Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au
Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye mahojiano na televisheni ya taifa la Iran kwamba "hawaelekei kwenye kuunda silaha za nyuklia, lakini...
Hii ni siku ambayo jeshi la Israel waliamua kwenda kufanya mashambulizi ya anga nchini Iran kama kulipiza kisasi baada ya mashambulizi yaliyofuatana ambayo Iran iliita 'true promise one' na 'true promise two'.
Naomba nisielezee sana huko, story itakuwa ndefu, ningependa niende kwenye mada moja...
Majeshi shupavu ya Israel yameweza kujipenyeza na kuingia Iran kupitisha mpaka wa Iraq na kuweza kuyashambulia makazi ya Ayatollah Khamenei mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na serikali ya Iran kutokana na shambulio hilo lilivyokuwa kuna uwezekano mkubwa Ayatollah kuuwawa kwenye...
Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani:
Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani...
Trump kwa Ayatollah Khamenei: "Usipofanya makubaliano, kutakuwa na milipuko ya mabomu ambayo hujawahi kuona" Trump azidisha vitisho kwa Iran: "Ikiwa hautafanya makubaliano, kutakuwa na milipuko ya mabomu ambayo hujawahi kuona hapo awali"
Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached
14 hours ago
Share
US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025.
US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000
Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani wataumia
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Israel has 170,000 active military personnel, along...
Amani kwenu wakuu
Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana
Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba
Atulie hivyo hivyo...
Members Ritz na Webabu walituaminisha kuwa baada ya kile kipigo kule ndani Iran walikuwa wanajipanga kuja lipiza. Ni miezi mingi imepita wamejinyamazia tu. Toka wadhalilishwe na wanawake wa Kiyahudi.
Nashindwa elewa wanatumia miezi mingapi kujipanga katika suala hili. Mbona ni suala ambalo...
Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu?
Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.
Baada ya Rais Trump kutoa onyo kwa Iran kuwa mashambulio ya Houthis wa Yemen dhidi ya meli za kiraia yanasaidiwa na Iran, kwa Iran kwa Serikali ya Iran kuwapa Houthis makombora, drones na taarifa za kiintelijensia, na kwamba kuanzia sasa kombora lolote lirakalorushwa na Houthis, Iran inalipa...
Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k.
Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?
Wadau hamjamboni nyote?
Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
Hatimae makamo Rais wa. Iran kajiuzulu baada yakuona sera ya misimamo mikali Rais wake haifaagilii
====
Hayo yameripotiwa na Shirika la habari la Iran, IRNA ambalo limearifu kwamba Zarif, amewasilisha barua hiyo mapema leo kwa Rais Masoud Pezeshkian. Hiyo itakwua ni mara ya pili kwa Zarif...
Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano".
Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5 pesa taslimu zilizokuwa zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Lebanon Hezbollah aliripotiwa kuzuiliwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
February 23, 2025
Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’
Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.