iran

  1. U

    JamiiForums Tanzania Iran yaonyesha hadharani makombora yake mapya ya hatari uwezo kupiga kilometa 1,200, yaionya us na Israel wasithubutu kuishambulia

    Wadau hamjamboni nyote? Iran yaanika hadharani makombora mapya ya masafa marefu yenye uwezo kupiga hadi kilometa 1,200 Tulishawaambia duniani kote hakuna anayemzidi uwezo kisayansi muiran mkabisha eti Muisrael ana akili kumbe hamna kitu Siku yeyote kuanzia Sasa Wapalestina watatwaa ardhi yao...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine Iran, kuna mtu anachagua pakujipigia kila siku

    Hizi ni mbinu za kuonyesha hamna popote ambapo hapafikiki... uweo upo, nguvu zipo na nia ipo...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mvua za rasha-rasha zinazidi kuikumba Iran

    Kufuatia ripoti kutoka Iran: Milipuko na moto huo ulitokea katika kituo cha (kisicho cha nyuklia) "Montazere Ghaem - ambacho ndicho muuzaji mkuu wa umeme magharibi mwa Tehran. Kando ya mtambo huo wa kuzalisha umeme kuna majengo na ofisi za kampuni ya "Qala Electric", ambayo inashirikiana na...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran yaendelea kupoteza vyanzo vya Mapato!!!

    Iran inapoteza chanzo kingine muhimu cha mapato: Iraq itaacha kuagiza umeme kutoka Iran kutokana na vikwazo vya Marekani. Iraq imewasha njia mbadala za umeme kuagiza umeme kutoka Jordan na Uturuki.
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Donald Trump atoa tamko Iran yaweweseka ki-uchumi!!

    Rais Donald Trump alitangaza kwamba ununuzi wote wa mafuta ya Iran na bidhaa za petrochemical lazima usitishwe mara moja. Alionya kuwa nchi yoyote au mtu yeyote anayeendelea na biashara hiyo atakabiliwa na vikwazo vingine, na hivyo kuwazuia kufanya biashara na Marekani. Tamko hili linafuatia...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine umetokea huko Iran

    Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na inachukuliwa kuwa kampuni inayohusiana na ulinzi inayohusishwa na serikali ya Irani. Mtu mmoja aliuawa...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine watokea Iran

    Mpaka tutaongea lugha moja A warehouse in Meymeh City, Isfahan, has exploded, reportedly resulting in the death of one person and leaving two more injured, Iranian media reported Tuesday. The company, Avanar Persian, is reported to be a fireworks and explosives manufacturer based in Meymeh...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Pastor John Hegee wa Marekani atoa yake ya moyoni kuhusu utawala wa Iran

    Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili "Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia kufanya hivyo," alisema Mchungaji John Hagee. Aprili 28, 2025 akiwa ziarani huko Israel. Serikali ya...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yapokea mashambulizi makali ya mitandaoni - cyber attack

    Mambo mengi muda mchache, yetu macho ila Mosad bana... ================ Iran repelled a large cyber attack on its infrastructure on Sunday, said the head of its Infrastructure Communications Company, a day after a powerful explosion damaged its most important container port and another round of...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Iran iliyolipuka au kulipuliwa ndio ilikua inatumika pakubwa kupeleka silaha kwa magaidi wenye mlengo wa kiislamu

    Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa Mosad walifanya yao....kwa kifupi hapo Iran hamna sehemu ambayo haiwezi kupigwa au haipigiki...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Russia yasaidia Iran kuzima moto kwenye Bandar Abbas!!

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameiagiza Wizara ya Hali ya Dharura kupeleka ndege kadhaa za kuzima moto za Beriev Be-200ES, pamoja na ndege ya usafiri ya Il-76TD, kuelekea kusini mwa Iran ili kusaidia juhudi za kuzima moto kufuatia mlipuko wa jana kwenye bandari ya Bandar Abbas kwenye Ghuba ya Uajemi.
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Iran aishutumu Israel kwa mlipuko wa Bandar Abbad

    Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana: Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari ya Bandar Abbas: "Mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas haukuwa wa bahati mbaya. Kuna dalili za...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

    Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!! Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu zima moto huo...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa kwenye bandari ya Shahid Rajaee huko Iran!!!

    BREAKING: Mlipuko mkubwa wa ajabu ulitikisa bandari ya Shahid Rajaee ya Iran - ardhi ilitikisika na Kusik Ikea maili nyingi kutoka hapo. Utawala wa Ayatollah haujatoa taarifa yoyote kuhusu mlipuko huo. Kuna uwezekano mkubwa hujuma zimefanyika kwenye bandari hiyo au kuna wengi wanahisi huenda...
  15. Kindred Spirit

    JamiiForums Tanzania Mamia wajeruhiwa kutokana na mlipukoa Iran

    Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa mlipuko mkubwa ulitokea katika Bandari ya Shahid...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump asema Netanyahu hataweza kuikokota Marekani kupigana na Iran

    Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa ! Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel inaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano - Donald Trump!!!

    Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!! Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Qatar ni hatari zaidi kuliko Iran' Inauma na kupuliza ni “Yuda Iskariote”

    'Qatar imekuwa mpatanishi katika migogoro mingi inayotokea huko Mashariki ya kati kati ya Israel na magaidi wa Hamas ni mara nyingi imejulikana katika ubadirishanaji wa mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07 ,2023. Kwa upande wa pili Qatar ni mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas ukiondoa...
  19. hamis77

    JamiiForums Tanzania Aliyebakia ni Iran tu ili wazayuni watimize malengo yao

    Hezbollah wa Lebanon wamenyamazishwa kimya. Hamas kao lao limeangamizwa. Syria imepinduliwa. Houthis, US anawaangushia makombora mazito kila siku, muda sio mrefu wanajeshi 80,000 wa Yemen wanaopikwa huko Saudia watapelekwa kuitwaa Hodaida, ngome kuu ya Wahouthis na kuleta mwisho wao. Qatar...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa madude haya Iran inabidi akae kwa kutulia!

    Marekani imepeleka angalau ndege sita za kivita aina ya B-2 stealth katika kisiwa cha Diego Garcia, hatua inayotafsiriwa kama onyo kwa Iran kufuatia kuongezeka kwa mvutano Mashariki ya Kati. Ndege hizo, ambazo ni asilimia 30 ya ndege zote za aina hiyo za Marekani, zimeonekana kupitia picha za...
Back
Top Bottom