Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari zinazoingizwa...
Hello wakuu.
Nyerere aliwahi kusema anashangaa wanyonge wanatengana wakati wenye nguvu wanaungana kumtawala mnyonge.
Umoja ni nguvu, Afrika haiwezi kujitawala tusipokuwa wamoja.
Huwa inaniuma sana kuona vijana kwa wazee wa kike kwa kiume wote wenye ngozi nyeusi wakitukanana, wakibaguana na...
Habari za wakat huu wakuu
Kwa mwenye uelewa juu ya kozi hizo hapo juu
Kwanza zinahusiana na nini hasa
Pili ipi ni bora zaidi ya ingine
Tatu upande wa kujiajiri ukoje
Nne vyuo vinavyotoa kozi hizo zaidi ya DIT ni wapi kwingine?
Natanguliza shukran
wanaokula bila kuhonga
Wachungaji, maustadh na waganga - Hasa kwa wadada wanaotafuta watoto kwa maustadh, wachungaji na waganga feki. Mdada anaambiwa dawa inabidi iingie kwa kuchomekwa, kuna pepo lipo ndani inabidi litolewe kwa **oo yenye upako, n.k. 😂 😂 Wanawake wengi sana wanatoa kwa hii...
Hayawi hayawi, Sasa yamekua. Form Five Selections zimetoka tayari.
https://selform.tamisemi.go.tz//content/selection-and-allocation/2023/first-selection/index.html
Hizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu
1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini Magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa
2. Enzi za Magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?
3. DP world...
Shukuru umeiona tena hii weekend.
Shukuru safari zako za wiki zilikua salama.
Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo.
Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma tokea wapi (unasoma tokea wapi?), lakini unasoma ukiwa salama.
Shukuru kwa mambo mengi mola...
Shukuru umeiona tena hii weekend.
Shukuru safari zako za wiki zilikua salama.
Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo.
Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma tokea wapi (unasoma tokea wapi?), lakini unasoma ukiwa salama.
Shukuru kwa mambo mengi mola...
Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115 kwenye teuzi zilizofanyika jana.
Katibu Mkuu kiongozi na wizara ya utumishi wanahitaji kumsaidia...
Miaka yetu tunakua kulikuwa na magonjwa hatarishi sana ya sex. Ilikuwa hatari sana... Na ukumbuke Condoms zilikuwa bidhaa adimu sana hasa vijijini. Na pia ilikuwa ngumu kumuelewesha mtu kuvaa condom.
Yaani ukanunue pipi halafu uanze kumung'unya ikiwa kwenye karatasi? Aaaah wapi..... Hawakuelewi...
#FAHAMU : Kama utakuwa ni moja kati ya watu ambao wanandoto siku moja kuja kumiliki magari ya kifahari basi leo kwa uchache tunakufahamisha gharama za kubadilisha oil kwa magari baadhi ya kifahari.
Kupitia mtandao wa Bugatti Browad unaandika gharama za kubadili oil kwa magari hayo ni kuanzia...
Wananzengo mmeamkaje leo?
Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani.
Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa.
Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)...
Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia.
Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano.
Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
Moja ya vitu vinavyonishangaza katika nchi yangu mama Tanzania, ni ubunifu walionao viongozi wa serikali katika Kuhakikisha yale yanayo wahusu yanafanikiwa, au yanafanyika kadili wao wanavyopenda tena kupitia chombo muhimu kama bunge.
Sijawasikia wakipeleka muswada wa kufanyia marekebisho...
Mwaka 2015 mhesmiwa Mbowe ilichukua na kufufua magari matatu chakavu na spika tatu chakavu kutoka vyomba vya muziki vilivyokuwa vinamilikiwa na Birricana Club na kuvigeuza kuwa PA kwa thamani ya shs 100,000,000/= akifanya jumla ya shs 300,000,000/=. PA hizi alizitumia kwenye kamepeni jimboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.