuwaka siku ya jana mara baada ya msururu wa makombora na drones kurushwa na jeshi la IRGCC. Hali kadhalika pentagon wamethibitisha wanajeshi 140 wa usa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yalalamikia Baraza La Usalama, Yasema Mashambulizi ya Israel Labanon Yameua Wanadiplomasia Wake 4 Walioenda Kwa Mwaliko Mwaliko wa Lebanon

    Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne. Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Iran imetia umakini kulipua raia wakati Marekani na Israel wanalenga zaidi silaha, viongozi, viwanda vya silaha, rada, meli za vita, n.k?

    Najiuliza sipati majibu. Hadi sasa Marekani na Israel wameharibu kwa kiasi kikubwa meli za kivita za Iran, ndege za jeshi la Iran, vituo vya makombora na drones, Ulinzi wa anga, vituo vya kijeshi, miundombinu ya mafuta, n.k. Wameweza kuwaua pia viongozi wakubwa kama Ayatollah na makamanda...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    https://youtu.be/Gw4tDqeT92g
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Israel kuua viongozi wakuu wa kisiasa na kijeshi ina faida kimedani au ipo tu kujitwalia ujiko ?

    Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ? Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
  17. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Ikiwa ubashiri wako vita ya Israel na Iran, Israel akisaidiwa na Marekani ni mihemuko kiimani. Jitafakari

    Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza. Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani. Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
  18. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya nje Israel wailalamikia Hezbollah kwa kuishambulia Israel bila kupumzika

    Wizara inalalamika, Mazayuni hawapati muda wa kuliona jua, kila muda Mazayuni wanakimbilia kwenye mahandaki. Hezbollah hawawatendei haki Waisrael. https://x.com/IsraelMFA/status/2030951176682844346?s=20
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati...
Back
Top Bottom