Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za kijamii haziathiriki.
Tanzania na Waafrika tuna mataifa makubwa yanakila kitu lakini hata vyanzo vya...
Vyanzo vyangu kutoka Iran vinaripoti kuwa kumetokea milipuko mikubwa nchini humo.
Video zinazoonyesha milipuko karibu na kituo kikubwa cha makombora nje kidogo ya mji wa Isfahan zimethibitishwa.
Kitengo cha BBC Verify kimechambua video tatu zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo...
Maelezo kuhusu operesheni ya uokoaji kulingana na vyombo vya habari vya Marekani na Iran:
Rubani wa Marekani alijificha kwenye kilima kilichoinuliwa katika eneo la milimani na misitu ambapo alitua. Alitembea kwa miguu mbali na mahali aliposhuka kwa parachuti kisha akawasha Signal ya kuonyesha...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa Kirya:
Pamoja na marafiki zetu wa Marekani, tunaendelea kukiponda kichwa cha utawala wa kigaidi nchini Iran.
Katika siku za hivi karibuni, Jeshi la Anga limeharibu 70% ya uwezo wa uzalishaji wa chuma wa Iran.
Kwa uratibu kamili kati yangu na...
Siku mbili zilizopita, gaidi wa Hezbollah Abbas Awala alionekana katika moja ya video za Hezbollah akiendesha kifaa cha kurusha roketi huku akiwa amevaa sanda ya mazishi, tayari kwa kifo chake.
Jana, IDF ilikubali ombi lake na kumuua bila huruma yoyote!! Allah-Akbar
Adiosamigo mdogoee @gallna...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika ujumbe kwa Katibu Mkuu wa Hezbollah Naim Qassem:
Utalipa gharama kubwa kwa kufyatua risasi kuelekea Israeli usiku wa kuamkia sikukuu.
Hutaishi ili kuiona kesho yako kwa sababu utakuwa ndani kabisa ya kuzimu pamoja na wanachama wengine wa mhimili...
Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI:
-"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni".
-"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye".
-"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
Vita baina ya Marekani, Israel dhidi ya Irani ilianza tarehe 28 Februari, 2026. Vita hiyo imeongezeka wigo kutokana na mashambulizi ya Irani kwa nchi za Saudi Arabia, Bahrain na Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) ambazo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta duniani.
UTARATIBU WA UAGIZAJI WA MAFUTA...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Katz: amesema;
"Wakazi 600,000 wa kusini mwa Lebanon ambao wamehamishwa hawataruhusiwa kurudi hadi usalama wa wakazi wa kaskazini mwa Israeli utakapohakikishwa. Nyumba zote katika vijiji vilivyo karibu na mpaka wa Lebanon zitaharibiwa. Israeli itaunda eneo la ulinzi...
Achana na ile misaada ya Marekani ya dola bilioni 4 kila mwaka (trilioni 10) ambayo huwa sio cash, huwa ipo katika mfumo wa silaha na vifaa
Dola bilioni 271 ndio bajeti yao Israel, ni shilingi trilioni 700 kasoro vichenchi kidogo
Mapato mengi ni kutokana na teknolojia, karibia kila kampuni...
Wadau hizo ni taarifa rasmi na siyo tetesiIsrael is set to invite the United States to relocate some of its bases in the region to Israel — and to establish new bases in the country — after the current war is over, Channel 12 reports, citing unnamed security sources.
The security establishment...
Wapiganaji wa Hezbollah wameingia ndani ya Mji wa Galile na kuteka mji huo pamoja wana Wanamgambo wa IDF waliojisalimisha kuokoa uhai wao Raia wameshauriwa kukimbia mji huo.
🚨 BREAKING: Hezbollah Forces Push Deep into Northern Israel – Galilee Communities Overrun, Mass Evacuations in Chaos...
Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
Ni hakika kabisa pande zote mbili katika vita hii ambayo USA akishirikiana na Israel kupigana na Iran,pande zote mbili zimeishiwa Air Defense Systems,kilichobaki hivi Sasa imekua ni piga nikupige.
Ni kweli zipo chache zilizofichwa sana lkn naamini sehemu kubwa sana ya hizi ngao zimekwisha...
Taarifa ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu:
"Tunaendelea kushambulia kwa nguvu malengo ya utawala wa kigaidi wa Iran.
Jana usiku, tulimwangamiza Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi. Mtu huyu alikuwa na damu nyingi mikononi mwake; pia ndiye aliyeongoza kufungwa kwa Mlango-Bahari...
Ujumbe ndio huo kila meli itakayo onekana ikielekea Israel itashammbuliwa
https://youtu.be/SkIXpVcO5Gc?si=ee2rJ3HiqrHj5ccW
Pia tazameni Israel target zake siku zote civilian afu yeye akipigwa anadai Iran inapiga civilian hahaha
https://www.instagram.com/p/DWYtyRqk2Mg/?igsh=MXVocnR3eXllMXN1MQ==
Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi...
Msemaji huyo, Ziv Agmon, alikanusha kuwa kauli zake zilikuwa za kibaguzi, akizitaja kuwa “za kipuuzi,” akidai kuwa yeye mwenyewe ana asili ya Morocco, hivyo hawezi kuwa mbaguzi dhidi ya Wamoroko.
Hata hivyo, alitangaza kujiuzulu katika taarifa iliyochapishwa Jumatano jioni, baada ya mwanahabari...
.Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.