Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii?
Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1
Nanukuuu
“Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya
Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa
1: TRA.
2: FIRE...
Sijui kwa upande wenu ila kila nikitizama siku hizi single parenting imekuwa kama trend yaani kitu fulani ambacho vijana hawakiogopi.
Nikitizama zaidi nawaona hawa wana saikolojia/motivation speakers ambao kidogo wamebase kwenye biashara hili jambo wamelichukua kibiashara zaidi. Mfano siku...
Kinachofanyika huwa ni kupunguza tu wala si kutokomeza kabisa.
Vikundi vya kigaidi kama Hamas vimekuwa ni Neema kubwa mno kwa Israel, Kwa teknolojia na uwezo wa kijeshi alionao Israel endapo akiamua kumaliza kikundi kama Hamas ni suala la siku kadhaa tu lakini hawezi kuthubutu kufanya hili...
Inakuwaje kijana unakuwa hupatikani mida ya kazi? Utetezi ni hakuna network au ilikuwa chaji, yaani saa 4 asubuhi simu inakuwa chaji si upumbavu huo?
Ukitumiwa SMS hujibu hadi upigiwe na kujitetea sijaiona message? Kwenye email ndo majanga matupu, wengine mna biashara ila hata ku-update mara...
Salama!
Siku hizi nimekua mkubwa, mambo ya kuandika madude marefu nimewaachia wengine. Haya nisipoteze muda.
Siku hizi ukiwa na mambo haya basi jua umeula, umelamba dume, umekula bingo. Ni wewe tuu kuamua utoboe au usitoboe.
1. Kujua kingereza au lugha yoyote kubwa kimataifa.
Achaneni na kile...
Habari wakuu,
Nimekwama tafadhalini. Naamini kila mtu humu ana talanta yake ambayo amebarikiwa, Naamini pia huku kuna wakina Yusuf walioweza kutafsiri ndoto kipindi cha utawala wa Wamisri kwa Israel na ndiyo maana sinaga tabia ya kudharau watu. Ni marefu kidogo ila nakuomba soma hadi mwisho...
Na ikitokea ukakataa wakufute naniliu zako baada ya Mshughuliko huo wa Kibaiolojia hununa ( huwa na Usununu ) sana.
Nitashukuru nikiijua sababu Kuu yao.
ANGALIZO
Kwa Wewe KISOKOLOKWINYO ( MUWASHWAJI MUWASHWAJI ) unayejijua humpendi GENTAMYCINE na Mada zake / Uwasilishaji wake hapa JamiiForums...
Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au waafrika bali lengo ni kujifunza tu maana kujifunza hakuna mwisho ..haya twende kazi...
1. IBADA YA...
Mnamo Aprili 29 kuamkia April 30 mwaka 2023 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wakishirikiana na Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo waliandaa tuzo rasmi kwa ajili ya kuwapongeza wanamuziki wa Tanzania (Tanzania Music Awards). Baadhi ya walifanikiwa kunyakua tuzo hizo kwenye vipengele...
Ndege inapoondoka Dar es Salaam inajulikana for sure itatua Dodoma muda gani na miundombinu ya uwanja inajulikana.
Lakini Kwa tuliosoma Cuba tunaposikia ndege ya Yanga yashindwa kutua, ndege ya kiongozi mkubwa yashindwa kutua lakini ndege zenye abiria wasio na attention Kwa jamii hazikwami...
Hapa wanasema walifaulu kuzuia mashambulizi ya drones kumi zikageuza japo wameshusha mbili.
==============
The Russian-installed governor of Sevastopol on the Crimean Peninsula, Mikhail Razvozhayev, said Sunday that a series of Ukrainian drone strikes had been repelled overnight...
Kelele za ajabu sana. Unapanda dalafala una stress zako unakuta mziki sauti juu.
Au asb unakuta station**** wanapiga story kutoka vichwani mwao, mawazo Yao idea zao hazina logic yoyote.
Kuna dalafala Moja imeandikwa pale ndani juu kwamba...nanukuu...''SAMAHANI ABIRIA SAUTI HAIPUNGUI" Mwisho wa...
Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao,
Binafsi napendekeza
1. Feisal Salum (feitoto)
2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal
3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal.
Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi...
Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini bado hazijasaidia kutoa kiwango cha juu cha maji kinachoweza kupata umeme wa uhakika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Shirika hilo Elihuruma Ngowi, wamekagua mabwawa mbalimbali ya...
Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.